biashara

  1. JamiiForums Tanzania Bukoba: Maduka na biashara kwa ujumla zafungwa

    Katika hali isiyo ya kawaida Mkurugenzi ameamua kufunga maduka ya Bukoba Manispaa kutokana na mgogoro wa Leseni na service levy. Hali hii imetokana na aliyekuwa afisa biashara Richard kugushi vitabu vya Reciept na kutoa Leseni hewa lakini amekuwa akilindwa licha ya ushahidi wote kuwekwa...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Biashara ya hardware kwa mtaji wa mil.7

    Habarini wakuu, Nina mtaji wa milion 7 nataka nianzishe biashara ya hardware, naomba kwa wazoefu wa biashara hii wanijuze wapi naweza pata location nzuri kwa Mkoa wa DSM na kwa mtaji huo ninaweza kuspecialize na vitu gani kwa kuanzia. Ahsanteni, nasubiri feedback kutoka kwenu wazoefu wa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rushwa na biashara vinarudi Tanzania

    Nimetoka Tanzania juzi na mara ya mwisho kwenda Tanzania ilikuwa 2019. Kwa maono yangu 1. Biashara zinaanza kurudi kwa kasi na watalii wameongezeka sana 2. Rushwa inarudi kwa kasi sana hasa NIDA na Police traffic. Mfano NIDA kuna watu wanasubiri miaka miwili card bila kuwaambiwa sababu...
  4. JamiiForums Tanzania Kipindi cha Mr. Right ni kizuri Ila namna kinavyofanyika kinaaibisha na kudhalilisha Wanawake

    KIPINDI CHA MR. RIGHT NI KIZURI ILA NAMNA KINAVYOFANYIKA KINAAIBISHA NA KUDHALILISHA WANAWAKE. Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Ingawaje ni aibu kubwa Kwa mwanamke kutoka hadharani na kutangaza kukosa mume WA kumuoa lakini hiyo tunaweza kusema ni kasumba tuu Mbaya. Taikon ninaamini hata...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Hakuna mfanya biashara aliyeporwa fedha zake, kuwarudishia ni mbinu nyingine yenye ufisadi na viongozi kutengeneza biashara zao wenyewe!

    Aliyeporwa fefha zake, anapaswa aishitaki serikali na sio serikali kushughurikia malalamiko hewa ya wakwepa kodi Serikali Kulipa fedha yoyote Kwa mfanya bishara bila kuwepo madai ya kimahakama, ni mbinu nyingine Kwa viongozi kukwapua pesa na kujilimbikizia Mali za umma Hakuna aliyeporwa na...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya miwa

    Habari wakuuu, Mimi nauza miwa kutoka shamba moja Kwa moja, miwa mizuri kabisa Kwa matumizi ya juice na kutafuna. Pia naomba Kwa anayejua sehemu ya uhakika nayoweza kushusha mzigo nikauza Kwa juamla anisaidia Kwa hapa Dar es salaam. 0658644485 number yangu
  7. JamiiForums Tanzania TRA, E-filing System inarudisha nyuma kasi ya uchumi wa Biashara

    Straight to the point, mfumo wa taarifa za marejesho (e-filing System) unarudisha nyuma kasi ya maendeleo ya uchumi na kuikosesha serekali mapato kwa wakati. Mfumo huo umezidiwa nguvu na umekua kero kubwa inayorudisha nyuma maendeleo ya uchumi wa biashara hasa kwa wafanyabiashara wadogo...
  8. JamiiForums Tanzania Ajira ajira natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta yangu

    Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano. Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu. Karibuni mwenye pikipiki tuelewane na tuingie mkataba. Location ni: Dar es Salaam
  9. JamiiForums Tanzania Ajira: Natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta yangu

    Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano. Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu. Karibuni mwenye pikipiki tuelewane na tuingie mkataba.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Business plan ya ufugaji wa kuku

    1. KUKU WA KISASA WA MAYAI 2. KUKU WA NYAMA 3. KUKU WA KIENYEJI Michanganuo hii (Business Plans) kwa lugha ya kiswahili na kiingereza ina kila kitu kuanzia muhtasari, soko, usimamizi mpaka taarifa zote za fedha. Unaweza kuitumia unapoandaa mchanganuo wako wa kuombea pesa mahali au kuendeshea...
  11. M

    JamiiForums Tanzania HAIKUBALIKI: Mitandao ya simu kutumia simu zetu kama bango lao la matangazo ya biashara, WAKOME!!

    Hii haikubaliki hata kidogo na nawaomba wamiliki wenzangu wa siomu za mkononi tukatae kwa nguvu zote makampuni ya simu kutumia simu zetu kama bango lao la biashara! Wanatujazia mameseji kibao wakitangaza biashara zao. Simu ninunue mimi halafu wewe uitumie kwa matangazo yako ya biashara bure...
  12. JamiiForums Tanzania Namtafuta raia wa Kenya wa kufanya naye biashara

    Hapo vip!! Hapo vip!! Mimi ni mfanyabiashara na napatikana Arusha, ila napenda sana nikimpata Mkenya ambaye yupo tayari kufanya biashara nje ya mipaka. Napenda kufanya biashara na wakenya au Wanaigeria...niwatu ambao naona naweza kufanya nao kazi kwenye biashara.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya Biashara ya China CIIE yaongeza idadi ya wateja wa makampuni ya Afrika

    Maonesho ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa nchini China (CIIE) ya mwaka 2022, yamemalizika hivi karibuni huko Shanghai. Maonesho haya yameonekana kuongeza chachu kwenye uhusiano wa kiuchumi na kuufanya uendelee mbele zaidi, baada ya mikataba iliyosainiwa na makampuni yaliyoshiriki kwenye maonesho...
  14. JamiiForums Tanzania Mashine na biashara za betting zinauzwaje?

    Naomba kujua yafuatayo juu ya mashine na biashara za kubetisha mpira. 1. Mashine zinauzwaje. 2. Zinapatikanaje/wapi? 3. Mtaji wake kiasi gani? 4. Risk zake ni zipi? 5. Faida yake inapatikanaje? Nk
  15. JamiiForums Tanzania Idea 3 za Biashara zinazoenda kuniweka kundi la Milionea by 2025

    Habari Wakuu! Sio kila mtu kwake mtaji ni tatizo, wengi wetu tuna pesa ndefu kiasi tu kwenye Acc, (20M+50M). Personal, nilipanga kuanza kuwekeza kwenye biashara kwa Capital ya 30M, ambapo nashukuru mtandao wa JamiiForums chini ya Maxence Melo hatimaye nimeweza kuvuna idea 3 muhimu kupitia...
  16. JamiiForums Tanzania Biashara ya ufundi simu

    Kwema wanajamii forum?? Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,kuna mdogo wangu ananisumbua sana,kamaliza chuo sasa hana kazi,kaniomba nimfungulie office ya ufundi simu. Sasa nilitaka kujua mpaka ufungue hiyo office itagharimu kiasi ghani? Na kila kifa cha muhimu bei yake na kinaitwaje?? Dogo...
  17. JamiiForums Tanzania Changamoto za kodi kwa wafanyabiashara

    Habari wana jf Nimekuwa tax consultant kwa miaka miwili sasa katika changamoto nimekutana nazo sugu nipamoja ya tra kwa wafanya biashara watu wengi wamekuwa wakisajili makampuni na kuyatelekeza bila kujua madhara yake ninini? Ambayo imepeleke badae kuwa na madeni makubwa sana leo nataka...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Soko la biashara ya dagaa kwa upande wa Dar es salaam nalipata vipi??

    Naomba msaada kuhusiana na biashara ya dagaa. Nataka nianze kufanya nanunulia mwanza nauza huku Dar lakini sijapata soko. Nalipataje soko, wazoefu naomba mnisaidie kwa hili.?
  19. B

    JamiiForums Tanzania RC Makalla atoa onyo eneo la Muhimbili hospitali mwisho leo kufanyika biashara

    29 October 2022 Dar es Salaam, Tanzania RC MAKALLA ATOA ONYO ENEO HILI LA MUHIMBILI HOSPITALI |MWISHO LEO KUFANYIKA BIASHARA Source : Dar es Salaam RS Digital More info : October 31, 2022 2 min read Na Heri Shaban, TimesMajira Online, Ilala RC Makala: Hospitali ya Muhimbili sehemu...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kazi

    Nina umri wa miaka 22 ninaehitimu degree ya biashar dsm chuo cha biashara cbe naomba msaada wa kazii yeyote itayonisaidia kujikimu mwenyew
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…