ajira

  1. Bonde la Baraka

    Fanya maamuzi magumu wewe msomi usiye na ajira, utafanikiwa sana

    Habari wasomi wote mnaoteseka na suala la ukosefu wa ajira. Ushauri: Umehitimu chuo ngazi ya Astashahada, Stashada au Shahada na umehangaikia ajira kwa zaidi ya miezi 24 (2yrs)?. Kama jibu ni yes. Basi chukua uamuzi mgumu wa kuchoma moto vyeti vyako kisha ingia mtaani au shambani. Utafanikiwa...
  2. Erythrocyte

    Mzee Kikwete ashangaa Walimu kukosa ajira

    Sasa mimi namkumbusha tu Mzee wangu kwamba nini walimu bhana ! Kwa ujumla Tanzania haina ajira kwa vijana , kuanzia madaktari hadi wahasibu . Nchi yeyote isiyotoa ajira kwa raia wake yenyewe wala nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi wake ambao ni wachache kuliko wafanyakazi wa nchi yeyeto...
  3. zema21

    Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri Inafahamika kuwa ukosefu wa ajira ni tatizo si kwa Tanzania tu bali hata kwa nchi zilizoendelea kama Marekani. Kwa hapa Tanzania limekuwa si tatizo bali ni janga kubwa ambalo hakuna anayelitafutia ufumbuzi wala kulitupia macho. Itakumbukwa kuwa siku za nyuma...
  4. J

    Mjapan: Rais Magufuli yuko sahihi, vyuo vikuu duniani kulikoendelea huandaa wahitimu kujiajiri na sio kusubiri ajira ya serikali

    Injinia wa kijapani pale Mwenge amekubaliana na ushauri wa Rais Magufuli kwa vyuo vikuu kwamba Degree zao zilenge kuwaandaa vijana katika kujiajiri na si kusubiri ajira za serikali. Mjapan ameniambia vyuo vikuu katika dunia iliyoendelea huwaandaa vijana katika ubunifu, ujasiri na uthubutu na si...
  5. AHMARDZ

    Nashida ya Kuzamia

    Habarini wana JF, mimi ni mhanga wa ajira kwa muda tuu ila nimetafakari na kuona halihalisi ya maisha yanavyozidi kuwa juu nimeona nitafute kazi nje ya nchi, nje ya Africa kazi yoyote ya halali hata kudeki vyoo, kwa anayejua au mwenye ndugu pls aniunganishe, asanteni mtakaoguswa. Maisha magumu...
  6. C

    HESLB mkimaliza kuwaumbua wadaiwa sugu Jumatato ijayo, muwaumbue pia na wale wanaofanya tatizo la ajira kuongezeka nchini

    Nichukue fursa hii adhimu kabisa kuwapongezeni watu wazima ambao ni Watendaji wa Bodi ya Mikopo nchini ( HESLB ) kwa kuweza kupoteza muda wenu mwingi, kujadiliana, kuchanganya fikra zenu hadi baadae mkaja na maamuzi ambayo Kwenu mmeona yana Tija ya kuwaumbua wadaiwa sugu wa mikopo na kuweka...
  7. Sky Eclat

    Waitara anakubali kuwa kuna upungufu wa walimu na ajira zilisimama

  8. YEHODAYA

    Kupunguza tatizo la ajira serikali iruhusu huduma ya kupokea pesa kupitia PayPal

    Tanzania kumekuwa na tatizo kubwa la ajira. Njia moja ya kuondoa hilo tatizo ni kwa watu kutafuta kazi za kufanya online, yaani mitandaoni. Kazi zipo nyingi. Mfano, waweza pata kazi ya kutafsiri website ya kampuni au mtu kwa Kiswahili au kutafsiri kitabu. Unafanya online malipo yanakuwa kwa njia...
  9. Analogia Malenga

    Tusilazimishe ajira kwa kuwakosesha watu ajira

    Elimu yetu imekaa katika hali ambayo kila mmoja anaijua, kuenda mwisho kuchukua gamba pale juu. Kutokana na ubovu wa yanayotoka chuoni kumeanzisha bodi ili kuhakiki tena ubora wa wale waliotoka vyuoni, bodi ya wahasibu, bodi ya bankers, wahandisi, wagavi nk. Hii imefanya watu waajiriwe katika...
  10. Sky Eclat

    Tuwekeze zaidi kwenye kilimo, tutumie ardhi yetu na izalishe ajira

    Enzi zile Zimbabwe inaitwa Rhodesia ilikuwa mzalishaji mkubwa wa mahindi, Rhodesia iliweza kuzalisha mahindi na kulisha Afrika yote hasa kukiwa na ukame. Waliweza kufanya vile kwakua walowezi walilima kwa kutumia mashine, walikuwa na mashamba ya biashara. Jembe la mkono haliwezi kumkomboa...
  11. GENTAMYCINE

    Kwanini Viongozi ' Waandamizi ' na ' Waliostaafu ' bado huwa wanapewa Vyeo badala ya kuachwa Wapumzike?

    Leo nikijibiwa na Kuelemishwa ' Kiutaalam ' kabisa katika hili nililouliza nitawashukuruni sana Wadau. Na kama tulikuwa kumbe bado tunawahitaji kwanini wakati tukijua wanakaribia Kustaafu ' Utendaji ' wao Serikali basi tusingewaongezea tu muda na waendelee kuwatumikia Watanzania? Kuna Mzee...
  12. Y

    Wale wahanga wa ajira tukutane hapa

    Wale wahanga wa ajira,nimeona niwashirikishe fusra hii ya kuweza kujiingizia kipata ukiwa nyumbani. Nimeona niwashirikishe maana nami nimeshirikishwa. Fungua hiyo link na ujiunge leo na uanze kujiingizia kipato. https://jubmoney.xyz/1149647779795/
  13. Makirita Amani

    Kitabu: Biashara ndani ya ajira, toleo la pili, Oktoba 2019

    Rafiki yangu mpendwa, Mwezi Oktoba mwaka 2016 nilitoa toleo la kwanza la kitabu cha BIASHARA NDANI YA AJIRA. Kitabu ambacho kilikuwa na maarifa na mwongozo sahihi kwa yeyote anayetaka kuingia kwenye biashara lakini kazi inakuwa kikwazo kwao. Nilitoa kitabu hiki baada ya kujifunza kwa wengi...
  14. Zuia Sayayi

    PROJECT OFFICER (1 position )

    Magu Poverty Focus on Older People Rehabilitation Centre (MAPERECE) in collaboration with Amref Health Africa Tanzania is implementing Empowering Women with Obstetric Fistula Project in Mwanza Region. The project aims to deliver a fistula treatment, psychosocial support, and livelihoods...
  15. K

    Qualified Baker of Bread And Pastries/ Muoka Mikate na Keki

    Natafuta mtaalamu wa kuoka mikate ya aina mbalimbali, keki, biskuti , donut, maandazi. Awe na cheti kutoka Veta/ chuo cha utalii ama taasisi nyingine zinazotambulika. Mahala pa kazi ni Dar es Salaam, Kijitonyama. Awe tayari kufanya kazi kwa shifti- mchana ama usiku, na pia awe mbunifu...
  16. aztec

    Bachelor of Agriculture Economy and Agribusiness

    Wakuu naomba kuuliza juu ya kozi ya ""Bachelor of Agriculture Economy and Agribusiness """ iliyopo pale sua . Ipoje na fursa zake zipoje.
  17. A

    Nahitaji kujua basics questions za interview ya udereva

    Ndugu yangu anahitaji msaada kwa mwenye uelewa juu ya maswali ya interview kuhusu udereva serekalini.ameitwa kesho interview ya tanesco northern zone. Msaada jamani kwa mwenye uwelewa
  18. AjiraLeo

    HABARI NJEMA: UTUMISHI WAMETANGAZA NAFASI ZA - CHINA MOFCOM SCHOLARSHIPS 201O20.

    HABARI NJEMA: UTUMISHI WAMETANGAZA NAFASI ZA CHINA MOFCOM SCHOLARSHIPS 201O20. 📌WANAHITAJIKA WATANZANIA KWENYE VYUO 39 CHINA. 💰SERIKALI YA JAMHURI YA WATU WA CHINA ITAKUPA VITU HIVI: ▪Gharama za usafiri ▪Fedha Za Kujikimu ▪Gharama Za Mafunzo ▪Gharama Za Matibabu ▪Utalipiwa Ada ▪Fedha Ya...
  19. L

    Nafasi Ya Kazi Program Coordinator (IT Officer)

    Non Government Organization is searching for Program Coordinators, To apply read the attachment below and follow instructions
  20. P

    utengenezaji wa vyungu vya kisasa vya maua

    Habari zenu wakuu wa humu jf naombeni msaada kwa anayefahamu juu ya utengenezaji wa vyungu vya kisasa vya maua anipe ABC juu ya mchakato mzima kam vifaa .a mahitaj mengne na pia juu ya upatikanaji wa soko kama unafahamu lolote tupia comment apa wakuu swala la ajira limekuwa changamoto hivo nipo...
Back
Top Bottom