biashara

  1. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini biashara nyingi za kibongo mpaka mbembelezane?

    India! Nilienda Kenya tu hapo, nkagundua maduka mengi watakukaribisha ila swala la kununua hakuna kubembelezana kama ilivyo bongo. Kibongobongo wateja wamezoea kubembelezwa, nunua basi, kwani una shingapi? Chukua hii basi. Au jaribu basi ile? Hatujui kuwa trade ni nipe nikupe? Wote...
  2. JamiiForums Tanzania Biashara msimu wa sikukuu. Zipi biashara za kufanya

    Kila Mmoja anafahamu kuwa msimu wa siku watu hununua mahitaji mbalimbali. Naomba tusaidiane. Ni biasahra gani ya msimu huu wa siku mtu anaweza kufanya?
  3. JamiiForums Tanzania Nina laki sita, nifanye biashara gani?

    Ni mwanafunzi wa chuo first year fulani hivi Dar, nina pesa laki 6 ambayo ninafikiria sana nifanye biashara ila wazo haliji yani. Najua kuna ambao walianza chini labda wanaweza nishirikisha nini nifanye, kwakweli sipendi kabisa umasikini. Karibuni.
  4. JamiiForums Tanzania Amkeni: Niambie unafanya biashara gani nikusaidie kupata fedha zaidi kwa kutumia mfumo wa sayansi ya fedha na biashara

    New update . . . . 25.12.2022 Merry Christmas and Happy New Year 2023. Umewahi kusikia kuhusu CMC Marketplace? . . CMC Marketplace ni mfumo wa Soko la kutegemeana kwa wale wanaoamini kufanikiwa kwa kushikana mikono na kuinuana kiuchumi. . . Watu wamejiunga kwenye mfumo huu, ili kufanya...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ipi ni biashara nzuri?

    Naomba ushauri kutoka kwenu, jambo lipi linalipa kwa haraka na kwa mtaji mdogo nijenge vyumba vinne vya kulala kisha nipangishe au nijenge fremu nne kisha nipangishe kwa ajili ya biashara .Naomba ushauri wenu
  6. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Tecno imezindua rasmi zigo la Disemba

    Kampuni ya Simu ya Tecno yazindua rasmi promosheni ya kufunga mwaka kwenye makao makuu yao Jijini Dar es Salaam wakiwa na balozi Kibwana Ally Shomari. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Meneja masoko wa kampuni ya TECNO Bi Salma Shafi amesema katika msimu huu wa Kombe la Dunia na sikikuu za...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata mkopo benki kwa dhamana ya mkataba wa biashara?

    Naomba kufahamu kama kuna uwezekano wa benki kuwezesha biashara ambayo ndiyo inaanza kwa namna ya wao kama benki kutumia mkataba wa makubaliano ya kibiashara kati ya kampuni yangu na ya China kwenye biashara ya pembejeo?
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta Partner kwenye biashara ya marudio (Uchenjuaji wa marudio ya Dhahabu)

    Wakuu habari zenu. Nitaenda moja kwa moja kwenye mada, natafuta mtu ambaye nitashirikiana naye katika biashara ya uchenjuaji wa marudio ya dhahabu. Marudio yapo maeneo ya Morogoro, marudio yenyewe yanasoma kati ya 1.2ppm-3.2ppm kwa hiyo average nakisia inaweza kuwa 1.8ppm ila itabidi...
  9. JamiiForums Tanzania Hakuna Biashara Mpya, Angalia loopholes za wengine Kisha Angalia Mfuko (mtaji) wako

    Mwaka unaisha leo ndio tunafunga Nov kesho ndio 1st Dec zinabaki siku tu sio mwezi tena wala miezi tufunge 2022 and if God wish ikimpendeza tuingie 2023 tukiwa na Mipango na mikakati mipya ya nguvu mno. Nadhani hii itakuwa Funga mwaka yangu ya 2022, tangu huu mwaka uanze tumepiga story za...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa biashara wa maeneo haya, nipeni mbili tatu!

    Habari za mchana wana JamiiForums na wapenzi wa jukwaa la Biashara na Ujasiriamali. Nimekuja kwenu kuomba ushauri na sitaki kuwachosha, naenda moja kwa moja kwenye mada. Haya wanajamvi, ndugu yenu naondoka hapa Dar es Salaam naingia mkoani kwa shughuli za utafutaji. Naombeni ushauri kati ya...
  11. L

    JamiiForums Tanzania China kufungua mlango zaidi kwa nje kutaipatia Afrika fursa mpya

    Kufuatia kuondolewa ushuru kwa asilimia 98 ya bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi 9 za Afrika mwezi Septemba, kuanzia tarehe mosi, Disemba, China haitatoza ushuru wa asilimia 98 za bidhaa za nchi nyingine 9 za Afrika zikiwemo Tanzania na Uganda. Kurahisisha biashara ni njia muhimu ya kuzisaidia...
  12. JamiiForums Tanzania Mahari ni biashara ya utumwa. Kwanini dunia ipo kimya?

    Habari za sasa wanachama wa Jamiiforums natumai wote ni wazima wa afya, nilikuwa na jambo lini kereketalo moyoni mwangu liitwalo “MAHARI”  Nilikuwa na tatizo na huu utamaduni ulio zoeleka hapa dunia mpaka kukomaa wa malipo ya kifedha/mali kwa mwanaume/mwanamke ili kuweza kukidhi vigezo vya kuoa...
  13. JamiiForums Tanzania Biashara ya bodaboda imeua ndoto za vijana wengi

    Habari! Hapa naomba tuelewane kuwa sizungumzii pesa bali nazungumzia ndoto za vijana katika kuliinua taifa na familia zao. Pamoja na kazi ya bodaboda kuwapatia kipato vijana na baadhi ya wazee ambao wanaifanya hiyo biashara lakini imechochea uchumi wa China na India kwa kiasi kikubwa. Hapa...
  14. JamiiForums Tanzania 'Ngono Biashara' chanzo cha maambukizi mapya ya UKIMWI kwa vijana

    Zikiwa zimesalia siku nne kabla ya kilele cha maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani, inaelezwa kuwa uhusiano wa kimapenzi usio wa ndoa, wala wa kibiashara unaochochewa na dhana ya wazi kwamba ngono itabadilishwa kwa usaidizi wa mali au manufaa mengine almaarufu ngono muwawana, unazidi kujengeka...
  15. JamiiForums Tanzania Biashara ya kukodisha ukumbi kwa shughuli mbalimbali

    Ndugu wadau nimeleta uzi huu ili mimi na wale wote wanao ifahamu vizuri hii fursa. Maana kila kukicha kuna sherehe kuanzia birthday mpaka harusi na mikutano.Nina maswali kadhaa; 1. Ukubwa(sq metres) za ukumbi unao beba watu 100. 2. Parking itakayo takiwa kuachwa kwa angalau ukumbi au garden...
  16. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Diamond Anayejijua kimziki kashuka na kuhamisha juhudi zake aje kuwa mfanya biashara mkubwa bilionea

    Sina ndoto za kuimba milele, nataka kuwa mfanyabiashara mkubwa bilionea. Ni maneno yake hayo aliyoyatoa hivi karibuni msanii Diamond Platnumz, ni maneno ya kuonyesha kwamba kwa sasa kaona wazi kabisa zama zimebadilika na muda umeenda, badala ya kuendelea kulazimisha game kwa nguvu ameona ni...
  17. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miti ya mibuyu yang'olewa na kusafirishwa kuuzwa kimataifa

    Wanamazingira wapinga mti wa mbuyu kungolewa na kuuzwa. Miti hiyo adhimu inayoenziwa na wenyeji wa kaunti ya Kilifi pwani ya Kenya hutumika kwa shughuli nyingi za kijamii. Mambo hayo ni kama kufanyia matambiko, kubwaga mashetani yabaki ktk mbuyu, mbegu / punje za ubuyu hutumika kama kikolezo...
  18. JamiiForums Tanzania Tuanze kuwatoza kodi wafanyabiashara wanaofanya matangazo ya sauti kwenye maeneo ya biashara

    Kama umewahi kutembelea maeneo ya biashara mfano Kariakoo n.k utagundua kila mahali ni kelele. Kila mtu anatangazo lake na wakati mwingine kusababisha noise pollution kwa watu wengine. Sasa kwanini tusianzishe kodi itakayotozwa kwa hawa wanaosababisha makelele kwenye maeneo hayo? Ni wakati...
  19. JamiiForums Tanzania Biashara ya Majenereta imeshamiri

    Ukipita Kariakoo, husikii kelele za watu tena bali Majenereta ambayo kila duka linalo. Mengi ni madogo madogo, kila moja na mlio wake. Maduka ya kuuza majenereta nayo yamepandisha bei za jenereta hizo. Jenereta zilizokuwa stoo zimeitiwa mafundi Tanesco mwatuweza Sent from my M2006C3LG using...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Rushwa na biashara vinarudi Tanzania

    Nimetoka Tanzania juzi na mara ya mwisho kwenda Tanzania ilikuwa 2019. Kwa maono yangu. 1. Biashara zinaanza kurudi kwa kasi na watalii wameongezeka sana. 2. Rushwa inarudi kwa kasi sana hasa NIDA na Police traffic. Mfano NIDA kuna watu wanasubiri miaka miwili card bila kuwaambiwa sababu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…