biashara

  1. JamiiForums Tanzania Actions used by negotiators to build trust

    Trust is an essential component of success in all types of negotiation, whether business, diplomatic or legal. Ambassador Denis Ron, Former us coordinator of the Middle East, Has stated that the ability of negotiators to develop mutual trust is the most important ingredient of successful...
  2. JamiiForums Tanzania Tushirikishe biashara yako, upate mawazo mapya na kutanua soko lako.

    Habarini wakuu Nimeamua kuanzisha huu uzi maalumu kwa kuweka picha za bidhaa zilizotengenezwa hapahapa nchini kwetu Tanzania katika harakati za kuelekea Tanzania ya viwanda. Utakuwa ni uzi wa kuweka picha za bidhaa tulizozitengeneza sisi wenyewe(watanzania) na si picha za ku download au kuweka...
  3. JamiiForums Tanzania Biashara ya maharage ya njano

    Wakuu heshima zenu Mimi ni mkazi wa Dar ...niko Arusha nikifatilia soko la maharage ya njano aina ya GOROLI.....lengo ni kununua maharage Arusha na kuuza Dar Watalamu naomba kujua changamoto za hii biashara. Natanguliza shukrani.
  4. JamiiForums Tanzania Fanya haya ili biashara unayoianzisha isife

    1. Fanya biashara unayo ielewa vizuri zaidi, usiige tu kwa kuona mwingine anafanikiwa. Hakikisha wewe mwenyewe una ujuzi nayo. 2. Hakikisha umeyasoma mahitaji ya wateja wako watarajiwa. Hakikisha umeyaelewa kiundani zaidi mahitaji yao na unaweza kuwatimizia ipasavyo. 3. Amua kujenga mahusiano...
  5. JamiiForums Tanzania Mtanzania, wekeza na kufanya biashara Comoro

    Fursa za Biashara zilizopo Moroni nchini Comoro Hivi karibuni nilifanya ziara ya kwenda nchini Comoro kufanya visual assessment ya fursa ziliopo kule lakini vile vile kuzungumza na wafanyabiashara wanaokuja Tanzania kununua bidhaa na kufanya biashara nchini. Ndugu zangu Watanzania, Comoro kuna...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-tangaza Biashara yako kwa Facebook (sponsered ads) - P.01

    Habari, I hope u mzima wa afya unavyopitia thread hii. na kama hauko poa, i pray urudi katika afya yako mapema. To cut the story short, Leo nitaelezea jinsi ya kutangaza biashara yako kwa Facebook ads (matangazo ya Facebook), kama haufahamu Facebook ads ni nini basi fanya hivi :- Fungua...
  7. JamiiForums Tanzania Tuipigie chapuo bangi (marijuana) bunge likubali kuwa zao la biashara

    Habari wadau..! Najua humu ndani kuna greater thinkers wengi ,kama jambo tutalipitisha hapa basi bungeni watalitafakari kwa kina. Nchi nyingi duniani zimehalalisha matumizi ya bange na wanatengeneza pesa ndefu sana . Kwa kwetu pamba,korosho ,kahawa naona zinasuasua kwa nn basi tusipigie...
  8. JamiiForums Tanzania Fursa ya mboga mboga na matunda Dodoma

    Habarini wana jamvi. Kutokana na kukua kwa kasi ya kuridhisha kwa jiji la Dodoma, kuna mahitaji yanayoongezeka kutokana na umuhimu wake kwa maisha ya binadamu ya kila siku. Uhitaji wa mboga mboga na matunda unakua kwa kasi kubwa. Uhitaji huu ni wa wote, yaani wauzaji na wazalishaji. Kwa wale...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali iondoe vibanda vilivyo Mbele ya Biashara nyingine Kariakoo, hali mbaya

    Hawa machinga wanatutafutia ugomvi sisi wafanyabiashara wa maduka. Kumbuka Wenye Fremu wanalipa Kodi TRA tutashindwa kulipa Kodi kwa style hii. Serikali waliangalie hili Jambo kwa upana zaidi. Hapa mteja anapita wapi kuja dukani wakati duka halionekani Kodi za pango ni zaidi ya milioni kwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Biashara zimeanza kuchangamka katika awamu hii ya sita

    Leo nimebahatika kuwatembelea wajasiria mali hapa Mwanza hasa biashara hizi ndogo ndogo kama viwanda vya mbao, vyakula nk. Wengi niliongea nao walinieleza afadhali kidogo kuna ahueni. Wanaendelea kusema hatujui tungefanya nini kama Utawala wa Awamu ya Tano ungekuwa bado uko madarakani kwa...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Fahamu mbinu zilizotumika kuwadhibiti watumwa kipindi cha utumwa na jinsi zinavyofanya kazi mpaka sasa

    FAHAMU MBINU ZILIZOTUMIKA KUWADHIBITI WATUMWA KIPINDI CHA UTUMWA NA NAMNA ZINAVYOFANYA KAZI SASA Kwa kuanza kwanza inabidi tufahamu biashara ya utumwa ni kitu gani? Biashara ya utumwa ilikuwa ni biashara ambayo ilihusisha kukamata, kuuza na kununua watu na kuwatumia kama watumwa. Biashara...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na kufanya mazungumzo mfanyabiashara Alhaj Aliko Dangote

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amekutana na kufanya mazungumzo na Mfanyabiashara maarufu kutokea Nigeria Alhaji Aliko Dangote Mazungumzo hayo muhimu yalifanyika leo Mei 24, 2021 Ikulu Jijini Dar es salaam Alhaji Dangote ni mfanyabiashara mkubwa...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba wazo la biashara /kilimo mtaji 400,000/=

    Mimi ni kijana wa kiume (25) nipo Dodoma nahitaji kufanya biashara, nina mtaji wa shilingi laki Tano tu 500,000. Je, nifanye biashara gani itakayonipatia faida na kukuza kipato changu? Nina ujuzi wa kompyuta na ualimu tu. Mawazo yenu wakuu. Asanteni. ======= Nyuzi unazoshauriwa kusoma: 1...
  14. JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 2, naomba ushauri wa biashara ya kufanya

    Habarini wanajamvi wenzangu, Vijana wenzangu, wadogo Zangu na wakubwa Zangu, ndugu jamaa na marafiki nimekuja jukwaani humu kuomba msaada kwa yeyote ambaye anaweza kunipatia ushauri juu ya baishara halali yenye manufaa ya kimaemdeleo ya maisha. Nipo Dar mtaji wangu ni million mbili pia sina...
  15. JamiiForums Tanzania Nianze na biashara gani kati ya hizi?

    Habari wakuu Kwa lengo la kuongeza kipato. Nimekaa na kutafakari nikapata mawazo kwa matatu ya kuongeza kipato kutokana na kiasi kidogo cha pesa nilichonacho. 1: Nimewaza kununua pikipiki kwa ajili ya bodaboda part time job. 2: Kufungua ki duka cha sandals za kike na za kiume za dukani (...
  16. JamiiForums Tanzania Mama lishe, kuna soko kubwa la biashara mkiweza kusambaza chakula

    Biashara ya chakula inauzika na ina uhakika kwasababu kila siku watu wanahitaji kula. Wateja wengi wanavutiwa na ladha ya chakula pamoja na mandhari ya eneo. Katika maisha ya kila siku huku mtaani, wapo ambao hawana muda wa kupika nyumbani, wanatumia muda mrefu katika shughuli zao za kila...
  17. JamiiForums Tanzania Nina milioni 25 nifanye biashara gani itakayo nilipa robo tatu au zaidi ya hiyo kila wiki?

    Nina milioni 25 nifanye biashara gani itakayo nilipa robo 3 au zaidi ya hiyo kila wiki au biashara ipi itakayo nilipa sana na kwa haraka.
  18. I

    JamiiForums Tanzania Natakiwa kusajili jina la biashara au kampuni?

    Habari wadau, Mimi ni Mtanzania ambaye nimeshaandaa mpango wa kuanzisha biashara yangu binafsi. Biashara yangu itakua inategemea na mzunguko wa hela kutoka kwa watu ambao wataamua kuungana nami. Je, natakiwa nisajili jina la biashara au kampuni ili niweze kuanzisha biashara yangu bila kupata...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu msimu wa bei nzuri ya Vitunguu Maji

    Wadau habarini, Naombaen ushaur kwa wazoefu wa kilimo cha VITUNGUU MAJI.Nimeshaanza mradi wa kulima hili zao,ndoto yangu ni kulima Ekari 3. Ila hofu yangu ni uhakika wa SOKO,kwa muda ntakaokuja kuvuna.Maana apa nategemea kuja kuvuna mwez wa 9 mwishoni hadi wa 10 hiv. Ombi langu,naomba kujua...
  20. JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua lilipo soko la zao la ngwara / fiwi jamii ya maharage

    Mimi ni mfanyabiashara chipukizi, napatikana Tanga. Natafuta wanunuzi wa zao la ngwara au fiwi jamii ya maharage na choroko. Nina gunia zisizo pungua 8 store. Pia itapendeza kupata mawasiliano au kujua trend ya bei ya zao hili sokoni hususani kwa mkoa wa Arusha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…