biashara

  1. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chips Morogoro Mjini

    Mimi ni kijana nliehitim chuo mwaka huu nmeamua nijiajiri kuuza chips biashara hii nataka nikaifanyie Morogoro coz maisha yangu nataka nikaishi huko. Naomben USHAURI kwa wazoefu na wenyeji wa mkoa wa Morogoro MJINI wanishauri chimbo linalo faa na kuchangamka
  2. Philemon2008

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya nafaka

    Habari za wakati huu wapendwa. Naomba kufahamu Bei halisi ya ununuzi wa gunia za Mahindi, mchele, maharage. Pia gharama za usafirishaji kutoka mikoa mbali mbali Nchini Tanzania 🇹🇿 Asante.
  3. Blauzi mbovu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ufafanuzi wa kodi ya biashara

    Habari zenu wakuu ! Leo nakuja kwenu nikihitaji ufafanuzi wa masuala kadhaa yanayohusisha kodi ya biashara. Ni kiasi cha miaka minne sasa tangu niingie ktk ulingo wa kutafuta maisha kupitia biashara. Nimekuwa nikihangaika na biashara tofauti tofauti za kila namna lengo niingizie kipato...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

    Habari wakuu. Natumaini mnaendelea vizuri na maandalizi ya sikukuu. Bila kuwachosha sana, nimeweza ku save jumla ya shilingi milioni 64 hadi sasa, kiasi hiki nimeweza kukisave kuanzia mwezi April mwaka huu kutoka kwenye mshahara wangu. Nipo mkoa wa Dodoma. So far, nimefikiria kuwekeza katika...
  5. Equation x

    JamiiForums Tanzania Nawapa wazo la biashara litakalobadilisha maisha yako 2023

    Ulimwengu wa sasa ni waki-digitali; chochote unachokifanya, hakikisha kina sehemu kuu 3; - Biashara yenyewe Blog yake Youtube chanel yake Ikiwa na maana; kwenye biashara utapiga hela, youtube utapiga hela, na blog utapiga hela. Mfano:- We ni mkulima wa mboga mboga Anzisha youtube, kuhusu...
  6. kokudo

    JamiiForums Tanzania Nani anaijua biashara ya vifaa vya simu kwa kina?

    Habari za majukumu, Nani anaijua biashara ya accessories za simu kama cover, glass, spare no? Tusaidie kujua ni Vitu gani mtu afanye kama anaanza ni cover or glass zipi aanze nazo. Asante kwa comment yako, najua itawasaidia wengi.
  7. N

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Jinsi ya kupata kibali cha kusafirisha mazao

    Msaada jamani, kwa wale wafanya biashara wazoefu wa kusafirisha mazao nilikuwa nahitaji kujua jinsi ya kupata kibali cha kusafirisha mazao.
  8. Travis Walker

    JamiiForums Tanzania Kitabu changu cha mwanzo cha biashara

    Habari wakuu. Hii ni mara yangu ya kwanza kuandika kitabu kinachohusiana na biashara pamoja na mafanikio. Kitabu hiki kimekubaliwa kuwa published on Amazon na publishers nyengine zinashirikiana na Amazon ya USA na UK. Kipo digital kwenye Amazon Kindle pia unaweza kupata kopi ya kitabu. Kama...
  9. Bexb

    JamiiForums Tanzania Naomba mwongozo wa vibali katika Biashara ya mbao

    Habari ya wakati huu wakuu. Ninaomba maelekezo na mwongozo kwa vibali ambavyo mtu/kampuni inapaswa kuwa navyo ili iweze kufanikisha kusafirisha mbao/magogo kwenda nje ya nchi hasa Kenya na nchi za Asia. Pia kama kuna mamlaka nyinginezo zozote ambazo nitapaswa kupita kabla ya chochote ili...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Biashara zipi zinafanya vizuri (zinalipa sana) mkoa wa Dar?

    Habari, Kama inavyojulikana mkoa wa Dar es Salaam ndio mkoa mkubwa kwa biashara.ukianzisha biashara yoyote inatoka ila kuna kuzidiana. Thread hii ni ya kusuggest biashara zinazotoka sana na zinalipa sana kwa Dar es Salaam. ~ Uuzaji wa chipsi (chakula kizuri) kwa ujumla. ~ Uuzaji wa nguo (za...
  11. Jay_255

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa kuanza biashara ya madini A - Z

    Kwa wale wanaohitaji kufaham kinagaibaga biashara ya madini kitabu hiki kitakupa mwanga wa wa kujua yafuatayo 1.Aina za madini na mahali yanapopatikana nchini Tanzania 2.Bei ya madini sokoni na yanauzwaji 3.Jua namna ya kupata leseni za uchimbaji wa madini , ununuaji wa madini na usafirishaji...
  12. Munguwetu

    JamiiForums Tanzania Biashara ya simulizi kwenye mitandao

    Siku hizi imeibuka biashara ya simulizi mitandaoni ikiwemo Whatsapp na Facebook. Hawa watunzi wamejigawa katika makundi. Watunzi halisi, wanaocopy kazi za wenzao na kuziuza bukubuku. IPO mifano Mtunzi hapa JF ndg Singano bila shaka anajua mwenyewe anatungaje na kutuma vipande vipande wastani...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Watanzania, hasa vijana, waaswa kuchangamkia fursa za Kilimo Biashara. Dkt. Ashatu Kijaji aipongeza kampuni ya Agricom Africa

    1. Videos Kuona ni Kuamini!, Shuhudia kwa Kuona kwa Macho yako, Sikia kwa Masikio yako! 2. News Story Watanzania, wamehimizwa kutumia zana bora na za kisasa za kilimo kwa kuchangamkia fursa za kilimo biashara, ili kuzalisha bidhaa nyingi za kilimo zitakazo tumika kama malighafi ya viwanda...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Eneo la kufanya stationery na jinsi ya kuboresha biashara hii

    Kwahiyo, location imekuwa tatizo kuoata kwasababu sehemu nyingi watu wamejaa wenye kufanya tasnia hiyo ya stationery. Location ambazo nakusudia ni: Posta Sasa sijapata na naskia stationery zimejaa sana maeneo hayo. Sasa thread hii nataka kuomba ushauri nifanye nini ili kuboresha biashara...
  15. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini biashara nyingi za kibongo mpaka mbembelezane?

    India! Nilienda Kenya tu hapo, nkagundua maduka mengi watakukaribisha ila swala la kununua hakuna kubembelezana kama ilivyo bongo. Kibongobongo wateja wamezoea kubembelezwa, nunua basi, kwani una shingapi? Chukua hii basi. Au jaribu basi ile? Hatujui kuwa trade ni nipe nikupe? Wote...
  16. Kibenje KK

    JamiiForums Tanzania Biashara msimu wa sikukuu. Zipi biashara za kufanya

    Kila Mmoja anafahamu kuwa msimu wa siku watu hununua mahitaji mbalimbali. Naomba tusaidiane. Ni biasahra gani ya msimu huu wa siku mtu anaweza kufanya?
  17. Sun Wukong

    JamiiForums Tanzania Nina laki sita, nifanye biashara gani?

    Ni mwanafunzi wa chuo first year fulani hivi Dar, nina pesa laki 6 ambayo ninafikiria sana nifanye biashara ila wazo haliji yani. Najua kuna ambao walianza chini labda wanaweza nishirikisha nini nifanye, kwakweli sipendi kabisa umasikini. Karibuni.
  18. system hacker

    JamiiForums Tanzania Amkeni: Niambie unafanya biashara gani nikusaidie kupata fedha zaidi kwa kutumia mfumo wa sayansi ya fedha na biashara

    New update . . . . 25.12.2022 Merry Christmas and Happy New Year 2023. Umewahi kusikia kuhusu CMC Marketplace? . . CMC Marketplace ni mfumo wa Soko la kutegemeana kwa wale wanaoamini kufanikiwa kwa kushikana mikono na kuinuana kiuchumi. . . Watu wamejiunga kwenye mfumo huu, ili kufanya...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Ipi ni biashara nzuri?

    Naomba ushauri kutoka kwenu, jambo lipi linalipa kwa haraka na kwa mtaji mdogo nijenge vyumba vinne vya kulala kisha nipangishe au nijenge fremu nne kisha nipangishe kwa ajili ya biashara .Naomba ushauri wenu
  20. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Tecno imezindua rasmi zigo la Disemba

    Kampuni ya Simu ya Tecno yazindua rasmi promosheni ya kufunga mwaka kwenye makao makuu yao Jijini Dar es Salaam wakiwa na balozi Kibwana Ally Shomari. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Meneja masoko wa kampuni ya TECNO Bi Salma Shafi amesema katika msimu huu wa Kombe la Dunia na sikikuu za...
Back
Top Bottom