barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyendo

    Sigrada: Sometimes naona bora tungeendelea kutawaliwa na Wazungu, Waafrika wenzetu wanatuchelewesha sana

    Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe Sigrada Mligo amesema "Siwezi kwenda CCM, Haina jipya. Miaka 65 tangu tumecha kutaliwa ajenda ni Barabara, maji umeme. Hawana jipya, kuna muda naona bora tungeendelea kutawaliwa ma Wazungu, hawa Waafrika wenzetu wanatuchelewesha." "Mimi mdogo wangu, nitaenda...
  2. Roving Journalist

    Mtwara: Waziri Ulega atoa miezi mitatu kwa Mkandarasi wa Barabara ya Mnivata - Mitesa (km 100) kukamilisha Kilemeta 50

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametoa miezi mitatu kwa Mkandarasi anayejenga barabara ya Mnivata - Mitesa (km 100), kuhakikisha wanakamilisha kilometa 50 za barabara hiyo kwa kiwango cha lami ili kuufungua Mkoa wa Mtwara kiuchumi na kuunganisha Wilaya mbalimbali za mkoa huo. Ulega ametoa...
  3. petro matei

    Ushauri foleni barabara ya Goba

    Kumekuwa na kero kwa muda mrefu sasa haswa sisi tunatumia njia ya goba asubuhi ila haswa usiku. Kuwa na foleni kubwa sana isiyotembea hata kwa masaa matatu na zaidi. Ombi langu kwa serikali yetu kupitia tonroad wafanye mpango wa kujenga kuchora njia 3 toka around about ya goba mwembe madole...
  4. Nicolas J Clinton Gabone

    HOJA Hifadhi ya barabara ya Morogoro inaangamizwa mbele ya macho yetu

    HIFADHI YA BARABARA YA MOROGORO INAANGAMIZWA MBELE YA MACHO YETU Je, serikali itaendelea kunyamaza hadi tutakapolazimika kulipa fidia tena? Nianze kwa kurudia RAI yangu kuhusu upanuzi wa miundombinu ya barabara. Kwa mtazamo wangu, haikuwa sahihi kupanua Barabara ya Nyerere kwa kubaki na njia...
  5. A

    KERO Serikali imeisahau Barabara ya Bonyokwa-Kinyerezi? wananchi tunaendelea kuteseka

    Naomba kuwasilisha kilio cha wananchi kuhusu ujenzi wa barabara ya Bonyokwa, hususan eneo la Kimara Mwisho. Zaidi ya mwaka mmoja uliopita, mkandarasi alichimba upande mmoja wa barabara lakini akaiacha bila kuendelea na ujenzi. Hali hiyo imeendelea kusababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa...
  6. DogoWaNjombe

    RC Arusha: Ujenzi wa barabara LUDUARE- Serengeti umeanza na hatua za kuunganisha Ngorongoro na Monduli

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla amesema serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tayari imeanza ujenzi wa kipande cha barabara ya Luduare- Serengeti (Km88), akisema barabara hiyo itajengwa kwa kiwango cha tabaka gumu ili kuondoa adha kwa watalii wanaotembelea hifadhi ya...
  7. N

    RESOLVED Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha imeanza kurekebisha Barabara ya Kibaha–Mpiji na ile ya Tankini–Muheza

    Nikiwa mmoja wa Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha tunapongeza hatua ya kuanza kwa ukarabati wa Barabara ya Kibaha–Mpiji pamoja na Barabara ya Tankini–Muheza, kufuatia malalamiko niliyowasilisha kuhusu ubovu wa miundombinu hiyo. Pia soma ~ Halmashauri ya Kibaha hizo Tsh. 420M za...
  8. A

    KERO Kero ya Barabara za Sumve: Miaka 31 Bila Rami!

    Tanzania hii kama Kuna majimbo yaliyobaguliwa basi ni Jimbo la SUMVE wilaya ya KWIMBA mkoa wa Mwanza. Jimbo hili toka uchagaguzi wa kwanza wa vyama vingi vya siasa Tanzania 1995 mpaka waleo hii limekuwa na wabunge watatu pekee lakini halijawahi kuwa hata na millimeter 1 ya kipande cha rami hii...
  9. A

    DOKEZO Mwanza: Barabara ya Mkuyuni inaonekana kujengwa chini ya kiwango

    Barabara ya Mkuyuni, iliyofunguliwa mapema mwaka huu, inaonekana kujengwa chini ya kiwango kinachotarajiwa. Ikumbukwe kwamba mwezi Aprili kulikuwa na mafuriko makubwa yaliyosababisha hasara za mali na usumbufu mkubwa wa usafiri. Mimi ni mkazi wa Mwanza, na kwa zaidi ya miaka 20 eneo hilo...
  10. A

    KERO Tanroads na Mkandarasi wa Barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji Kushindwa Kutekeleza CSR badala yake kusababisha Kero kwa Wakazi wa Mtaa wa Tumaini

    April 24, 2025 Liliwekwa jiwe la Msingi wa Ujenzi wa Barabara ya kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa Kilomita 41, ambapo jiwe hili liliwekwa na Raisi wa Zanzibar Mh. Hussein Ali Mwinyi. Kazi imefanyika vizuri sana ila Changamoto Kubwa Mtaa Wetu wa Tumaini umeelekezewa Maji kiasi kikubwa...
  11. Stuxnet

    Kudhibiti matumizi sahihi ya barabara za mwendokasi, iundwe BRT Enforcement Agency

    Malengo makuu ya miundombinu ya mabasi ya mwendokasi (BRT) ni kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri wa haraka na salama jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, lengo hili linahujumiwa vikali na ukiukwaji mkubwa wa sheria za usalama barabarani. Waendesha bodaboda na bajaj wamekuwa...
  12. Taeyong

    Upanuzi wa barabara jijini Mwanza

    Habari zenu wanaJF, natumaini nyote mnaendelea na pirika za kila siku kwa ajili ya familia na ujenzi wa taifa. Twende kwenye hoja yangu direct! Swali langu ni kwamba "Ni lini serikali itapanua barabara hizi muhimu zinazounganisha Mwanza mjini na maeneo kuanzia Usagara hadi mjini kati na Kisesa...
  13. Roving Journalist

    Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha: Tumetenga Tsh. 50 kuboresha barabara za Mtaa Kibaha Mwaka wa Fedha 2026/2027

    Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha Mkoani Pwani imetoa ufafanuzi kuhusu hali ya Barabara kutoka Sheli hadi Mpigi na ile ya kuelekea Tankini na Muheza katika Kata ya Mailimoja kwa kusema kuwa ilipeleka kiasi cha Shilingi Milioni 420 kwa mgawo wa Shilingi Milioni 30 kwa kila kata. Taarifa ya...
  14. A

    KERO Barabara ya Tunduru Hospital - Mbesa iliyojengwa 2023 imeshakuwa na mashimo na kuharibika nakuhatarisha Watumiaji

    Barabara hii ni mpya na ilikamilika kujengwa mwaka 2023 chini ya usimamizi wa TANROADS Mkoa wa Ruvuma. Hata hivyo, tangu kukamilika kwake imekuwa ikikabiliwa na changamoto mbalimbali. Kwanza, barabara imejengwa kwa kiwango cha chini na ni nyembamba, jambo linalopunguza usalama na ufanisi wa...
  15. Parabolic

    HOJA Juhudi za kukwamua barabara ya Tatedo Goba zimeishia wapi? Tangu uchaguzi Hatumuoni Mbunge wala Diwani

    Barabara ya Tatedo iliyopo katika mtaa wa Kunguru Kata ya Goba jijini Dar es Salaam ni kama imesahaulika, kwani licha ya juhudi zilizofanywa na wakazi wa eneo hilo, tangu mwaka 2020, mpaka leo hakuna mwitikio wa Serikali. Barabara hiyo inayoingilia karibu na nguzo za umeme unaokwenda Zanzibar...
  16. A

    KERO Barabara za Mwanza, hususan Nyamagana hazina hadhi ya Jiji

    Mwanza (Nyamagana), tuliahidiwa ujenzi wa barabara mwaka 2011 na mipaka ya barabara ikawekwa. Hata hivyo, tangu miaka ya 1980 barabara hii haijafanyiwa ukarabati wa kina. Jiji limekuwa likiziba mashimo kwa kuchelewa, hali inayoacha maeneo mengi kuharibika na kusababisha ajali pamoja na...
  17. L

    Unahonga bil 10 ku support viongozi wabovu. Ili uendeshe ma Rolls Royce. Utayapitisha barabara zipi?

    Hawapeleki hela Road Fund, wanazitafuna kwa kuishi kwa kufuru kwa hela ya serikali. Zinazofika zinajenga kitu cha mwaka mmoja. Usimamizi wa ukarabati hakuna. Uongozi mbovu. Umewapa hela za kampeni ili na wao walinde biashara zako corrupt. Dili zako have to be corrupt kwa saab kwa nn...
  18. M

    Overdrive ON vs OFF: Ipi ni bora katika mazingira ya mjini ya kuendesha kwa speed ndogo na Kusimama simama.

    Katika mazingira ya mjini ambapo mara nyingi tunaendesha kwa mwendo mdogo chini ya 45 km/h na kusimama-simama kutokana na matuta, mashimo, wapita njia, foleni, bodaboda, bajaji, makutano ya barabara, n.k. je ni bora kuacha Overdrive ikiwa ON au kuizima (OFF)? Overdrive (O/D) ni gia ya juu...
  19. A

    KERO Rukwa, Katavi na Kigoma tunaendelea kuoga vumbi kwenye barabara za kuunganisha mikoa yetu huku kila siku ni ahadi tu zinatolewa

    Wakati Waziri Mkuu Nchemba anaanza kazi, alisema Serikali ya Awamu ya Sita inaenda kudeal na mambo ya mtu mmoja mmoja. Akitolea mfano kwamba mambo ya barabara za lami kuunganisha makao makuu ya mikoa yalishamalizwa na sasa ni lami kuunganisha wilaya. Hali ni tofauti kwa wakazi wa Rukwa, Katavi...
  20. figganigga

    Bilioni 50 kujenga km 2 za Barabara. Kristo uturehemu

    Hela za Tanganyika zimehamishiwa Zanzibar. Sasa wanajenga KM mbili za Barabara kwa Bilioni 50+ kisa AFCON. AFCON ishakuwa Dilisha la upigaji. Kumbuka Bajeti ya Miundombinu ya Zanzibar ni Bilioni 400 tu kwa mwaka 2026/2027 .. Sasa kama Bilioni 50 zinajenga Kilometa mbili, Mishahara, Matumizi...
Back
Top Bottom