arusha

  1. A

    KERO Askari wa Barabarani Arusha wanatunyanyasa sisi madereva Bajaj

    Mimi ni mkazi wa Arusha. Kero yangu inahusu baadhi ya askari wa usalama barabarani (trafiki) ambao wanatunyanyasa sisi madereva wa bajaji. Kuna maeneo ya Arusha mjini ambayo haturuhusiwi kuingia, licha ya kuwa maeneo hayo ndiyo yenye fursa nyingi za kupata riziki. Tukiingia maeneo hayo na...
  2. Hizi ni picha ya magari ambayo yamekuwa kama utambulisho wa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha

    Picha
  3. Vijana wa Arusha ni wajanja sana wakiwa kwao ila wakitoka nje ya mkoa wao wanakua kama kondoo

    hawa vijana ukiwakuta kwao ni wajanja wajanja sana na ubabe mwingi ila ukikutana nao sehemu tofauti na asili yao ni underdogs wa kutupwa aisee. ukikutana nao shule au chuo hata mtaani unakuta wana kampani ya peke yao full kufuatana kama kumbikumbi. nyie machalii hasa wameru na nyie mnaojiita...
  4. Mount meru hospital Arusha naomba muwe serous na majibu yawagonjwa,,Yan madaktar wana kaz ya kuingia na kutoka kama mpo sokon

    Mount meru Arusha naomba muwe serous,,,,hasa madaktar upande wa. Kutoa majibu ya vipimo ya wagonjwa,,,, kaz n kuingia na kutoka kama mpo sokon.
  5. B

    Mzee wa CHADEMA anena mambo mazito kuhusu kesi ya Tundu Lissu, haki itendeke!

    23 October 2026 Ikunga, Singida Tanzania MSIKILIZE HUYU MZEE WA CHADEMA ANENA MAMBO MAZITO KUSU KESI YA TUNDU LISSU, HAKI ITENDEKE https://m.youtube.com/watch?v=GxLhVIJw8WI Mzee atoa nasaha nzito mkumbuke haki isipotendeka waheshimiwa majaji ... Mzee mnajua maana ya Jamhuri, Jamhuri ni Nani ...
  6. Katibu Mwenezi CCM Arusha, Saipulani Rasey: Kauli ya Kiliba inashusha hadhi ya Ikulu

    Katibu Muenezi wa CCM Arusha Saipulani Ramsey amjia Juu Rais wa TAHLISO, Geofrey Kiliba Asema kauli yake ya kwamba “alimuomba Rais Samia amruhusu kuwatukana wapinzani” Kauli hiyo inashusha hadhi ya Ikulu na amtaka aombe Radhi na afute kauli yake Soma Pia: Kiliba: Rais Samia alifiwa na Mume...
  7. E

    Nyumba inapangishwa Arusha Sanawari

    Nyumba inapangishwa Arusha sanawari ya juu. Ni vyumba viwili doble self ina chumba na sebule na choo. Hakuna jiko lakini unaweza kufanya partition ya jiko. Pia ni karibu na barabara. Kwa mawasiliano zaidi piga 0768 368 574 karibu.
  8. A

    KERO Mtaro uliopo Arusha - Soko Kuu Barabara ya Mnazi Mmoja ni kero na hatarishi kwa afya

    Huu mtaro upo Arusha maeneo ya Soko Kuu Barabara ya Mnazi Mmoja ni kero sana na hatarishi, maji yametuama hayatembei kabisa. Hali ni mbaya sana na uongozi upo kimya paka vinyesi, maana hiyo ni chemba zinafunguliwa wakati wa usiku na mtaro umeziba maji yanajaa barabarani yenye vinyesi.
  9. Arusha: Mwenyekiti wa mtaa wa Mureti adaiwa kupigana na mwananchi msibani

    Mwenyekiti wa Mtaa wa Mureti, Kata ya Mureti jijini Arusha, Bw. Dominic Kivuyo, anadaiwa kupigana na mwananchi aliyekuwa msibani baada ya kuitwa na wananchi kwenda kutatua mgogoro wa kifamilia ulioibuka kuhusu haki za mjane wa mwanaume aliyefariki. Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa, mgogoro...
  10. Watu wa Arusha uwa mnatumia wapi pesa zenu weekends?

    Nataka nipige ata Smirnoff mbili. Ndio naingia town.
  11. Twaha Mwaipaya alipost kuwa Vivian katekwa Arusha kumbe ni uongo

    Haya matukio ni Moja ya Siasa za hovyo kuwahi kutokea, utaanzaje kutangaza mtu katekwa wakati huna uhakika, wakati huna taarifa za kutosha au bila kureport Polisi ili uchunguzi ufanyike .....acheni kukurupuka na habari zenu za kubumba.
  12. Serikali Haramu yashirikiana na RC Arusha /DC na DED Ngorongoro na wamiliki wa Sheli Kuuza Petroli Elfu Sita kwa Lita kuwakomoa Wamasai !

    Wakuu, hii ni aibu na inayotia Kinyaa!!. Jamaa yangu huyu aliyepo Makao makuu ya Ngorongoro , ananipigia simu kumielezea adha wanayopitia huko Porini kwao kwa karibu mwezi mzima sasa !. Petroli ianuzwa Elfu Sita kwa Lita, huku Chama cha Mapinduzi (CCM) , Mwenyekiti wake wa Wilaya, DED, DC na...
  13. Arusha ndizi Bukoba wanaita ndizi ng'ombe!

    Watu wa Kaskazini kwa nini mnaziita ndizi Bukoba ndizi Ng'ombe ?
  14. M

    Kwa wafanyabiashara wa Soko la Kilombero na Soko Kuu - Arusha: Hii Inawahusu

    Yule Bingwa WA kuchoma Masoko ili kupisha ujenzi wa Masoko ya Kisasa keshapewa Green Light. Siku yeyote kuanzia leo mjiandae kukaa Miguu Sawa, maana imeonekana masoko husika kwa sasa hayana hadhi ya kukaa kwenye Jiji la kitalii, hivyo imeamuliwa kujengwa masoko Makubwa ya Kisasa ili yaendani na...
  15. Kama alivyosema Lema ninamshauri mbunge Makonda kutoboma na kujenga upya alama zinazotambulisha mji wa Arusha bali aziboreshe tu.

    Huwa nikienda kijijini kwetu huwa ninalala kwenye nyumba ndogo ya nyasi pembeni ya nyumba kubwa ya familia. Ile nyumba ya ndogo iliyoezekwa kwa nyasi haina sakafu na inaingiza kitanda kidogo. Yaani ukikaa kitandani kunabaki nafasi ndogo sana. Zamani kulikuwa na kitanda cha kamba ila kwa sasa...
  16. Mji mkuu wa Tanzania ilipaswa kuwa Arusha, Mbeya, Kilimanjaro au Mwanza

    Katika mambo mengine ambayo Nyerere alikosea ni kuweka makao makuu ya nchi Dar es Salaam kwa Waswahili baada ya uhuru. Mambo yote yasiyo na tija yanafanyikia Dar es Salaam, wakazi wa Dar es Salaam ni watu wa "shughuli" zaidi, starehe, umbea, udaku na kupiga maneno. Bila bandari Dar es Salaam...
  17. Kumbukumbu Tamu: Wajumbe wa IPU waaga Arusha

    Hatimaye, wajumbe wanaondoka Arusha, lakini kumbukumbu ya ukarimu, amani na uzuri wa Tanzania inabaki kuwa sehemu ya simulizi yao kuhusu nchi hii. #IPU2026 #IPUArusha #Tanzania #Arusha #AmaniNaUmoja #Diplomasia #TanzaniaYaFursa #Documentary
  18. Samia Usitumie kodi za wananchi kujenga msikiti Arusha.

    Acha misikiti ijengwe na waumini wa dini husika, changia fedha toka kwenye mshahara wako binafsi au miradi yako au hata itisha harambee. Kwakifupi fanya kama ulivyoshauriwa na Mwigulu Nchemba hadi ukamnunia ila ule ndio ukweli. Kumtumia Makonda kutekeleza hili jambo na huku ukijua wazi kuwa...
  19. A

    KERO Tukio la kukamatwa kwa Wananchi katika Hospitali ya Selian Arusha kwa utaratibu wa ajabu kabisa

    Jioni ya tarehe 6, askari polisi waliovaa nguo za kiraia walifika katika Hospitali ya Selian jijini Arusha na kumtoa wodini kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Lobulu Masiaya Tome. Baada ya kumpeleka katika eneo la mapokezi la hospitali hiyo, walimpiga pingu, wakampandisha kwenye gari na...
  20. Binti adai kubakwa Arusha

    Anadai alikuwa anasajili laini mtaani huko Arusha akakutana na mkaka aliekuwa akihitaji huduma ya laini ila namba za nida zilikuwa nyumbani kwa mkewe Waliongozana mpaka nyumbani ambapo alidai mkewe yupo ndani ila walipoingia ndipo alipokuta wanaume wengine ambao walianza kumtishia kwa kisu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…