aibu

Saki Aibu (相武 紗季, Aibu Saki, born June 20, 1985) is a Japanese actress. She is represented by Box Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tuwasimange mpaka waone aibu

    Hakuna haja ya kuwachukulia sheria mkononi au hakuna haja ya kuwapeleka mbele ya sheria Hawa wanafaa kusimangwa Hawa wanafaa kusemwa Hawa wanafaa kusutwa Kule kwetu ukiikosea hatukupeleki kwa balozi wala kwa sungusungu Tunaalika kigoma Tunaalika tarumbeta Tunashona sare ya vijora Tunakufuata...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo adhabu ya mafisadi ni kuwaaibisha?! Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Rais Samia

    Leo Rais Samia amesema kuwa ripoti ya CAG ijayo itaje wanaofanya vibaya ili waone aibu, hivi anatambua kuwa kuiba ni aibu tosha ambayo wameivumilia hivyo ya kutajwa ni ndogo na hawawezi kuwaza wala kustuka? https://www.instagram.com/reel/DWgypeRjIYe/ Yaani mtu aibe pesa inayoweza kujenga...
  3. Mnhamba jr

    JamiiForums Tanzania TANZIA Seleman Said Bungara (Bwege) afariki dunia

    Aliewahi kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania jimbo la kilwa kupitia CUF ndugu seleman said bungala amefariki dunia leo akiwa hospital ambako alikuwa akipatiwa matibabu. 18 November 1961 - 30 Machi 2026 Pia soma Suleiman Bungara (BWEGE) Mbunge wa Kilwa Kusini: "Kwaheri...
  4. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Mpango na mikakati ya maendeleo ifike hatua ione aibu. Wizara, wabunge! CCM oneni aibu!

    Wakuu sijawah kuongelea siasa, wala kutanabai uwezo wa viongoz wa CCM kutawala nchi na kuzitapanya kama si kuzibananga rasilimal za nchi kwa maslah yao binafsi. Ila kwa hili naomba niliseme tu! Kusini maenedleo hali sio nzuri, uchawi uchawi! Kila Ng'anya basi N'ganya, viongoz wanaotoka kule...
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi mnafungia waamuzi kila siku hamjiulizi shida iko wapi i jitathmini hii n aibu kwa soka letuu

    Hii n aibu sana kwa soka letu mnataka kutuaminisha waamuzi wanaungia na matokeo uwanjan Means kuna rushwa inaendelea soka letu Haiwezekani kila mechi jaman mnafungia wamuzi Hivi vikaoo mnalipwa na nani kila siku mnafungia waamuzi mbaya wameshindwa kutasfiri sheria Mna shida kubwa sana snaaaa...
  6. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Wanaume tutafute hela, ni aibu kwa mwanaume kuishi kwa kuombaomba kwa watu ili uhudumie familia Yako ujue unatengeza kizazi cha laana

    Mwanaume popote ulipo ujue kuwa unatakiwa u - hustle kutafuta hela bila kuchagua Kazi ya kufanya as long as itakuingizia kipato. Acheni ubishoo! Hela za kuomba omba kwa watu hazijawahi kuwa na baraka, ujue hiyo laana inahamia kwenye ukoo wako na vizazi vyako vyote wataishi maisha ya kutembeza...
  7. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kama Mwanaume, omba Mungu sana usijejikuta kwenye Hali kama hii. Ni aibu isiyoelezeka

    Kama mzazi, imagine Binti yako amerudishwa nyumbani kutoka shule kwa Maswala kadhaa mfano kuita mzazi au kurudishwa school fees n.k. Badala ya kufika nyumbani, akaamua kwenda sehemu fulani .. mara Paap, whistleblower na wambea wa mtaa wanatoa Codes, mahali Binti yako ameingia na njemba. Njemba...
  8. nzalendo

    JamiiForums Tanzania WaTanzania hii ni AIBU

    Mara kwa mara toka kale tumekuwa tukijinasibu kwamba sisi hatuna ukabila wala chuki kwa kujilinganisha na majirani zetu wa Kenya, Lakini cha ajabu waTanzania tumekuwa na mambo ya kutia aibu sana hasa ninyi ma Diaspora mambo ya kuchomana chuk, wivu, fitna,uchawi na ushirikina, Wenzetu wa KE...
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mabosi au Watu wenye hela nyingi hawajengi kwao? Mkienda kuzika mpaka unaona aibu

    Hii n changamoto sana hapa mjini kwa kwelii.....Najiuliza kwa nini mabosi wengi maofisini wana shida kubwa hawajengi makwao wanapotoka??[sio wote] Na sasa hadi wafanyabiashara wakubwa wanajaza majumba Dar wanazikwa kijijinI. Majuzi kati nilienda kumzika bossi mmoja Tanga aisee nilishtuka. Dar...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri Mkuu kapotoshwa? Katika Sekta ya Afya, Muuguzi na Mkunga ni watu muhimu sana

    Inashangaza kuona Waziri Mkuu akitoa taarifa ambazo hazijafanyiwa uchunguzi mbele ya umati wa watu. Katika sekta ya afya nchini Muunguzi na mkunga ni kiungo muhimu sana, ni vibaya na aibu kuona viongozi wenye dhamana wakiwazungumzia vibaya. 1. Mnaua taaluma ya uuguzi na ukunga inchini 2...
  11. amarina

    JamiiForums Tanzania Swali. Unaweza ukastaafu ukaishi kwa kujificha kwa aibu

    Nahisi usipoheshimu siku zote za uhai wako, unaweza kuja kuishi kwa kujifichaficha. Hata ukihudhuria jambo ukajificha kamera zisikuone. Nauliza je ikiwa hali imeshakuwa hivyo nitafanyaje
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wanasheria hawa wanatutia aibu, elimu yetu imeshuka?

    Wanabisha nini, kwamba Lissu hakusema kama ataasi? Kwamba Lissu hakusema atavunja Katiba na sheria kwa kuzuia uchaguzi wa kikatiba usifanyike nchi nzima ili nchi ibaki bila ya Rais? Kile wanachobisha hawa wanasheria wetu ni kipi, kwamba hakuna mtu (shahidi) aliyesikia kile Lissu alichokisema...
  13. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Paul Dirac Alitaka kuikataa Tuzo ya Nobel kwasababu ya kuona Aibu na kukwepa attention na umaarufu

    ‎ Paul Dirac anajulikana kama mmoja wa waanzilishi wakuu wa quantum mechanics, lakini simulizi za watu waliomfahamu zinaonyesha alikuwa mtu mwenye aibu sana na aliyekwepa attention na umaarufu kwa gharama yoyote. ‎ ‎Katika kumbukumbu na wasifu wake zilizohifadhiwa Cambridge alipokua...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Wakanisa Mtaficha Wapi Hizi Aibu Duniani

    Wakanisa walikuwa kila kukicha wanamzulia Mtume Muhammad eti alimuowa bi Aisha ana miaka 6, na hao viongozi wa hayo mataifa walio mzulia Mtume Muhammad. Mwenyezi Mungu alishatoa ahadi anaye mzulia Mtume Muhammad uwongo atamdhalilisha hapa Duniani na Akhera. Sa Wakristo tuambieni USA ni taifa la...
  15. haszu

    JamiiForums Tanzania Mambo ya matashtiti, wanaume msione aibu kuimba au kusikiliza taarabu

    Mtaniona hivi hivi, mtaniona.
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Urais wa Samia kwa sasa hauna maana yoyote ile wala faida yoyote ni utumwa tofauti alivyo anza ndio ulikuwa urais asione aibu kujiuzuru

    Urais wa Samia kwa sasa hauna maana yoyote ile wala faida yoyote zaidi ya utumwa tofauti na alivyo anza ndio ulikuwa urais asione aibu kujiuzuru. Asione haibu kusema nimechoka watanzania walinikataa nimelazimisha lakini nimechoka hata miezi minne haijaisha lazima aseme nimeacha mauwaji na...
  17. Think2

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzagu wa Musoma, jifunzeni kula vizuri basi! Mnatia aibu

    Traditionally chakula huwa tunakula pamoja it means kwamba msosi unawekwa kati mnakula wote sasa watu wanakula vibaya sana yaani ukichukua nyama na yeye anachukua anatafuna vibaya then anarudia nyingine kama mashindano fulani ivi, aisee mjilekebishe ulaji wenu sio mzuri kama mnakimbizwa kupanua...
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ameamua kuishi kama mkimbizi, anajificha amekataliwa. Urais una raha gani? Ajiuzulu asione aibu

    Ameamua kuishi kama mkimbizi anajificha ficha amekataliwa. Sasa urais una raha gani ? Asione aibu kujiuzulu, hizi spana anazopigwa ni balaa. Anapigwa spana nje ndani na kila mtu mpaka anajificha, akipita hapa JamiiForums anachanganyikiwa. Huwezi kuua watu vile halafu uwe sawa. Umejitakia mwenyewe.
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Waislam watanzania licha ya Quran kuwaambia waitafute elimu mpaka mchina lakini mpaka Leo Wana chuo kikuu kimoja tena chakupewa

    WAISLAM WATANZANIA LICHA YA QURAN KUWAAMBIA WAITAFUTE ELIMU MPAKA CHINA LAKINI MPAKA LEO WANA CHUO KIKUU KIMOJA TENA CHAKUPEWA. MNATIA AIBU BHANA! PYEE! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Leo acha niwavae hawa ndugu maana bila kuwachana wataendelea kuwa hivihivi wamezubaa au wapo...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Samia na Makonda wametoka mbali! Una maoni gani?

    Nini maoni yako?
Back
Top Bottom