biashara

  1. M

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kuchangia fremu ya biashara

    Habari wana JF, naomba kuwatangazia fursa ya kuchangia frem ya biashara (sub renting). Frem iko Temeke karibu na hospital ya rufaa ya temeke. Nahitaji mtu ambae yuko serious aje tuchangie hii frem maana ni kubwa sana kwa biashara ninayo ifanya mimi hapa(wakala wa m- pesa,tigopesa etc) hivyo...
  2. fatherhood

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wa biashara, nina mtaji wa 1.2(million moja na laki mbili)

    Habar JF..! Mimi ni kijana, namaliza chuo mwaka huu katika kujibana bana nimeambulia 1.2m. Siku zote kwenye maisha kuomba ushauri ni njia mojawapo wa kujifunza hivyo basi wana JF naombeni mnishauri biashara gani naweza kuifanya na ikanipa chochote kitu kulingana na hali ya sasa. NB: Mimi kama...
  3. girango

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani naweza anzisha yenye mtaji mdogo?

    Mimi sasa naingia kidato cha sita but ninandoto za kuanzisha BIASHARA sasa nauliza nianzishe BIASHARA gani yenye mtaji mdogo nikimaliza shule kulingana na maeneo ninayotoka ninatokea Rorya Mara.
  4. njule

    JamiiForums Tanzania Mpishi wa kukaanga chips na kuku

    Habari wana JF Anahitajika haraka mpishi aliye kua mtalamu waku kaanga chips na kuku, kuchoma kuku na mishkati na mapishi mengine aina hio ya jiko. Anatakiwa awepo Dar. Tuwasiliane 0789155571
  5. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Tupeane ABC, faida na Changamoto na namna ya kuzitatua kwa matangazo ya Instagram

    Habari wakuu. Hivi karibuni nimeanza kutangaza biashara instagram. Kwa kweli kuna tofauti kubwa kati ya biashara inayotangazwa na isiyotangazwa ila changamoto ni nyingi sana. Mara hela usikatwe na wasilipromote. Mara waseme hawawezi kutangaza, wanafungia account nk. Changamoto ni nyingi na...
  6. comte

    JamiiForums Tanzania Serikali tuelezeni hatma ya kiwanda hiki wakati watu wakiendelea kufa kwa malaria

    Marehemu JPM alitembelea kiwanda hiki na kukukta mrundikano wa viuatilifu vya mbu wa malaria. Kwa uzalendo wake akaamua halmashauri zote zinunue dawa hizo na kuzitumia kupulizia mazalio ya mbu na hazina ingekilipa kiwanda hicho moja kamoja toka kwenye bajeti za halmashauri. Nadhani hela...
  7. MrsPablo1

    JamiiForums Tanzania Fremu kubwa sana ya biashara inapangishwa mbezi mwisho

    Fremu kama inavyoonekena ipo mbezi mwisho mitaa ya mbezi kwa Yusuf. Inafaa kwa biashara mbali mbali kama duka,ofisi,medical laboratory,dispensary,microfinance, nursery and daycare,tuition center na nyingine nyingi. Bei ya kupanga fremu ni laki tano kwa mwezi . Ukihitaji kuona fremu nicheki 📞...
  8. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ndoa yangu imevunjika

    Asalaam, Ndoa yangu ilikuwa nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia. Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida. Basi ghafla...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya Biashara ya Mitumba, ina changamoto gani?

    Habari, Ninatarajia kufanya biashara ya nguo za mitumba ila niliplan kuwa naziuza kwenye minada mwenye kufahamu changamoto zake. Naomba anifahamishe na pia kwa Dar anayejua minada inapofanyika au kwa aliyepo Moro anaejua minada inapofanyika na siku zake na malipo kwa siku inakuwaje na...
  10. Master Kutu

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya afisa masoko ama usimamizi wa biashara

    Habari ya leo wakuu, Mimi ni kijana wa kiume, umri wangu miaka 29 . Nna mke na mtoto 1, Naishi Dar Es Salaam Elimu yangu kidato cha nne Nimejitokeza hapa kuomba kazi ya sales and marketing ama usimamizi wa biashara na masoko. UZOEFU WANGU Mwaka 2013 nilianza kazi ya kusajili laini kampuni ya...
  11. YoungIsrael

    JamiiForums Tanzania Mnunuzi wa nafaka hasa Mahindi

    Awali ya yote npende ktanguliza salamu, kwa yeyote mwenye connection za biashara za nafaka hasa mahindi, yaani nahitaji kuwa mnunuzi wa jumla kwa sehemu kama Geita, Rukwa na Shinyanga
  12. SN.BARRY

    JamiiForums Tanzania Ana laki tano cash, afanye biashara gani?

    Dogo anataka kuhama kwao amechoka kula kulala. Mfukoni ana laki tano na ushee. Kaomba ushauri kwangu nimemuahidi jioni nitampa jibu ili nije huku kwa akili kubwa/Great thinkers kuulizia. Yupo Dar.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Fremu ya biashara inahitajika

    Mambo vipi wanaJF Mimi nahitaji fremu ya biashara ya kuweka Tigo pesa Mpesa na Airtel money, maeneo ni kuanzia Tabata Barracuda, Sanene, Tabata shule, hadi Segerea au Ubungo Riverside au Tabata Mawenzi, , bajeti yangu ni 100,000 kushuka chini yaani isizidi laki moja, kwa hiyo kama kuna mwenye...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa Tsh. 50,000/= naomba wazo la biashara kwa Dar es Salaam

    Niko na shilingi elfu hamsini Tzs, ni biashara gani naweza fanya Dar es Salaam? ========= Unashauriwa kusoma uzi huu kupata mawazo zaidi>>>Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)
  15. Mumlii

    JamiiForums Tanzania Hivi naweza kuanzisha biashara ya kutoa huduma ya usafi bila mtaji?

    Naipenda kutoa huduma ya usafi wa majumbani, ofisni. Je, naweza kuanzaje ili nifike malengo? Kwa anayejua naomba mawazo maoni, mitazamo? Kwenye hii biashara ya usafi.
  16. Cards Fantasy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Partner au Partners 2 Tufanye biashara ya Kuuza Kuku Pamoja

    Habari za Leo Wanafamilia! Pole na Majukum, Mm naitwa Hussein, naishi Tandika Magorofan, nna miaka 34, nna mke na watoto watatu. Nnajishughulisha na Ufugaji, utengenezaji dawa za Asili za Kuku na uuzaji wa Kuku, kwa Sasa nimejikita zaidi kwenye Kuku wa nyama kwa kuwanunua directly kwa Wafugaji...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Faustine Ndugulile: Watanzania kunufaika na biashara Mtandao kufikia 2025

    Watanzania kunufaika na Biashara Mtandao kufikia 2025. "Lengo letu kufikia 2025 zaidi ya asilimia 80 ya Watanzania tuwafikie kwa mawasiliano ya Internet na hadi 2025 tuwe tumeweka mazingira wezeshi ya biashara mtandao (E-commerce)". Ameyasema hayo Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Fursa ya biashara kwa wenye mitaji kuanzia 50,000

    Habari wakuu Tunakuagizia bidhaa kutoka China kwa bei nafuu sana ya kiwandani na wewe utatulipa commission kidogo pindi mzigo wako ukifika. Ofisi zetu zipo kigamboni big brother. Au unaweza kutupigia kwa namba +255656667359 au WhatsApp +255656667359 Wale wa mikoani fursa hiyo changamkeni...
  19. Zohaan

    JamiiForums Tanzania Zijue faida za website kwenye biashara yako

    Habari wana JF leo tutashirikishana faidha za website ili kukuza na kutangaza biashara yako. Watu wengi wamekuwa wakipata shida ni nanmna gani biqshara zao zinaweza kujulikana na kuwafikia watu wengi. Leo tutaona baadhi ya faida za website kwenye kutangaza biashara yako. 1. KUWAFIKIA WATU WENGI...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Musukuma ataka machinga wasibugudhiwe. Asema Serikali imechuma Bilioni 43 kwenye Vitambulisho

    BUNGENI: Mbunge Joseph Kasheku Musukuma amesema Machinga anaposumbuliwa na kuharibiwa Biashara, Taasisi za Kifedha nazo zinaharibiwa. Amesema, "Kuna watu wako pale wana mikopo, wamekopeshwa wana marejesho. Tuna shida gani tukisema magari yasiingie Kariakoo ili iwe kitovu cha Biashara? Watu...
Back
Top Bottom