arusha

  1. Kaka yake shetani

    Arusha tuweke mkoa namba moja wenye matatizo ya akili na kiwango cha uhalifu wa kiuni.

    Tuachane na musoma,mara na geita tuje arusha. Kwa steji waliyofika mnaona tuwape asilimia ngapi. Ukigusa mitandao ya kijamii kila siku ni huko arusha.
  2. Zack Abdul

    Rais Samia Afungua Mkutano Mkuu wa IPU Arusha

    Salamu za Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) jana tarehe 5 Oktoba 2026 katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC).
  3. H

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU. Mkutano huo unaofanyika leo Oktoba 5, 2026 jijini Arusha...
  4. Q

    Samia hajaonekana kwenye ufunguzi wa mkutano wa 153 wa IPU jijini Arusha

    Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge duniani, Inter-Parliamentary Union (IPU) umeanza kwenye ukumbi wa AICC Arusha, hadi juzi TBC walikuwa wanatangaza kuwa utafunguliwa na Samia, mbona Ikulu na TBC wamekuwa waongo?
  5. Zack Abdul

    Mkutano wa IPU Arusha wafungua fursa kwa wafanya biashara na wahifadhi wa utamaduni

  6. A

    KERO Wafanyakazi wa Shree Hindu Hospital Arusha tumepitisha miezi miwili bila kulipwa mshahara

    Kuna Wafanyakazi wa Shree Hindu Hospital Arusha ambao wamekuwa wakifanya kazi zao kama kawaida lakini wamekaa miezi miwili bila kulipwa mishahara. Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba wanapoulizia malipo yao, baadhi huambiwa, “kama hutaki kufanya kazi, acha kazi.” Hali hii inawaweka wafanyakazi...
  7. A

    KERO Kampuni ya Kambele Investment ya Arusha inauza kiwanja kimoja kwa wateja wawili

    Nina hoja kuhusu Kambele Investment, Mianzini - Arusha, mnunuzi anadai kuwa kiwanja alichonunua kimeuzwa pia kwa mtu mwingine, pamoja na kufuatilia suala hilo kwa muda, bado anadai hajapata suluhisho wala stahiki zake. Tunaomba Wizara ya Ardhi na mamlaka husika kulifanyia uchunguzi suala hili...
  8. Zack Abdul

    UTALII WA MIKUTANO ARUSHA: Chachu Mpya ya Ukuaji wa Uchumi wa Jamii

    Mikakati ya makusudi ya kukuza utalii wa mikutano (MICE) jijini Arusha imeanza kuzaa matunda kwa kuchochea mnyororo wa thamani wa kiuchumi kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja hadi jamii kwa ujumla. Ukuaji huu unathibitishwa na ujio wa wajumbe zaidi ya 3,000 wa Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Huduma...
  9. Zack Abdul

    IPU Arusha: Zaidi ya Mkutano wa Bunge

    #IPU Arusha si mkutano tu wa viongozi wa mabunge. Ni diplomasia. Ni fursa za kiuchumi. Ni utalii. Ni utamaduni. Na kwa Tanzania… Ni nafasi ya kuonesha dunia kile ambacho nchi hii inaweza kufanya. #IPU2026.
  10. Damaso

    Mkutano wa 153 wa IPU: Je Arusha itasema ukweli kuhusu demokrasia au itaimba Nyimbo za Kusifu?

    Jana wakati natoka Manyara kuelekea Tanga nikapita Arusha, sasa nikakutana na matangazo kuwa mkutano wa 153 wa IPU unafanyika kuanzia kesho jumatatu tarehe 5 mpaka tarehe 9 Oktona, pale katika ukumbi wa AICC Arusha na baadhi ya wabunge wawakilishi kutoka nchi washiriki wamekwisha kuwasili jijini...
  11. cleokippo

    Viongozi wetu hata sijui ni nani aliyewaloga

    Viongozi wetu hata sijui ni nani aliyewaloga Naandika kwa masikitiko makubwa sana , nimemskia mh wazir na mbunge wa Arusha mjini akidai kwamba anataka awajengee wana Arusha msikiti wenye thamani na dola milioni 100 ambazo ni sawa na tsh zaid ya bilion 21 Sasa swali langu kwa mh wazir nchi...
  12. Yoda

    Makonda anakosea kutaka kujenga msikiti wa dola milioni 80-100 katika mji wa Kikristo Arusha

    Makonda waziri wa Samia amesema anakusudia kujenga msikiti wa dola milioni 80 mpaka 100 Arusha kwa ajili ya Utalii watu kutembelea na pia watu wa hadhi ya ubunge kupata sehemu nzuri ya kuswalia. Mimi nafikiri hajashauriwa na kuelewesha vizuri . Arusha ni mji wa Wakristo wengi, Waislamu ni...
  13. K

    Mkutano wa 153 wa IPU Arusha: Je, Tanzania Inahubiri Utawala Bora Usio na Uhalisia?

    Wakati wabunge na viongozi wa kidiplomasia kutoka nchi zaidi ya 140 wakimiminika jijini Arusha kwa ajili ya Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) utakaofanyika kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026, Tanzania inajikuta katika njiapanda nzito ya kisiasa. Kwa upande mmoja, nchi inajivunia fursa...
  14. MakinikiA

    Watoza ushuru wanakutana huko Arusha kupeana mbinu mbalimbali.

    Tanzania inakuwa mwenyeji wa Mkutano wa 46 wa Chama cha Wasimamizi wa Kodi cha Jumuiya ya Madola (CATA) utakaofanyika jijini Arusha kuanzia tarehe 5 hadi 9 Oktoba, 2026. Mahali: Arusha (katika Hoteli ya Gran Melia). Tarehe: Oktoba 5 hadi 9, 2026. Mgeni Rasmi: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...
  15. Idugunde

    Kuna nini jijini Arusha magari ya delaya na askari wametapakaa mitaani?

    Kuna hatari gani kwenye hili jiji? Askari wametapakaa kila kona. Magari ya delaya yanazunguka mji mzima. Mimi nikiwa mgeni nimepata hofu kubwa sana.
  16. Megalodon

    Mkakati wa Makamu wa Rais Deo dhidi ya Vijana naufanqnisha na mbwembwe za Makonda wakati yupo Arusha- hakunaga tija

    Strategies ya bwana Deo kuhusu interns kwenye corporate entities za serikali eti ndio mpango wa serikali kuwapa vijana uzoefu wa kuajirika serikalini ! Hii ni reactive strategies isiyokuwa na sustainability yoyote ahead ! Kama mpaka leo bado tunawaza kuongeza wig kwa vijana kuajiriwa...
  17. Wizara ya Ardhi

    Mmuya ashiriki kikao kazi cha wenyeviti wa bodi na watendaji wakuu Arusha

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, ameshiriki hafla ya ufunguzi wa Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma kinachofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), jijini Arusha. Hafla ya ufunguzi...
  18. SweetyCandy

    Ghorofa zuri linauzwa Arushaa

    Ghorofa inauzwa B.2.7ml lip0 mjini Arusha Centre . Zipo floor 6 bado linafanya biashara . Nipm kama unahitaji
  19. A

    KERO Hatuelewi nauli rasmi ya usafiri wa umma Arusha - Moshi ni sh ngapi? LATRA toeni ufafanuzi

    Baadhi ya wasafiri wanaotumia usafiri wa umma katika njia ya Arusha – Moshi – Arusha tumekuwa tukikumbana na changamoto kuhusu utofauti wa bei ya nauli inayotozwa na watoa huduma. Katika nyakati mbalimbali, imeonekana kuwa baadhi ya abiria hutozwa nauli tofauti, huku viwango vikibadilika kati...
  20. Kiranja Mkuu

    Alex Malasusa linusuru kanisa na kashfa ya madeni ya Arusha Corridor Springs. Haipendezi watu wa Mungu kukimbia madeni.

    Suala la KKKT (Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania) na Hoteli ya Corridor Springs jijini Arusha linahusiana na mgogoro wa kifedha na madeni uliotokea katika Dayosisi ya Kaskazini Kati ya KKKT. Muhtasari wa Suala Hilo: Uwekezaji na Ujenzi: Hoteli ya Arusha Corridor Springs Hotel...
Back
Top Bottom