baba wa taifa

  1. min -me

    Rasmi Lissu ni baba wa taifa

    Kwa mikono yao sisiem sasa ni rasmi Lissu ni baba wa taifa. Sisiem wamempa ufalme mheshimiwa Lissu kwa kishindo sana 😅 Nilipo ona ile cream ya watu wenye akili timamu hapo mbogamboga inapigwa vita nilijua hawa nyumbu kwisha habari yao😊
  2. IIT MWASISI OS

    Maono juu ya Rais ajaye: Kutoka 'Baba wa Taifa' hadi 'Baba wa wananchi' na ukombozi wa Bara la Afrika

    Leo tunaadhimisha kumbukumbu ya Hayati Samora Machel, Rais wa kwanza wa Msumbiji, huku tukimkumbuka Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye aliweka misingi ya nchi na umoja kama Baba wa Taifa. Maono haya yanajenga picha ya kiongozi ajaye ambaye atakamilisha ndoto za maendeleo na ukombozi wa...
  3. Pascal Mayalla

    Je Tumuenzi Baba wa Taifa kwa Maneno au Matendo?. Mwaka 1976 Walikufa 4 Akakasirika Sana, Akasafisha!, October 29, 25 Wamekufa 518 Kuna Aliyekasirika?

    Wanabodi, Nilipata mwaliko wa ITV kuzungumzia Kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. https://www.youtube.com/live/BCed6WueJmM?si=pC7ZgWDyWKPHRKAp Karibu. Mzee Pasco
  4. Mzalendo2015

    Utawala wa Rais Suluhu Hassan wamsikilize Baba wa Taifa

    https://www.facebook.com/share/v/18gvMr6aPg/ Baba wa Taifa letu Mwl. Nyerere alikuwa Kiongozi mwenye hikma,busara na maarifa ya kiwango cha juu sana. Naushauri utawala huu warejee alichozungumza Baba wa Taifa kuhusu Watawala(si Viongozi) ambao wanaitawala Tanzania kwa kuvunja Katiba ya ñchi...
  5. H

    OFISI YA WAZIRI MKUU Nyerere Day Heri ya Kumbukizi ya Siku ya Baba wa Taifa (1922 - 1999) Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 📆 14 Oktoba, 2026.

    OFISI YA WAZIRI MKUU Nyerere Day Heri ya Kumbukizi ya Siku ya Baba wa Taifa (1922 - 1999) Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 📆 14 Oktoba, 2026.
  6. TataMadiba

    Ndejembi na Dr. Mwigulu wahudhuria misa ya kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa Sumbawanga mkoani Rukwa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na Mama Maria Nyerere, wameshiriki Misa Takatifu ya Kumbukumbu ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, iliyofanyika leo Oktoba 14, 2026, katika Kanisa Kuu la...
  7. Wizara ya Ardhi

    Nyerere Day: Kumbukizi ya Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere-Octoba 14

  8. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu ashiriki ibada ya kumuombea baba wa taifa Mwalimu Nyerere, Sumbawanga

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Oktoba 14, 2026 ameshiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbulizi ya Hayati Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Epifania (Mamajusi Watatu) Jimbo Katoliki Sumbawanga, Rukwa Katika Ibada hiyo, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...
  9. Mohamed Said

    Maktaba Yamuadhimisha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    https://www.facebook.com/share/p/19oZy4YqCD/
  10. Mohamed Said

    Nyerere Day 2026: Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    https://youtu.be/8_rapZFjZ88
  11. Mohamed Said

    Nyerere Day 2026: Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    https://youtu.be/dB0Fte5XLTg?si=1ELIsna7kObFGKwO
  12. Carlos The Jackal

    Mwl Nyerere anabaki kua Baba wa Taifa, huenda LISSU akawa Mandela wa Taifa hili !!

    Sioni Harakari na Maisha ya kisiasa ya Mwl Nyerere penzi za Ukoloni, Yakifikia Maisha ya TUNDU LISSU katika zaman hizi za Wakoloni Weusi. Nyerere anabaki kua Baba wa Taifa, ila Historia, itamuandika LISSU kwa yake kama ilivyokua kwa Mzee Mandela !!.
  13. Pakome

    Hayati Mwalimu Nyerere, baba wa Taifa la Tanganyika alifanya mambo mengi na makubwa lakini Muungano na Zanzibar ulikuwa uamuzi mbaya

    Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere baba wa Taifa la Tanganyika, alifanya mambo mengi na makubwa lakini Muungano wa T + Z ulikuwa uamuzi mbaya Madhara ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni makubwa sana hayafai kuelezea Naweza kuelezea kwa ufupi sana lakini taarifa nyingi zinapatikana kwa...
  14. G Sam

    Kauli tata za Emmanuel Nchimbi vs Samia na kauli tata za Jakaya Kikwete vs Magufuli wakimnukuu baba wa taifa

    Miaka kadhaa iliyopita Kikwete akiwa mstaafu aliwahi kualikwa kwenye kigoda cha Mwalimu na wakati huo Magufuli akiwa Rais. Kikwete aliongea mambo ya kujimwambafai na ubabe kauli ambazo zilionyesha moja kwa moja kumnanga aliyekuwa Rais Magufuli kutokana na ubabe aliokuwa nao. Kikwete kamwe...
  15. University of Dodoma (UDOM)

    Vijana watakiwa kuwa nguzo ya maadili na ujenzi wa Taifa katika kumbukizi ya miaka 104 ya Baba wa Taifa

    Dodoma, Aprili 11, 2026 Kongamano la vijana ya kumbukizi ya miaka 104 ya kuzaliwa kwa Baba wa Taifa, Julius Nyerere, limefanyika leo Jumamosi katika Ukumbi wa Chimwaga, Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Kongamano hilo limewakutanisha viongozi wa serikali, wanafunzi na vijana kutoka maeneo...
  16. Pakome

    Zipo baadhi ya tabia ambazo Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere alisema ni za kipumbavu ikiwemo Udini na Ukabila, Je kwanini tumeruhusu tena?

    Zipo baadhi ya tabia ambazo Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere alisema ni za kipumbavu ikiwemo Udini na Ukabila, Je kwanini tumeruhusu tena? Lazima Tanzania turejelee upya kauli na maonyo ya Baba wa Taifa ili Tanzania ipone Katika tabia ambazo Baba wa Taifa aliziita ni za kipumbavu...
  17. N

    JamiiAI: Uwezo kwenye Utambuzi wa Picha ya baba wa taifa (nyerere)

    JamiiAI imeonesha kiwango cha juu cha usahihi, kasi, na uthabiti wa kimfumo katika utambuzi wa picha na uchambuzi wa historia ya taarifa, kama inavyothibitishwa na vielelezo (screenshots) vya mafanikio yake ya kiutendaji. Mfumo huu umefanikiwa kuchanganua taswira kwa undani mkubwa, kubaini...
  18. Mohamed Said

    Swali: Ukweli ni Upi Kuhusu Ukumbi wa Arnautoglo na Soko la Kariakoo Katika Historia ya Baba wa Taifa?

    https://youtu.be/uQTPRpBzetA?si=cFpDdErw3IxPlVfG
  19. Chizi Maarifa

    Historia adhimu ya baba wa Taifa la Zanzibar, Mwanzilishi wa Taifa huru Field Marshall John Okello. Akumbukwe

    MWANAMAPINDUZI JOHN OKELLO John Okello ambaye aliongoza Mapinduzi ya Zanzibar alizaliwa mwaka 1937 huko Uganda katika kabila la Lang'o ambalo pia ni la Rais wa Zamani wa Uganda Milton Obotte. Alizaliwa akiitwa John Gideon Etuku. Wazazi wake walifariki Akiwa bado mdogo na kulazimika kwenda...
  20. DogoWaNjombe

    Stephen Wasira amtembelea na kumjulia hali Mama Maria Nyerere, mke wa Hayati Baba wa Taifa, Februari 18, 2026

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndg. Stephen Wasira, amemtembelea na kumjulia hali Mama Maria Nyerere, mke wa Hayati Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam leo Februari 18, 2026.
Back
Top Bottom