aibu

Saki Aibu (相武 紗季, Aibu Saki, born June 20, 1985) is a Japanese actress. She is represented by Box Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, geuka nyuma uone anachofanya DED wa Temeke, aibu!

    Enyi wana wema mliojirani na Rais Samia Suluhu Hassan mstueni bega ageuke nyuma aone kwa macho yake mawili, asikie kwa masikio yake mawili then atumie ile rula ya kupima mabega ya wateule alivyoahidi. Mkurugenzi huyu amelewa chakari fedha za umma kana kwamba TAKUKURU wako likizo au wanamuogopa...
  2. Stanboy

    JamiiForums Tanzania Amri ya Rais yapuuzwa waziwazi bila aibu

    Habari watanzania wenzangu? Kwa wale wa Dar es salaam,poleni na hali ya hewa hii ya baridi na mvua za mara kwa mara. Ni takribani wiki mbili kama sikosei toka Rais wa Jamhuri ya Muungano alipotoa agizo kuwa gharama za vifurushi zishuke na zirudi kama ilivyokuwa awali,cha ajabu mitandao ya simu...
  3. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Aibu yetu: Karne ya 21 bado unaamini maendeleo ni imani pasipo kufanya kazi kwa bidii na maarifa na kuwa na nidhamu ya pesa na muda

    Karne ya 21 bado unaamini maendeleo ni imani pasipo kufanya kazi kwa bidii na maarifa na kuwa na nidhamu ya pesa na muda. Aibu yako! Matokeo ya kutafasiri maendeleo kama imani utaishia kuchinja albino, kuchanjwa chale makalioni, kulala makaburini, kuvaa hirizi kiunoni, kujisaidia haja kubwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa hospitali kubwa kama hii

    Habari wakuu, Leo nimeamua kuwachana live maana mmezidi hii ni mara ya pili Mama angu amepewa dawa zilizoisha mda wake shame on you tena wauaji wakubwa. Mama 'angu amekua akisumbuliwa na kisukari so hua anachukulia dawa katka Hospital ya ILEMBULA kwa hili hapana hao watu wanaoiba dawa...
  5. Kijogoodi

    JamiiForums Tanzania Spika wa bunge kugeuka mpiga debe wa Wachina ni aibu kubwa

    Naam. Tangu mwaka 2018 pale spika Ndugai alipolipiwa kila kitu na wachina kwenda kuonyeshwa presentation ya namna bandari ya Bagamoyo itakavyokuwa ikijengwa, basi amegeuka mpiga debe wao! Ndugai akiulizwa kwani bandari zilizopo zina kasoro gani hadi upigie debe Wachina kiasi hiki? Ndugai hana...
  6. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Ushawahi pata aibu gani mbele ya crush yako?

    Ile time kuna PISI kali ,au ka gentle fulani unakaelewa vilivyo unatafuta timing ukajimbwae mbwae Unamuelewa kiasi kwamba unajiweka tofauti na kawaida ili hata asikuchukulie kawaida Binafsi Enzi za kidato kuna Mdada mmoja nlikuwa namuhusudu sana na nlitengeneza mazingira ya kuniona wa tofauti...
  7. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Wanaume futeni hii aibu ya kukataa Watoto, this is too much

    Wanaume wanaowapa Mimba then wanakimbia huu ni Ushamba. Huku mtaani mnatusababishia Matatizo, mpaka aibu Wanawake wanavyokula msoto. Iwe msoto ,changamoto Rijali akatai Mtoto. Everyone should carry it Burden
Back
Top Bottom