barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. Parabolic

    Nape atishia kutoiunga mkono bajeti Wizara ya Ujenzi kisa barabara ya Kusini

    Akichanga mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma May 20, Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, alisema amefika Bungeni akiwa na ujumbe mzito kutoka kwa wananchi wa mikoa ya Lindi na Mtwara pamoja na maeneo mengine ya Kusini...
  2. Zack Abdul

    Waziri Mkuu: Miradi ya barabara ni ufunguo wa uchumi wa wananchi

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kuwekeza katika miradi ya barabara nchini kwa kuwa ndiyo msingi wa kufungua uchumi, kurahisisha usafirishaji wa mazao na kuchochea maendeleo ya wananchi vijijini na mijini. “Hizi kilomita 17 zilizobaki kuelekea Dabaga ni eneo muhimu...
  3. A

    KERO Mkandarasi kamwaga kifusi, hajakisambaza hapa Pongwe - Tanga huu mwezi wa tatu sasa, tunateseka

    Hapa ni Pongwe Mkoa wa Tanga, Mkandarasi kamwaga kifusi kina tope ambacho kimekuwa ni kero kubwa kwa wananchi kipindi hiki cha mvua ni takribani miezi mitatu sasa, hakuna dalili zozote za kusambaza tunaomba msaada liwafikie wahusika. Barabara imezibwa na imekuwa kero kwa Watumiaji wengi. Pia...
  4. A

    KERO Barabara Kibaigwa-Dodoma wanasema imekamilika ila Kwanini haijafunguliwa?

    Hizo picha hapo ni kipande kilichopo mbele kidogo ya Kibaigwa kama unaenda Dodoma kwa kutazama inaonekana ujenzi umekamilika ila barabara haijafunguliwa mpaka leo ni zaidi ya miezi miwili tangu mkandarasi atoe vifaa vyake vya ujenzi. Mkandarasi ameweka mawe kuzuia magari yasipite tunaomba...
  5. A

    KERO Ubovu uliopindukia wa barabara ya kutoka Mbalizi - Songwe Viwandani

    Barabara ya lami kutokea junction pale Mbalizi kuelekea Songwe viwandani ina mashimo mengi sana ambayo yamechangia kuharibu vyombo vya usafiri. Mamlaka husika imekuwa ikiziba mashimo hayo kwa kutumia malighafi isiyokuwa na ubora, ambayo imepelekea mashimo yaliyozibwa kuibuka tena. Lakini kuna...
  6. A

    KERO Madereva wenye dharau barabara ya Mbeya - Tunduma

    Kumekuwa na dharau nyingi zinazofanywa na madereva wanaotumia barabara ya kutoka Mbalizi kuelekea Tunduma. Madereva hao wamekuwa waki-overtake bila kuchukua tahadhari, na mara nyingi wanafanya hivi kama chombo cha moto kinachokuja mbele yao ni pikipiki. Unakuta dereva anataka ku-overtake na...
  7. Roving Journalist

    Waziri Ulega: Serikali imejenga zaidi ya Kilometa 1,495.45 za Barabara kiwango cha lami na madaraja makubwa 18 ndani ya Miaka 5

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanikiwa kujenga kilometa 1,495.45 za barabara kwa kiwango cha lami pamoja na madaraja makubwa 18 ndani ya kipindi cha miaka mitano, hatua iliyoelezwa kuwa mafanikio makubwa katika sekta ya miundombinu nchini...
  8. Roving Journalist

    Serikali yasaini Mkataba wa Ujenzi wa Barabara ya Njia Sita Dodoma–Chamwino Ikulu, Bilioni 241 kutumika

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wa upanuzi wa barabara ya Dodoma Mjini–Chamwino Ikulu yenye urefu wa kilometa 32 kuwa ya njia sita, mradi utakaogharimu takribani shilingi bilioni 241 hadi kukamilika kwake. Mkataba huo umesainiwa kati ya TANROADS kwa niaba...
  9. Mad Max

    Mainjinia mnaoweka lami barabara ya Kimara Weekend mlikua wapi?

    Yaani mnapenda kujipa umuhimu wa bure tu. Weekend mmekaa hamna kazi, jumatatu mnaamka mnajifanya mpo serious. Mnafunga barabara upande mmoja zaidi ya masaa 24. Serious Morogoro Road mnaifanyia ivo?
  10. Zack Abdul

    Barabara: Msingi wa Maendeleo ya Taifa

    Wakati mataifa mengi duniani yanapigana kujenga uchumi kupitia miundombinu ya kisasa ni muhimu kwa sisi Watanzania kutambua kuwa uwekezaji katika barabara si anasa wala matumizi ya kawaida ya serikali bali ni msingi wa maendeleo ya taifa lolote lenye maono ya mbele. Hakuna nchi iliyoendelea...
  11. Roving Journalist

    Mtendaji Mkuu TANROADS atembelea Mradi wa Uboreshaji wa Barabara ya Babati–Gehandu

    Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, Mei 16, 2026 ametembelea mradi wa uboreshaji wa Barabara ya Babati–Gehandu unaosimamiwa na Ofisi ya Meneja wa TANROADS Mkoa wa Manyara. Katika ziara hiyo, Mhandisi Besta amekagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi...
  12. A

    KERO Chemba inayotiririsha maji taka eneo la Shoppers -Mikocheni, pembezoni mwa barabara inachangia mitaro kuziba

    Mitaro iliyopo kwenye barabara kutoka Shoppers Mikocheni Dar es salaam kuelekea Hospitali ya Kairuki imejaa maji machafu na taka, hali inayosababisha harufu mbaya na kuwa kero kwa wakazi wa maeneo hayo, hususan wafanyabiashara. Hali hiyo pia inachangiwa na chemba inayotiririsha maji taka katika...
  13. A

    KERO Viongozi kisarawe wanaisahau sana barabara ya Kiluvya Madukani-Makurunge

    Barabara ya Kiluvya Madukani mpaka Makurunge imeachwa bila matengenezo licha ya eneo hili kupata wakazi wengi miaka ya hivi karibuni. Shida kuu: 1. Miundombinu mibovu: Barabara ni ya udongo wa mfinyanzi. Wakati wa mvua inakuwa na mashimo na inateleza sana. Magari yanakwama. 2. Ufumbuzi wa muda...
  14. Roving Journalist

    DC Mpogolo: Kipindi cha mwezi mmoja Barabara ya Tabata Bima–Kimanga itakuwa na lami

    Serikali kupitia Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na TARURA imeanza utekelezaji wa ukarabati wa barabara ya Tabata Bima–Kimanga iliyopo wilaya ya Ilala, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuboresha miundombinu na kuondoa changamoto ya usafiri kwa wananchi wa eneo hilo, hayo yameelezwa na...
  15. J

    Nahitaji kuhama kutoka halmashauri kwenda tasisi zinahusika na Ujenzi hasa barabara

    Mimi ni Civil Engineer ninahitaji kuhama kutoka halmashauri kwenda kwenye taasisi zenye miradi ya kiuhandisi, huku nilipo hakuna kazi za kiuhandisi nakaa ofisi tu naona taaluma yangu haitumiki ipasavyo, ninahitaji nipate Sehemu ya kuanzia kwenye mchakato wa kuhama
  16. A

    KERO Hivi ndivyo wakazi wa Vijibweni Kigamboni tunavyoteseka na barabara mvua ikinyesha

    Hii ni njia ya Vijibweni Kigamboni, kero hii kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi, mpaka sasa hatujapata utatuzi, mvua ikinyesha huwezi subiri chombo cha usafiri wa umma hapo, unasimama upande upi kusubiria na je, sisi waenda kwa miguu unatoka nyumbani smart tazama njia sasa.
  17. A

    KERO Dar: Janga la Barabara Tabata, mtaa wa NSSF

    Hali ya barabara katika mitaa yetu ya TABATA (NSSF) sasa imefika hatua ambayo si kero tena, bali ni janga la miundombinu linalohatarisha usalama, afya, na uchumi wa kila mkazi. Kama picha zinavyoonyesha, barabara ambazo ilipaswa kuwa kiunganishi cha familia zetu zimegeuka kuwa mashimo ya maji...
  18. K

    KERO Hapa ni maeneo ya Vikindu hospital njia ya Vianzi. Kwa waenda kwa miguu. Mvua ikinyesha maji yanajaa hivi. Mamlaka husika wapo kimya

    Kutofanyiwa ufumbuzi wa tatizo la kujaa maji katika njia ya Vianzi kutoka Vikindu Hospitali kuelekea Masister inaleta shida sana kwa watu kupita. Hii ndiyo njia pekee inayotumiwa na wanafunzi wa vyuo na shule kupita kila siku .
  19. M

    KERO Responded Ubovu wa Barabara Kimanga, Daladala zatishia kusitisha huduma

    Wakazi wa Kimanga, Dar es Salaam, wataanza kukumbana na adha ya usafiri kuanzia kesho baada ya wamiliki wa daladala zinazotoa huduma katika barabara hiyo kutishia kuanza kugoma. Hatua hiyo imefikiwa kama njia mbadala ya kushinikiza mamlaka husika kuchukua hatua za haraka kutengeneza barabara ya...
  20. ChoiceVariable

    Ujenzi wa Barabara ya Kwanza ya Njia 6 Waanza Zanzibar

    My Take Safi sana Wazanzibari Kwa kuamua kujitegemea na kuonesha mfano. Mzanzibari hajawahi kuwa na sifa ya ubianafsi Wala ufisadi kama ule upande wa watu wenye mdomo sana. =========================== Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Said Bakari amesema Serikali imeanza...
Back
Top Bottom