biashara

  1. JamiiForums Tanzania Kuna vitu huwa vinakera sana na kushangaza kwa baadhi ya wafanyabiashara wanavyofanya biashara zao

    Habari wakuu, Bila shaka umekuwa na siku njema na unatafakari namna mipango ya siku inavyokwenda. Pole sana kwa wenye changamoto ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Mteja ni mtu muhimu sana katika biashara yoyote, lengo la kuanzisha...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Biashara za ki Familia kwa waTanzania zinafeli.

    Nipo Uturuki kwa muda mrefu sasa nimekuja kimasomo na kuangalia fursa nyingine pia. Ila nimegundua kitu kimoja baada ya kufanya internship kwenye biashara ya kifamilia wenzetu kampuni zao za familia zinadumu kwa Generation na generation. Hii nliyopitia internship ni kampuni ina miaka 30 sasa na...
  3. JamiiForums Tanzania Fanya biashara kidigital

    Habari, Kama wewe ni mmiliki wa pharmacy, Hospital au zahanati,supermarket au duka la aina lolote ile bas hii inakufaa, Dunia hivi sasa imebadilika sana tekinolojia inazidi kukua Kila kukicha. Kwa kuzingatia Hilo, Tunakuletea eMs, hii ni program ya computer itakayokuwezesha kurecord mauzo...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Namna nyingine ambayo kikundi, taasisi au mtu binafsi unaweza kuitumia kukuza biashara yako

    Kila mtu, kikundi au taasisi ni tamanio lake kuona ikikukua kufikia ubora au malengo waliyojiwekea. Namna bora ya kukua ni kutoa huduma au kuuza huduma huku ukiwafikia walengwa katika ubora ule ule. Wengi wetu imani kubwa tulijiwekea ni kuongeza walaji wa bidhaa au huduma zetu ili kuweza kufikia...
  5. JamiiForums Tanzania Wakuu Msaada: Biashara haiendi ghafla, nifanyeje?

    Ni Duka langu la Nguo. Sasa Wiki ilopita Niliingiza Mzigo Mpya, katika hali isiyo ya kawaida Mara nyingi Nikishaleta Mzigo Mpya nikiwapigia wateja wangu, huwa Ndani ya Siku mauzo ni karibu 150K. Kijana ananiambia alikuja Jiran (Jirani naye ana frame pembeni ya Huduma yake) akamuomba elfu Kumi...
  6. JamiiForums Tanzania Prof. Sospeter Muhongo Asisitiza Kilimo ni Biashara Kubwa sana Duniani

    MBUNGE PROF. SOSPETER MUHONGO ASISITIZA KILIMO NI BIASHARA KUBWA DUNIANI Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini Mhe. Prof Sospeter Muhongo wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyosomwa Bungeni na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amesema Wizara ya Kilimo inalo jukumu kubwa...
  7. JamiiForums Tanzania Fahamu Jinsi ya Kumpatia Mtu Mtaji na Kumasaidia kukuza Biashara yake

    Habari za wakati huu wadau Ufuatao ni muendelezo wa mada niliyoandika siku kadhaa zilizopita yenye kichwa - Jinsi ya kushiriki katika Uwekezaji Huria (Venture and Angel Investment) Mada hii ni mtiririko wa mada kadhaa ambazo huwa naziandika mara kwa mara kwa lengo la kuchangia katika...
  8. JamiiForums Tanzania Biashara ya Restaurant inamshinda ndugu yangu

    Nina ndugu yangu kaanzisha biashara ya Restaurant na tayari imeanza kumshinda. Nilienda kufanya tathmini kidogo ili niweze kumshauri nikajikuta nashindwa cha kumshauri...ingawa makosa nimeyaona. Kosa kuubwa ni kumfanya mkewe ndo mpishi mkuu. Mapishi ya nyumbani kwao wameleta kwenye biashara...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Bar zilizofungiwa zatakiwa kulipa Faini Milioni Tano 5M kila moja ili ziruhisiwe kufanya biashara

    Mkuregenzi WA NEMC amezipa siku Kumi na NNE waliofungiwa bar kulipa Faini ya shillingi milioni tano la sivyo watazifutia lesini. Mtumishi huyo WA umma ameyasema hayo Leo wakati akitoa taarifa Kwa vyombo vya habari. Hali hii inazidi kuonyesha namna ilivyo ngumu kufanya biashara Tanzania na...
  10. JamiiForums Tanzania Pata Websites pamoja na Email 5 kwa gharama 199,000/= kwa miaka 2

    Je, biashara yako IPO Mtandaoni? Tunatengeneza SIMPLE websites maalum kwa ajili ya Biashara ndogo ndogo. Kwa mwezi huu wa wafanyakazi unapata website pamoja na EMAIL 5 kwa gharama ya shilingi 199,000.Tovuti yako itakuwa hewani kwa muda wa miaka 2 na baada ya hapo utakuwa na unafanya malipo ya...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu sharing kwenye biashara ndogondogo

    Kabla ya kuingia kwenye share, vitu gani lazima vizingatiwe???
  12. JamiiForums Tanzania Biashara ya Tanzania na Ufaransa yaongezeka kutoka Tsh. Billioni 27.8 hadi Tsh. Bilioni 94.5

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax akihutubia mkutano wa pili wa majadiliano ya kidiplomasia kati ya Serikali ya Tanzania na Ufaransa Jijini Dar es Salaam Ukuaji wa biashara kati ya Tanzania na Ufaransa umeongezeka kutoka kiasi cha shilingi billioni...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yawahakikishia wanawake wajasiriamali mtaji wa biashara

    Siku mbili baada ya Benki ya CRDB kupata leseni ya kutoa huduma nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Tully Esther Mwambapa amewahikikishia wanawake wajasiriamali nchini kupata mtaji wa kuanzisha au kukuza miradi yao. Mwambapa ametoa uhakika...
  14. JamiiForums Tanzania Bajeti ya Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024

    BAJETI YA WIZARA YA UWEKEZAJI, VIWANDA NA BIASHARA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb,) amesema ndani ya mwaka mmoja, mifuko na programu za uwezeshaji wananchi kiuchumi imetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 713.8. Dkt...
  15. JamiiForums Tanzania Bado unatafuta wazo la biashara ya kufanya?

    Ngoja nikushirikishe hizi pia. Ufanye biashara gani Kama una 100k, 500k au 1 M? Kwenye biashara kwanza zingatia vitu vitatu (3) A. Uhitaji wa bidhaa husika au tatizo ambalo lipo kwenye jamii/eneo unalotaka kufanya biashara. B. Ujuzi ambao unao. C. Kiasi Cha Mtaji ambacho unacho. Hivi vitu 3...
  16. JamiiForums Tanzania Business manager mfumo wa biashara

    Business Manager (BM) ni sytem inayomuwezesha mfanya biashara kuweza kuiongoza biashara yake kwa kuweka sawa hesabu zake mapato na matumizi pamoja na faida na hasara. kutunza taarifa za wateja na bidhaa kwa ujumla. System ina lugha mbili kiingereza na kiswahili inayomuwezesha mtumiaji kuitumia...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yapata leseni kufanya biashara Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)

    Kinshasa DRC 2 Mei 2023 – Benki Kuu ya Congo (BCC) imeipatia leseni ya kufungua kampuni tanzu nchini humo Benki ya CRDB. Leseni hiyo imekabidhiwa leo katika mkutano maalum kati ya BCC na ujumbe wa Benki ya CRDB ulioongozwa na Afisa Mkuu wa Fedha wa Kundi, Fredrick Nshekanabo. Akikabidhi leseni...
  18. JamiiForums Tanzania Mechi Kali za Kutizama Wiki hii ni Simba vs Namungo na Simba vs Azam nyinginezo tayari Biashara imeshafanyika

    Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo atabisha na kupoteza muda kuangalia Mechi ambayo kila mwenye Akili anajua Wazima Taa Umeme Hakuna FC watashinda zote. Mtu wa Mpira na mwenye Akili lazima tu atatulia Kuangalia Mechi ya Simba na Namungo Kesho tarehe 3 May, 2023 na ile ya Simba na Azam Jumamosi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo na uzoefu juu ya biashara hii wapenda maendeleo

    Habari Wana Jf, nimeona nishare nanyi ili niweze kujikwamua Na Maisha kutokana Na Tafiti ndogo Ya mazingira niliyonayo , wazo langu la biashara ni kudili Au kuuza open shus,Kama makobazi,jamii ya yebo yebo Za dizain mpya,visendo sendo simple,vindala nk vya wanaume na wanawake Hilo Ndo wazo...
  20. JamiiForums Tanzania Hizi ni biashara zilizovuma sana enzi zake lakini kwa sasa zimebaki Historia

    1. Biashara ya kuuza vocha za simu; 2. Biashara ya vibanda vya kupiga simu; 3. Biashara kutembea na Camera kupiga picha; 4. Biashara ya Disco vumbi; 5. Biashara ya Kuonesha Video (VHS); 6. Kusoma mita za Umeme (japo hii haikuwa biashara bali ajira) 7. Biashara ya kuchezesha Joyce Wowowo; Ongeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…