ajira

  1. Meneja Wa Makampuni

    Barua za kuomba ajira za TRA utumishi tunaandika kwa mkono au Microsoft Word?

    Marafiki naomba kuuliza. Hivi barua za kuomba ajira za TRA utumishi tunaandika kwa mkono au Microsoft Word?
  2. gbrill

    Ajira

    Mwenye kujua au anaefanya udereva wa magari kwenda nchi jirani/mpakani mfan;Tunduma maarufu kama (IT) msaada namna ya kujiunga na kazi. Mimi ni dereva ninataka kufanya kazi hiyo. Kwa sasa ni mwanfunzi chuo
  3. EL ELYON

    Naomba maoni yenu kuhusu ajira kwa vijana nchini

    Nina wazo au proposal ambayo inahusu mradi mkakati mdogo utakaohusu kilimo na ufugaji kwa vijana waliohitimu vyuo nk. Kama mnavyojua tatizo kwenye jamii ni fursa pia tena kubwa nimeandika proposal ambayo itakuwa inakusanya vijana kuanzia 50-100 kufanya kwa pamoja mradi wa kilimo na ufugaji...
  4. Nakadi

    Leo tar 12 April 2022, Serikali yatangaza Ajira mpya na kupandisha madaraja wafanyakazi. Zaidi ya billion 40 kutumika

    Leo tarehe 12 April 2022 Serikali yetu kupitia Wizara ya Ajira na utumishi wa Umma imetangaza Ajira mpya na kupandisha madaraja wafanyakazi kibao. Serikali yetu imesema itatumia zaidi ya shilingi bilion 40 katika michakato hii yote. Kwa taarifa zaidi ingia www.utumishi.go.tz Kila la kheri vijana.
  5. Hunteroflove

    Kuna ukweli hapa

    Kama mnavyo ona ndugu zetu waliopata ajira TRA hili tangazo ni la ukweli maana mwanzo walisema makao makuu TRA walioitwa kazini wanapaswa kufika leo Wanasema ITA Mikocheni na masharti km yote
  6. E

    Swali kuhusu ajira za ualimu

    Naomba kujuzwa na wazoefu hivi kuna uwezekano wa ajira zitakazotangazwa hivi karibuni kupangiwa tu vituo bila kufanya application?
  7. B

    UDOM wanakimbiza kwenye soko la ajira

    Kwenye hizi nafasi za TRA zilizotoka vijana wengi wa UDOM wamepita. Hii inaonesha jinsi gani udom wanadeliver katika ufundishaji hasa hasa Tehama. Vijana wengi wa tehama kutoka udom wameiva me niliwahi kuwachukua vijana watatu intern wamenifanyia kitu kikubwa....Wakati wa kutengeneza mifumo...
  8. I

    Ajaira ajira ajira

    Mkurugenzi wa shule ya wasichana holy eukarist iliyoko mbagala inawatangazia nafasi za masomo Kama ifuatavyo. Physics Chemistry Biology History Geography Civics Kiswahili Kwa mawasiliano piga +255686531343 +255713379428 0766000931
  9. Ramsy Dalai Lama

    Kwanini watu wengi hufanya vizuri kwenye ajira lakin wana fail kusimamia biashara zao wenyewe ama hua hawaanzishi biashara zao

    Because wengi wao they don't know how to run a business in general Kuna watu ambao wako really good at what they do, and have a wealth of knowledge in their field. Na unakuta kiasi kwamba, the company they work for zinamafaniko kwasabab yao na ukute bila wao mambo hayaendi. Lakin sasa kuanzisha...
  10. K

    Sekretarieti ya Ajira/serikali itupe ufafanuzi kuhusu hili la ukosefu wa ajira katika taasisi za serikali

    Neno ukosefu wa ajira ni hali ya mtu yeyote ambaye anaweza kufanya kazi, lakini hana kazi. Ukosefu wa ajira ni mojawapo ya matatizo ya duniani hivi sasa. Ukosefu wa ajira unaonyeshwa kama asilimia ya jumla ya nguvu kazi inayopatikana ambayo haina ajira, lakini inatafuta kazi kikamilifu na ipo...
  11. A

    Wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019

    Kutokana na tangazo lilitolewa Jana bungeni kuhusu ajira mpya bira shaka wizara yako ndo mnufaika mkubwa hivyo yafuatayo yazingatiwe 1.wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019 hapa huwa mnatumia njia gani 2. Kwa...
  12. beth

    Japhet Hasunga (Mbunge wa Vwawa): Tatizo la Ajira litakuwa bomu kubwa lisipowekewa mikakati

    Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga amesema Vijana wengi wana wamesoma hadi ngazi ya Chuo na kupata Elimu lakini Ajira imekuwa changamoto. Akizungumza Bungeni amesisitiza hatua zisipochukuliwa, litakuja kuwa bomu kubwa. Amefafanua, "Serikali imesema itatoa Ajira zaidi ya 32,000 lakini hiyo itakuwa...
  13. Magazetini

    Serikali kutangaza ajira mpya 32,000 wiki ijayo, Afya na Elimu kunufaika zaidi

    Waziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza. Waziri Jenister Muhagama: Nasimama hapa kwa heshima kubwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  14. Shaycas

    Maarifa na Elimu Muhimu katika Maisha

    Soma kitabu hiki kuongeza maarifa na kipato zaidi 'WEWE NI TAJIRI: UMASIKINI UNAUTAKA MWENYEWE' kutoka CALIPA - CAS Life Purpose Academy Unajali Mafanikio yako, ya Mwanao au Ndugu yako Katika Elimu, Kijamii na Kiuchumi? Jisomee kitabu hiki: "MTOTO NA MAFANIKIO" hapa CALIPA - CAS Life Purpose...
  15. clinton gidioni

    Kinacho endelea ajira za bomba la mafuta

    Wakuu poleni na majukum. Jamani kama unafahamu kinachoendelea katika site za bomba la mafuta je, kama wamesha anza kuchukua watu japo hata vibarua au kama kuna ujenzi wowote unao endelea. Naomba kama unafaham changia chochote
  16. Abhar

    Uwezekano wa kupata ajira bandarini au kiwanda cha Cocacola?

    Habari naomba kwa anaefahamu namna ya kupata kibarua bandarini au kiwanda cha Cocacola.
  17. Jamii Opportunities

    Nafasi 38 za ajira Tume ya Utumishi Wa Mahakama

    38 Jobs at Judicial Service Commission/ Tume Ya Utumishi Wa Mahakama March, 2022 The Judicial Service Commission is a body created in accordance with paragraph 112 (1) of the Constitution of the United Republic of Tanzania for the year 1977. In addition, Judicial Administration Act No. 4/2011...
  18. kyagata

    Ulipataje connection yako iliyokupa ajira?

    Ebu kila mmoja leo ajaribu kushare namna alivyofanya mpaka kupata connection yake iliyompa ajira aliyonayo. Binafsi najitahidi sana kutafuta connection za ma hr wa kwenye mabank hasa nmb bank but siwapati. So hebu jaribuni kushare experiences zenu hapa please.
  19. The_Poxs

    Tupeane experience ya ajira yako uliipata mwaka gani na uliipata vipi?

    Kutokana na tatizo la ajira limekuwa kubwa sana nimeamua kuja na uzi huu kama kuwapa moyo vijana wanaohangaika huku na kule katika kutafuta ajira na kukutana na disappointments nyingi sana mpaka kupelekea kukata tamaa kabisa juu ya soko la ajira la Tanzania. [emoji1428] Nilipigiwa simu ilikuwa...
  20. I

    Nakusudia kuiburuza Sekretarieti ya Ajira (Utumishi) na Serikali Mahakamani

    Kama ilivyo kwa mataifa mengine duniani, Tanzania pia ilianzisha chombo cha kusimamia na kudhibiti taaluma ya uhasibu. Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) ni Taasisi inayosajili na kusimamia Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu na kudhibiti taaluma ya Uhasibu nchini. NBAA...
Back
Top Bottom