biashara

  1. JamiiForums Tanzania Waziri Biteko asema Tanzania ipo tayari kwa kongamano kubwa la Madini, aelezea kinachokwamisha biashara ya Chumvi

    Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kuelekea Kongamano la Uwekezaji katika Sekta ya Madini Mwaka 2023 linalojulikana kwa jina la Tanzania Mining & Investment Forum 2023, Waziri wa Madini, Doto Biteko amesema wamepanga kutoa elimu kubwa zaidi kuelekea shughuli hiyo itakayofanyika baadaye mwaka huu...
  2. JamiiForums Tanzania Nifanyeje kupata Control Number mpya kulipia leseni ya Biashara baada ya Control Number ya awali kuisha muda wa Matumizi?

    Wasalaam Waungwana, Naomba kupata msaada wa jinsi ya kupata control number mpya kwaajili ya kulipia leseni ya biashara, baada ya control number ya awali kuisha muda wa matumizi kutokana na tatizo la mtandao na system nzima ya tausiportal kutokuwa userfriendly. Nimejaribu kubofya link ya help...
  3. JamiiForums Tanzania Biashara ya Chapchap

    Habari za muda huu wananzengo,naomba kufahamishwa biashara ya Chapchap ambayo naweza kuweka pesa chap nikanunua mzigo na kuuza nibaki na faida.mtaji milioni 4.Nakusudia biashara zile za ulanguzi wa bidhaa.ahsanteni
  4. JamiiForums Tanzania Waziri wa Biashara awajibu wafanyabishara wa Kariakoo baada ya kutoka Ikulu

    Waziri wa Biashara, Ashatu Kijaji amewajibu wafanyabishara wa Kariakoo kuwa kilichotokea ni sehemu ya hatua za kimaendeleo na kwamba biashara sio Vita. Kupitia ukurasa wake wa Instragram Waziri Kijaji ameandika hayo leo ashatukijaji
  5. JamiiForums Tanzania SoC03 Biashara za Wafanyakazi wa Umma zinaleta Migongano ya Kimasilahi na Upendeleo

    BIASHARA ZA WAFANYA KAZI WA KAZINI ZINA PELEKEA UPENDELEO NA MIGONGANO YA KIMASILAHI Kufanya biashara ukiwa offisini sio jambo baya kabisa ni sehemu ya kujiongezea kipato, kwa sababu ni vigumu sana kuishi kwa kutegemea mshahara wa mwezi, hivyo njia pekee ni ya kufanya kazi za kando wanaita nah...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali isipochukua hatua kali kwa Wafanyakazi wa TRA wanaotuhumiwa kwa rushwa, wafanyabiashara wataathirika milele

    Hima hima Tanzania.🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Waziri mkuu, Jana tarehe 17/05/2023 katika mkutano wako na wafanyabiashara wa k/koo asilimia kubwa ya wachangiaji waliwanyooshea kidole baadhi ya wafanya kazi wa TRA kwa RUSHWA iliyokithiri. Kilichonishangaza hukutoa Kauli yoyote Kali ya kushughulikia changamoto hiyo...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nasubiri Uchambuzi wa Yericko Nyerere Sakata la Kariakoo na Ujasusi wa Kiuchumi (Biashara)

    Ndugu zangu tusipige tu kelele kama watu wasiokuwa na mwelekeo bali tulitazame sakata la Wafanya biashara wa kariakoo kwa Angle kubwa ikiwemo athari za Kiuchumi, kisiasa na kiusalama ktk Nchi. Natamani kusikia yule mtaalam wa uchambuzi wa siasa za kiintelijensia ya uchumi (financial matters)...
  8. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Kariakoo: TRA wanatufuata nyumbani, wanatishia kufunga biashara zetu

    Mfanyabiashara huyo amesema, "TRA wanatufuata mpaka nyumbani jamani, tunaomba namba wakija ili tuwatumie picha, wanatutishia wanazuia Biashara zetu, kwanini watufuate nyumbani? Waziri Mkuu siwezi kukwambia kila kitu, hapa sio sehemu salama nipe namba nikufuate chemba, la sivyo nitahatarisha...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji katika maeneo muhimu na ya kimkakati ya biashara yawe chini ya udhibiti wa Serikali. Ya Kariakoo yanaweza kujirudia kwingineko.

    Nianze kwa kusema kwamba kama Serikali ingekuwa na umiliki wa moja kwa moja wa eneo la Kariakoo ,hakika tusishuhudia mgomo wenye kuumiza walaji kama inavyoshuhudiwa. Huu ndio ushauri wangu kwa serikali yangu sikivu, sekta binafsi zinasaidia kwa kiasi kusaidia kukua kwa uchumi lakini sekta...
  10. JamiiForums Tanzania Kaka karibu nyumbani, Mwenyezi Mungu kaamua ugomvi, sasa bahari ipo shwari

    Sitaandika sana, Huwezi amini maneno haya yalitoka kwenye kinywa cha mwanadamu, tena mbele ya camera! Leo hii nimemwona jamaa huyo huyo analia mbele ya camera baada ya mwili wa mpendwa kuwasili. Najua somo amelipata siku nyingine atajifunza cha kuongea. Dunia mapito jama.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba elimu kuhusu biashara ya online

    Habarini naomba mnisaidie kuniambia kuhusu online Bussiness kwasababu Natafuta kazi ya online.
  12. JamiiForums Tanzania UWAJIBIKAJI: Tra&polisi ilala, Mawaziri Biashara, Fedha na Umeme bungeni waziri Nishati na kamati bungeni

    Hii sio nchi ya mtu mmoja au kikundi Cha watu fulani wachache hvyo likitokea Jambo tunaunga kwa pamoja kutatua changamoto. Kero za Tra na Askari kukamata mizigo ovyo ovyo sio kariakoo tuu ni swala la kitaifa. Kero za umeme kukatika bila mpangilio sio let bungeni tuu Bali swala la kitaifa...
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Ashatu Kijaji: Biashara Kariakoo zinaendelea, wafanyabiashara wametumia Demokrasia na Uhuru wao kufungua au kutokufungua

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha 25 leo Mei 15, 2023. WAZIRI MASAUNI: SERIKALI HAIJAJIRIDHISHA URAIA PACHA NI MATAKWA YA WENGI Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema “Bado Serikali haijajiridhisha kwamba uraia pacha ni takwa la...
  14. JamiiForums Tanzania Kufungwa kwa biashara Kariakoo, ni aibu kwa Serikali

    Sina kumbukumbu sahihi kuwa ni lini wafanyabiashara wa Kariakoo wamewahi kugoma kwasasabu yoyote. Kariakoo ndiyo Dubai ya nchi yetu, ina wafanyabiashara wa kila aina, wakiwemo wenye mitaji mikubwa, ya kati na midogo. Kikubwa zaidi wanajitambua, naamini hawawezi tu wakakurupuka kugoma bila...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hizi kodi ziko nchi hii au watu wanasema uongo kumchonganisha Samia na wafanya biashara? Huu ni zaidi ya msiba!

    Mh Rais ni kweli umeamua kuuwa uchumi na biashara kabisa? Hivi kweli umeruhusu kadi za namna hii? Hii nimeikopi kwa mwana jf wakukurupuka1 Nanukuuu “Leo Kuna mgomo kwa wafanya biashara soko kuu kkoo kutokana na kila wiki uzinduzi wa kodi mpya Baadhi ya kodi unazotakiwa kulipa 1: TRA. 2: FIRE...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo ukitatuliwa kwa ushawishi wa vyombo vya dola tutakuwa tunaahirisha tatizo

    Mgomo unaoendelea Kariakoo uwe wake up call kwa serikali kuacha kutumia vyombo vya dola kuendesha biashara za raia. Tutumie wataalam watuambie tatizo lilipo na tulipatie ufumbuzi. Siku dola ikipewa jukumu la kuimarisha usalama biashara zifanyike usiku na mchana nchi itapiga hatua. Lakini...
  17. B

    JamiiForums Tanzania CCM mbeLe kwa mbele: Wakati wa wafanyakazi, wanasiasa na wakulima nyie wafanyabiashara mnasema hayawahusu

    Pamoja na kwamba tuna mifumo mibaya ya uendeshaji wa Nchi bado tatizo kubwa la Tanzania ni Watanzani wenyewe. Yaani Mtanzania mwenye level ya elimu angalau Form Four au Diploma ama tuseme hata Degree bado hawezi ku link maisha yake na siasa, uchumi, Sheria, biashara, kilimo. Yeye anaona mambo...
  18. JamiiForums Tanzania Mimi sigomi, siandamani, na nitafungua biashara yangu kama kawaida hiyo tarehe 15/5/2023

    Sababu zangu kubwa za kutokuunga mkono huu mgomo wa wafanyabiashara ni nyingi, ila nitataja chache tu 1-Sie tumepigwa faini sana na hakuwepo wa kututetea, leo wamebanwa wakubwa huko wanataka support yetu, si sahihi 2-Hivi kuna kipindi wafanyabiashara waliteseka kama awamu iliyopita? Mbona...
  19. JamiiForums Tanzania Biashara ya kubani CD, nyimbo na kuingiza season

    Habari Wakuu, msaada wenye uzoefu Nahitaji kujua hii biashara ya kubani CD, kuingiza season na nyimbo nk vinavyoendana vizuri ikoje changamoto zake, Unahitaj kuwa Na vifaa gani Na inacost bei gani na navipataje. Share experience nasi.
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania, Uingereza zadhamiria kuimarisha biashara na uwekezaji

    Tanzania imeeleza dhamira yake ya kuendelea kuimarisha ushirikiano wake na Serikali ya Uingereza katika sekta za biashara pamoja na uwekezaji. Dhamira hiyo imeelezwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb.) aliposhiriki hafla maalum ya kutawazwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…