biashara

  1. music mimi

    JamiiForums Tanzania Biashara ya stationery ya mtaji mdogo iliyoongezewa thamani

    Wakuu naomba mawazo yenu. Nina mpango wa kuanzisha stationery ya mtaji mdogo around mil 5 yani umo kila kitu mpaka fremu. Naomba ushauri zaidi ya kuprint na kutoa copy pamoja na vifaa kama bahasha, rimu, kalamu, etc Naweza vipi kuongeza thamani kwenye stationery kwa gharama ndogo lakini niwe...
  2. Equation x

    JamiiForums Tanzania Hii tabia iliyowaingia wanawake wa nyakati hizi, kwa kutothamini mapenzi (hisia) na kuendekeza mahusiano pesa ililetwa na nani?

    Kama utakuwa umefanya utafiti kidogo, utagundua wanawake waliozaliwa miaka ya 80 mpaka leo hii, walio wengi mahusiano yao yanabebwa na pesa. Wanakuwa na hisia na mwanaume, iwapo huyo mwanaume anaweza kuhudumia au kuhonga. Kwa mazingira ya sasa, mwanaume huna hela usitegemee kupata mahusiano...
  3. FAJES

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Tofali: Mafanikio na Changamoto zake.

    Wakuu amani iwe nanyi! Nafikisha kwenu Wajuvi na Wazoefu wa biashara za hapa nyumbani. Leo naomba mwenye uzoefu wa biashara ya kufyatua Tofali kwa Dar es Salaam atupatie mawili matatu ili kina sisi tunaoitizama biashara hii kama fursa ya kufanya hatujaingia mazima mazima. Karibuni sana Wakubwa.
  4. jay moseif

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, biashara yangu haiendelei

    Habari wanajamvi, nimekuja mbele yenu mm ni kijana wa miaka 25, lengo la kuamdika uzi huu ni kuomba ushauri juu ya biashara yangu. Mimi ni fundi kuchomea lakini pia nimejiongeza kwa kujifunza ufundi sofa. Lakini biashara yangu haitembei kabisa labda wenye uzoefu na mambo haya wanipe ushauri...
  5. BONNIE GOLD

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kujenga fremu za biashara

    Habari zenu wakuu Naomba msaada wa kupata roughly mchanganuo wa kujenga fremu tatu za biashara, ukubwa wa 2.5m x 2.5, Kuanzia msingi mpaka juu. Mfano wa fremu ni hizi chini hapa. Eno lipo Dar Asante sana
  6. C

    JamiiForums Tanzania Vijana mnarogwa na nani kwenye biashara?

    Tunajua kwa exposure uliyopata kwa kusoma una expect vitu vikubwa huku ukisahau kwamba nidhamu ya fedha ndo kila kitu kwenye maisha ya biashara na ndo maana biashara nyingi zinafilisika Mimi hainiingii akilini kabisa inawezekana vipi kijana msomi una degree yako safi unaua biashara ya duka ya...
  7. digalangosha

    JamiiForums Tanzania Ushauri biashara nchini Comoro

    Habarini wawekezaji Naombeni ushauri kwa mlionitangulia. Nina kimtaji changu kidogo hapa 15,000,000, nilikua nataka nifanye biashara. Sasa katika kukaa na watu kuna jamaa yangu akaniambia biashara kama asali, mbuzi, mchele n.k vinalipa sana ukipeleka Comoro na sometimes hata malipo yake...
  8. Optimistic_

    JamiiForums Tanzania Usajili wa jina la biashara na kampuni (BRELA)

    USAJILI WA JINA LA BIASHARA NA KAMPUNI (BRELA) Rasimisha jina la biashara yako kisheria, upate faida nyingi. Mimi ni mbobezi wa kufanya application Brela kwa ajili ya usajili wa jina la biashara na makampuni. Nakuandalia kila kitu kuanzia nyaraka zote zinazohitajika. Nipigie 0765991551
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muhimu kwa biashara na mashirika kutathmini upya mikakati yao ya usalama wa mtandaoni

    Mwezi wa Uhamasishaji wa Usalama wa Mtandaoni si kwa watu binafsi tu—pia ni wakati muhimu kwa biashara na mashirika kutathmini upya mikakati yao ya usalama wa mtandaoni. Mashambulizi ya kimtandao kwa biashara yanaweza kuwa na madhara makubwa, ikiwa ni pamoja na wizi wa data, athari za kisheria...
  10. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Kipi ni muhimu kwenye biashara

    JAMBO GANI NI MUHIMU KUZINGATIA KWENYE BIASHARA NDUGU WADAU?
  11. Hommy

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara kutengeneza Umeme binafsi

    Nina wazo la kutengeneza converter ya umeme kutoka chini ya 10V hadi 250V na angalau 2000W itakayokuwa portable na mfumo wa kujicharge. Hii itakuwa ni inverter inayoweza kutumika kwa matumizi ya ndani na hata wale biashara za kuhama hama kama machinga nakadhalika pia kwa matumizi ya nyumbani...
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani ulifanya wakati unanunua kiwanja cha makazi au biashara?

    Habari zenu wakuu? Lengo ni kuelishana, kosa ulilolifanya wewe kupitia comment yako huenda likamsaidia mwingine! Mimi kosa kubwa nililolifanya ni kununua eneo sloped, limenipasua kichwa lile eneo, eneo lina viwanja takribani 300, sasa mimi nilienda kununua wa mwisho nikakuta maeneo mazuri...
  13. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Biashara za simu na kompyuta na uagizaji: Bei zetu zote kwa biashara Tanzania

    BIASHARA ZA SIMU NA KOMPYUTA NA UAGIZAJI: BEI ZETU ZOTE KWA BIASHARA TANZANIA 📦 Bei Nzuri Za Simu, Laptop, nHuduma za Uagizaji Bidhaa ➡️Kwa wale wanaoagiza bidhaa kutoka China, ikiwa ni pamoja na simu 📱, kompyuta 💻, kamera 📷, na bidhaa nyingine ambazo ni vilipukizi hasa kwa njia ya mdege...
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ni wapi bado tunahitaji sauti zaidi za wanawake? Je, ni katika Siasa, Elimu au Biashara?

    Wanawake wanaposhiriki katika maamuzi, huleta mitazamo mipya yenye nguvu za kuleta mabadiliko chanya na ya kudumu. Ushiriki wao unaleta uwiano wa kijinsia unaohitajika katika kila sekta – iwe ni siasa, biashara, jamii au elimu. Tunapozingatia changamoto nyingi zinazokumba jamii zetu, kama...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Unafanyaje kuendesha biashara ya mtandaoni inayohusisha utoaji wa huduma fulani hasa kwenye uaminifu?

    Assume unatangaza kazi zako kutokea mikoani kwenye social media hupati wateja kwenye mkoa wako, hatimaye wengi hutoka Dar. Je, unawezaje kuwafanya wakuamini hasa wale wanaohisi kutapeliwa kila siku na huenda washatapeliwa Je, uhamie Dar wakati bado unajijenga au ufanye kipi? Vipi huko. Baadae...
  16. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Wote wote tukiwa machinga, nani atanunua kwa mwenzake?

    Huko Tanganyika kila mtu ni machinga, hata wasio na ujuzi wa kibiashara nao unawakuta wanachuuza malapa mitandaoni. Tangu Watanganyika waambiwe kujiari basi imekuwa fujo mno, mara huyu anauza ubuyu, mara huyu anauza tumikoba twa kike! Mitandao imechafuka biashara uchwara za kuchuuza malapa na...
  17. Brigadier Isaac

    JamiiForums Tanzania Msaada; Naomba kuelekezwa kuhusu biashara ya ufugaji wa kuku wa mayai

    Habari za jioni , poleni na mahangaiko ya kutafuta riziki Kama kichwa Cha habari juu kinavyojieleza hapo juu. Mimi binafsi nilikuwa na Wazo la kuanza kufuga kuku hawa wamayai kwa ajili ya biashara Binafsi mawazo yangu ni kuanza na vifaranga sitini haya ni mawazo tu Sina experience yoyote na...
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Suala la utekaji kwa watoto wadogo ndani ya Tanzania ni dalili ya uwepo wa biashara haramu ya binadamu kwenye taifa letu

    Masuala ya utekaji yametokea kwa watu tofauti tofauti, ikiwemo wanasiasa wa upinzani na watoto zetu wadogo, bila shaka kwa uwepo wa hali hii kwenye taifa ni dalili tosha kwamba ndani ya taifa kwa sasa kuna biashara haramu ya binadamu kwa watoto. Kwanini mambo kama haya hayaja kuwepo katika...
  19. V

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu Biashara ya mbao

    Biashara ya mbao nahitaji mtaji kiasi gani?
  20. Under-cover

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani uliwahi kuambiwa ukifanya utapiga pesa sana ila baada ya kuingia mchezoni ulibaki unajuta?

    Biashara ya kukopesha pesa yani ukimuona unae mdai kabeba begi yuko kwenye boda , inabidi na wewe uchukue boda fasta umfukuzie, mwisho unaona anaingia kwa dobi, inabidi upitilize na hujui unaelekea wapi. Kudownload na kuinstall pesa. Bajaji Biashara ya kukopesha pesa, yani ukimuona unaemdai...
Back
Top Bottom