biashara

  1. L

    JamiiForums Tanzania Vita ya kiteknolojia ya Marekani inaweka shinikizo kwa biashara zake yenyewe

    Kampuni kubwa ya simu ya Marekani, Apple, inapanga kutoa punguzo la bei la yuan 700, sawa na dola za kimarekani 103 kwa simu zake zote za iPhone 14 Pro zinazouzwa nchini China. Hii ni kwa mujibu wa waraka wa ndani wa SUNPIE, wakala maalum wa kampuni ya Apple nchini China. Na katika baadhi ya...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Watu wa mikoani mnao agiza bidhaa Dar es salaam pitieni hapa

    Deleted
  3. B

    JamiiForums Tanzania TCDC yawakaribia wadau Sekta ya Ushirika kujadili na kuweka mikakati ya kukuza Sekta hiyo

    Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) kwa kushirikiana na Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC) wameandaa mkutano maalum wa wadau wa sekta ya ushirika unaotarajiwa kufanyika Februari 27, 2023, katika ukumbi wa mikutano wa Makao Makuu ya Benki ya CRDB. Taarifa hiyo imetolewa na...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kwa watu kufunga biashara zao siku ya Jumanne?

    Salaam Wakuu, Ifikapo Jumanne kwa Dar es salaam imekuwa ni siku ya shida kupata huduma mbalimbali katika maeneo ya biashara. Maeneo kama Saloon, Baa na maduka ya bidhaa mbalimbali yanafungwa katika siku hii. Je, kuna siri au sababu yoyote kwa jambo hili? Anayefahamu naomba kuelimishwa.
  5. JamiiForums Tanzania Hakikisha unafanya kwa ukubwa Biashara yako wakati unaanza

    Hakuna jambo gumu katika biashara kama mwanzo, biashara nyingi hufa mwanzoni si kwasababu hamna wateja ila ni kutokana na ufinyu wa mtaji na na kwa wenye mitaji kutojua nini cha kuuza na kipi kianze kipi kifate. Leo nataka nimsaidie mawazo mtu mwenye mtaji anaetaka kuanza kufanya biashara ila...
  6. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa ku-boost biashara zetu

    Biashara ni mbegu, ili mbegu ikue inahitaji kumwagiliwa, mbolea, palizi, pruning etc. Hivyo hivyo biashara ili ikiwe inahitaji promotion na advertisement. Kila biashara inahitaji watu, watu ambao ni wanunuzi, watu ambao ni wateja, nk. Leo kupitia uzi huu mention biashara yako na mahali ilipo...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Biashara ya baibui(abaya) za mtumba

    Habari zenu wadau. Naamini mpo vyema. Nahitaji mtu wa kushirikiana nae kibiashara nipo Zanzibar. Nahitaji baibui za mtumba ndo biashara ambayo nna expirience nayo coz niliwahi kufanya na mtu kabla lakini baadae alisafiri na alowaachia hawakuwa na mashirikiano mazuri na mtaji wangu ulikuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna Siri Nyingi Zimefichwa Kwenye Biashara za Online Njoo Tujadili Kwa kina

    Kuna siri nyingi zimejificha kwenye soko la biashara za online kwaujumla hasa kwenye ubora.Siku hizi ukipitia kwenye mitandao ya kijamii utakutana na manung'uniko mengi kutoka kwa watu hususan waagizaji wa bidhaa mtandaoni kuuziwa bidhaa ambazo ziko chini ya kiwango nfano vifaa vya...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali iangalie hii biashara sehemu za ibada ...maji na mafuta ni chanzo cha mapato vikatwe kodi

    Huu ni ushauri kwa serikali yetu kuna hizi biashara katika sehemu za ibada mfano kuna kuuza maji kuuza mafuta na vinginevyo serikali iweke utaratibu wa kukusanya mapato katika hizi biashara ambazo Inafanyika bila kulipiwa Kodi. Lipa Kodi kwa naendeleo ya nchi
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini machangudoa, makahaba, mashoga na malaya hawatajiriki kwa biashara ya kuuza mwili?

    Kusudi kubwa la kufanya biashara yoyote ni kuridhisha mahitaji ya mteja. Mteja anaporidhika ndipo unapata nafasi ya kuuuza zaidi na zaidi. Matajiri wengi wakubwa kwa wadogo ni wafanyabiashara. Hawa wenzetu wanaouza miili yao usiku na mchana mbona hawatajiriki? Au kazi yao ni ya laana hela...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa wenye Uzoefu na Biashara ya Vituo vya Mafuta [Fuel Stations]

    Habari za Muda huu Wakuu! Kadri Umri unavyosogea, na majukumu yanapoongezeka ndivyo tunavyozidi kutafuta namna mpya ya kuwekeza ili kupata Uhuru wa Kiuchumi (Financial Freedom) kuelekea kwenye Umri wa Uzee. Kwa muda mrefu nimekuwa nawiwa kufanya uwekezaji kupitia kujenga na kumiliki Kituo cha...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kituo cha huduma za uchumi na biashara ya kidijitali kati ya China na Afrika cha Hunan chaanzishwa Changsha

    Kituo cha huduma za kidijitali za uchumi na biashara kati ya China na Afrika cha mkoa wa Hunan kimezinduliwa jana Jumatatu mjini Changsha. Kituo hicho kinatarajiwa kuunga mkono ujenzi wa uwezo wa kidijitali na TEHAMA kwenye ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya China na Afrika, na pia...
  13. JamiiForums Tanzania Biashara ya makeup and studio

    Habari wanandugu, leo nimependa kushare na watu moja kati ya biashara zinazofanya poa hasa apa jijini dar es salam na hii ni biashara ya studio and makeup. Watu wengi wanafungua studio za photoshoot and video shooting ila wanajikuta awakuzi kile wanachokifanya kwakuwa wanashindwa kujuwa ni...
  14. JamiiForums Tanzania Mwenye season na movie hizi, aje tufanye biashara

    Salamu wakuu, nina uhitaji wa movie na season kwa mwenye nazo, anaweza nisaidia au tukafanya biashara nikampatia kiasi kidogo Cha fedha. Ninapenda movie za aina nyingi ziwe za kizungu, kihindi,kichina na hata za kituruki. 👉Ziwe za action,commedy, investigation na hata wizi. List yangu ni...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta frem ya biashara Goba

    Habari wakuu, Natafuta fremu ya kuweka nguo maeneo ya Goba Center. Maeneo yawe yamechangamka wakuu. Kama unayo au naweza kuipata kupitia wewe tuwasiliane wakuu. 0734 187722 (WhatsApp)
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kutafuta maisha au kufanya biashara mpaka wa Kasumbalesa njoo tukumbushane visa vya huko

    Mara ya kwanza ilikuwa ni likizo yangu December 2018, nikiwa na mwenyeji wangu ( mzambia) baada ya kupeleka mchele na kumaliza kuuza, mwenyeji wangu alinishauri tusogee Rukwa, tununue dagaa then tuwapeleke Kasumbalesa kwa kipindi hicho akadai wanalipa na yeye anawafahamu dagaa ila shida lugha...
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya biashara kwenye eneo lililochangamka Dar es Salaam

    Natafuta nyumba ya biashara ya kununua iwe chini ya 50mil Kama ni lodge, Ya kupangisha/apartment, Fremu, Iwe DSM eneo lililochangamka Weka biashara hadharani Maswala ya kutaka namba za simu siyo nzuri kama hujaweka hadharani Nyumba picha, maelezo ya muhimu weka na namba yako ya simu
  18. JamiiForums Tanzania Wekeza sasa kwa Scandinavia Express ijayo | Biashara ya Mabus

    Habari Wakuu, Matumaini yangu mko njema na kwa wale wanaopitia heka heka na magumu Mungu abariki mihangaiko yenu iwe yenye kulipa fadhila la jasho lenu linalochuruzika kila kukicha. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye kiini cha uzi huu. Kwa miaka kadhaa sasa baada ya anguko la...
  19. JamiiForums Tanzania Niko njia panda yenye maumivu moyoni: Biashara yangu imelala sana je, niende kwa mganga?

    MGANGA ATANIRUDISHA KWELI KWENYE RELI. INTRODUCTION: Mimi ni mtumishi wa umma Ila pia nina ndoto za kuwa mfanyabiashara mkubwa sanaa... Na nikiri NAPENDA HELA SAA. Yaani ukitaka niwe na Amani basi laki kadhaa ziwe kwenye wallet yangu. Katika kukimbiza ndoto zangu niliamua kufungua biashara...
  20. JamiiForums Tanzania Ile kiu ya kusubiria Toleo la Phantom X2 sasa imeisha

    Kampuni ya simu ya TECNO katika kuendeleza kutoa bidhaa zilizo bora na zinazoendana na technologia ya kisasa, tunakuletea lile toleo la kubwa Zaidi kwenye mtiririko wa PHANTOM ambalo watumiaji wengi wa simu janja wamekuwa wakiulizia sasa limefika sokoni na linapatikana kwenye maduka yetu nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…