arusha

  1. R

    Kukatika umeme Arusha siku mbili mfululizo, TANESCO mnajielewa kweli?

    Jana mmekata umeme siku nzima. Leo tena alfajiri mmekata. Hamjui kwamba kuna watu wanapata riziki ya kila siku kwa kutegemea uwepo wa umeme? Mnakata mchana wote mnarudisha usiku. What kind of engineers have you employed? Hamuwezi kufanya rationing angalau watu wapate umeme kwa masaa sita wakati...
  2. BrainOs

    Hii arusha sikuhizi Kila weekend mafataki

    Hapa arusha sasahivi Kila weekend ni mafataki tuu,, hapa nilipo nasikia zinalipuka muda huu mlioko Town mtuambie kunani
  3. A

    Hii nchi uswahili kutoka mkuu wa nchi mpaka kwa watendaji, TANESCO Arusha umeme ulikuwa urudi saa 11 jioni, mpaka sahv saa 1 haujarudi

    Umeme huku Arusha ulikatwa tangia saa 1 asubuhi na tangazo lilikuwa ungerudi saa 11 jioni, ila mpaka sahv saa 1 jioni umeme haujarudi, huu uswahili mpaka lini? Hakuna wa kumkemea na kumwajibisha mwenzake kuanzia juu mi uswahili, hii ngozi nyeusi hasa wabongo tutadharauliwa mpaka lini? Ni watu...
  4. M

    Mwanza imepitwa hadhi na Arusha, ni local city kama Mbeya na Tanga. Uwanja wa Serengeti utaipush Mwanza, tatizo ni kukosa elimu kwa baadhi ya viongozi

    Juzi nilisikiliza podcast moja na walitoa hoja ambazo kwa kweli zilikuwa na mantiki sana kuhusu hadhi ya majiji yetu nchini. Hoja kuu ilikuwa kwamba Mwanza haina utambulisho au hadhi yoyote ya kipekee nje ya kuwa jiji la kikanda, isipokuwa tu ni kubwa kijiografia, majengo na idadi ya watu...
  5. S

    Natafuta Kazi niko Arusha

    Habari! Nina miaka 32, niko Arusha jinsia kiume, elimu degree, natafta kazi yakuniweka mjini. Kazi niliyokua nikiitegemea kwasasa nimeacha kwakua inanletea matatizo ya macho. Natanguliza shukran zangu kwa wote ntakao guswa.
  6. Parabolic

    Jamaa Bakery waibukia Arusha

    Mwekezaji na mmiliki wa Jamaa Bakery, John Alfred Kyenkungu, sasa ameleta huduma za mikate na vyakula mbalimbali jijini Arusha. Kenkungu aliyeanzisha biashara hiyo miaka 32 iliyopita, ameeleza safari ya mafanikio yake akishirikiana na maduka ya Nakumat Supermarket kabla haijafungwa. Sasa...
  7. Alexido jz instagram

    WAZO LA PAUL MAKONDA KUIFANYA ARUSHA KUWA DUBAI LINAWEZEKANA?, NDIO KAMA TUTAIUNGANISHA NA NAIROBI,

    TUanze na miundo mbinu, si rafiki sana, mfano soko la kilombero njia muhimu kwenda kwenye vivutio panatoa harufu sana na ni kero ya miaka mingi. Soko kuu arusha bondeni tangu enzi za mrisho gambo liliwekwa tangazo la ujenzi wa soko la kisasa lakini kimya. Changamoto za kibiashara kati ya arusha...
  8. M

    Kuna siri gani Arusha na Moshi, kwanini wanawake wengi wenyeji hawaishi na waume zao na wengine hawajawai kufunga ndoa ?

    A town na Moshi kuna kipi kinaendelea ? Najua dada zetu wa maeneo hayo jsasa Wameru, Wachaga, Wapare, Warusha, wapo vizuri kuzisaka lakini ndio ziwe muhimu kuzidi ndoa ?
  9. O

    Safari ya Shule Yageuka Msiba: Mwanafunzi wa Kitisuru Afariki Arusha, Familia Yataka Majibu

    Safari ya kielimu iliyopaswa kuwa ya furaha na kujifunza imegeuka kuwa majonzi baada ya mwanafunzi wa Kirawa Road School, iliyoko Kitisuru jijini Nairobi, kufariki akiwa katika ziara ya shule mjini Arusha, Tanzania. Mwanafunzi huyo, Victor Ndundu Karanja, anadaiwa kufariki Jumatano, Novemba 4...
  10. uran

    Haya Magari yamenunuliwa kwa thamani ya 1.2B Mkoa wa Arusha

    Yamenunuliwa Matano. Ni Land Cruiser Prado 250. Maarufu kama Kasongo... Bei yake halisi Toyota Hii Hapa.
  11. K

    Za Ndaani: Mjadala Wizi pesa za kujenga Uwanja wa mpira Arusha

    Mada hii leo imewashwa kuelekea tarehe ni script Kesho litatoka tamko kuhusu wizi uo ikiwemo pangua pangu Kesho mtachapwa yaliyojiri harusini Tarehe 7 Jumamosi Duduzuri atatumika kupima upepo pia 🚶
  12. K

    VIDEO: Luhaga Mpina atuma makombora mazito kwa Samia: "Umeua watu eti wametaka kukupindua, kwani ukipinduliwa we kuna shida gani ??"

    https://youtu.be/Rb1zzjsgDAc?t=2360 SASA UKIPINDULIWA NDIO UUE WATU ?????? UKIPINDILIWA UNARUDI NYUMBANI. UKIPINDULIWA WE KUNA SHIDA GANI ??? Watu wamechoka na ukandamizaji aiseee... Watanganyika wanazidi kuendelea kuamka kila uchwao.....
  13. K

    Jicho la Kiufundi la CAG vs Mahaba ya Habari: Kujibu Hoja za Juma Ayo Kuhusu Uwanja wa Arusha na Kuanguka kwa Mhimili wa Nne wa Dola

    Waziri Damas Dumbalo na Waziri Prof Palamagamba Kabudi Waliokua wa mwaziri wa michezo Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa Mtaalamu wa Ujenzi wa Viwanja vya mipira Tanzania Juma Ayo Jumba limemuangukia Paul Christian Makonda Hivi karibuni, mwandishi wa habari za michezo Juma Ayo ametoa maoni...
  14. K

    Thank You, But No Thank You, Baba Levo: Huwezi Kukosoa Ufisadi wa Uwanja wa Arusha Huku Ukisafisha Aliyeruhusu Urefu wa Kamba.

    Katika muktadha wa kisiasa ambapo mara nyingi nidhamu ya vyama na hofu ya kukosoa mamlaka hutawala, ni nadra sana kumsikia mbunge akisimama kidete na kuhoji matumizi ya fedha za umma kwa uwazi na ukali usio na kigugumizi. Hilo ndilo alilolifanya Mbunge wa Kigoma Mjini, Mheshimiwa Revocatus...
  15. masopakyindi

    Wabunge wacharuka: Uwanja wa AFCON Arusha tumeibiwa...!

    Haya, kula kwa urefu wa kamba sasa ni too much. Wabunge wamelazimika kuhoji, gharama za kujenga uwanja wa AFCON Arusha zimepanda toka 187 billioni hadi 338 billioni. Wamejiuliza mbona kitu hii haingii akilini? Hivi nami najiuliza, hela ya ROAD FUND mbona inaliwa kijinga hivi?
  16. A

    KERO Hakuna msoma mita wa Idara ya maji Arusha aliyekuja kusoma mita, ila bill za maji zinaendelea kuja kubwa

    Habari, Ninaishi Arusha, na nimekuwa nikikabiliwa na changamoto ya bili kubwa za maji ambazo hazieleweki. Kwa muda wote nimekuwa nikiishi hapa tangu mwezi Julai, bili ya maji imekuwa ikija ikiwa si chini ya Sh 80,000. Awali, nilidhani huenda kuna siku nitakutana na msoma mita ili nipate...
  17. Roving Journalist

    Arusha Wapata Elimu kuhusu Rasimu ya Katiba ya Fungamano la Kisiasa la EAC

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu Rasimu ya Katiba ya Fungamano la Kisiasa la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali mkoani Arusha, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuongeza uelewa na kuwaandaa wananchi...
  18. Eli Cohen

    Nafikiri huu ni mwaka ambao visa na visasi vya issues za kimapenzi vimetia doa kubwa katika jamii. What is next tena baada ya hili tukio la arusha?

  19. F

    Wizi wa ardhi Arusha - wajamaa wamedhulumiana

    Mmoja alikuwa SIIARA na jamaa dalali loya, ambaye aliacha kazi za mahakamani. Dalali alikuwa mbeba kofia kabla ya mwingine kuwa mjengoni, halafu akawa topu wa kambi la masipoti na uzushi. Sasa si wakampiga mtasha fala eka 50 pale kuvuka daraja la mabosi wa wanyama porini A JIJI, akaachiwa...
  20. Mkalukungone Mwamba

    Kikundi kinachochukua hela za bodaboda na kuwakamata chanusurika kichapo Arusha

    Kikundi kinachojulikana kwa jina la Operation, kinachodaiwa kufanya ukamataji wa pikipiki za waendesha bodaboda katikati ya Jiji la Arusha, kimenusurika kushambuliwa na wananchi waliokasirishwa na vitendo vya ukamataji huo. Tukio hilo limetokea leo katika maeneo ya Kilimanjaro, jijini Arusha...
Back
Top Bottom