ahadi

Ahadi is an Iranian surname. Notable people with the surname include:

Ahadi (The Lion King), a character from the fictive world of The Lion King
Mina Ahadi, Iranian Communist political activist
Reza Ahadi, Iranian footballer

View More On Wikipedia.org
  1. W

    GE2025 Wagombea wasiishie tu kutoa ahadi za Ajira kwa vijana Uchaguzi 2025. Je watalitekelezaje hili?

    Miaka nenda miaka rudi kila mgombea akiwa ananadi sera zake wanatumia tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana iliw achaguliwe. Lakini viongozi hawahawa tukishawapeleka bungeni ndo wanaorudi na kusema "Vijana mjiajiri serikali haiwezi kuajiri kila mtu." Wananchi tunaposikiliza tunatakiwa kuuliza...
  2. GE2025 Mwanachama CUF: Ahadi za CCM ni zile zile wameshindwa kutimiza ndani ya miaka 30

    Akizungumza leo Septemba 15, 2025 Kutoka Kijiwe cha Kivulini, Mikocheni – Hanifa Mgonela, Mwanachama wa chama cha CUF anaweka wazi namna ambavyo suala la ajira Tanzania limekuwa fumbo lililokosa majawabu.
  3. PICHA: Unadhani mwamba hapa anatoa ahadi gani?

    Ahadi nyingi zinamwaga hapa😂, Sio mbaya ukatupia angalau ahadi moja ambayo itasemwa hapa "Kuna mchongo nausikilizia ukitiki tu nakuchukulia yale mawigi unayoyaona instagramu"
  4. Mdhamini wa Jezi za Simba alitoa ahadi ya kusajili mchezaji yeyote Klabu ikimtaka, Je imekuwa hivyo?

    Hij ahadi aliyeutia Boss wa kampuni siku anatambulishwa rasmi kuwa mdhamjnj mpya wa Jezi, Je wanaSimba tunaikumbuka vizuri? Kuna wachezaji kadhaa Simba imewakosa kwa kushindwa kufika Dau au wengine kuzidiwa Dau na timu nyingine. Jeuruti kashindwa au alitoa ahadi ya uongo? Huu ni kama utapeli...
  5. GE2025 Samia: Msipopiga kura ahadi tunazotoa zitakuwa bure

    Wito wangu kwa viongozi wa maeneo mbalimbali, na hasa viongozi wa matawi na mashina, kuhakikisha kila mtu kwenye eneo lake ametoka kwenda kupiga kura. Tukifanya hivyo, tutasema ahadi tunazozitoa zote zitafanya kazi. Tukilala majumbani, wengine wakatoa watu wao kwenda kupiga kura, ahadi zetu...
  6. Uzi Maalum wa Ahadi za Uongo za Wanasiasa kuelekea October 2025

    Wanasiasa wamekua wakitoa ahadi ya mambo ambayo wanapaswa kufanya kwakuwa wanakusanya kodi, sasa Je, ni ahadi zipi ambazo unajua kabisa ni kama mama anamwambia mwanaye baba yule anaendesha ndege anaelekea Ulaya, zile za utotoni? Mgombea Ubunge Moshi- Nitafufua viwanda vyote vilivyofilisiwa na...
  7. GE2025 Komesha ahadi feki kipindi cha kugombea

    Kila mwaka wa uchaguzi, tunaahidiwa miujiza – shule mpya, ajira kwa vijana, hospitali kila kata… lakini ikishapita miaka miwili, hakuna hata kokoto moja iliyosogezwa. Na wananchi tunaambiwa tusubiri. Mpaka lini? Ni muda sasa tuanzishe sheria mpya – sheria ya kuwalazimisha wagombea kutekeleza...
  8. Tetesi: Viongozi wawajubiswe kama watashundwa kutekeleza zile ahadi walizotoa wakati wa kampeni

    Kila mwaka wa uchaguzi, tunaahidiwa miujiza – shule mpya, ajira kwa vijana, hospitali kila kata… lakini ikishapita miaka miwili, hakuna hata kokoto moja iliyosogezwa. Na wananchi tunaambiwa tusubiri. Mpaka lini? Ni muda sasa tuanzishe sheria mpya – sheria ya kuwalazimisha wagombea kutekeleza...
  9. J

    GE2025 Rais Samia, hii ahadi ya kuondoa tatizo la umeme mpaka lini?

    Moja kati ya mambo yanayokera katika nchi hii ni changamoto ya kukatika kwa umeme. Nakumbuka nikiwa kule kusini mwaka jana, nikiwa kwenye hotel Moja, umeme ukikatika ghafla. Pembe yangu kulikuwa na wazungu wanne wakipata vinywaji. Mara umeme ulipokatika walisikika wakisema, " welcome to...
  10. GE2025 Ahadi za CCM zinavyobua mjadala

    Tangu Chama cha Mapinduzi (CCM) kilipozindua kampeni zake za uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2025 katika uwanka wa Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam, kumekuwa na mijadala kuhusu ahadi zinazotolewa na mgombea urais wa chama hicho, Samia Suluhu Hassan. Miongoni mwa ahadi zilizotolewa na...
  11. GE2025 Je, ahadi zinazotolewa na wagombea wa kisiasa wakati wa uchaguzi zinaendana na changamoto na mahitaji?

    Wakuu ==== kampeni zimeanza! Kila mgombea wa urais anaahidi mambo ili kupata ridhaa ya wananchi. Lakini je, ahadi hizi zinaendana na mahitaji halisi ya taifa letu katika karne hii? Kwa mfano, ahadi za ‘ubwabwa hospitalini’, sera za kujua kusoma na kuandika darasa la tatu, na nyinginezo — ni...
  12. K

    Exclusive: Ahadi hewa zilzotolewa kwa vigogo na wanachama wa chadema kabla ya kujiunga chaumma

    ZIFUATAZO NI AHADI ZILIZOTOLEWA . 1. Kuna majimbo 50 na kata 1000 tumeahidiwa na ccm kwa tutapita bila shida yoyote. 2. Kila mgombea ubunge na udiwani atawezeshwa kifedha ktk kampeni. 3. Mbowe atahamia chaumma ili kuleta hamasa kubwa ndani ya chama hivyo kampeni kuwa rahisi. 4. Maelfu kwa maelfu...
  13. Wekeni hapa ahadi zote za Samia 2025-2030

    Tunataka tuje tumkamate kwa uongo 1: Amesema atanunua ma tractor milioni 10 akichaguliwa kuwa Rais
  14. M

    Chalamila mjanja sana. Kwa ahadi zile Alijua tu Stars haivuki

    Aliahidi hivi: 1. Kila mchezaji kupewe kiwanja Kigamboni 2. Kipa asiporuhusu goli anapewa gari Crown Mpyaaa
  15. B

    List ya wanamtandao "wahuni" wanaotikisa nchi ile ya ahadi..........

    Umuofia kwenuuuu!! Mapama wanaotikisa chi ile ya kusadika kwa uchache ongezeni wengine 1. Aziz 2 .6(Marehemu) 3. Edward (Marehemu) 4. Mzee wa Msoga 5. Makamu mtarajiwa 6. Amos 7. Mzee wa tai ya taifa 8. Bashiaae 9. Mauzi au mathread(Junior) Arafu nyie.... isijekuwa nayo hii platform...
  16. Wanaume wenzangu, tujihadhari na ahadi za rejareja au kuahidi unamuoa mtu

    Wanawake wa siku hizi, Hawataki mchezo kabisa. Na atakuuliza kabla ya kukutana nae kimwili siku hiyo kama utamuoa. Ogopa sana kutokana na hamuhamu zetu wengi hapo ili tu kuridhisha mwili huwa tunatamka kukubali. Na shida huanzia hapo katika ulimwengu wa roho inakuwa kama kiapo cha neno...
  17. Arusha; Ngarenaro;Dogo janja atoa ahadi ya kutokomeza Vibanda vya pombe haramu,mirungi pamoja na Bangi katika kata yake.

    Akihojiwa Asubuhi ya Leo katika Moja ya Radio jijini Arusha mtia Nia ya udiwani wa kata ya ngarenaro almaarufu dogo janja ambae pia ni mwanamuziki amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa Diwani wa kata ya ngarenaro Basi atahakikisha Vibanda vyote vya pombe haramu, Bangi na mirungi vitaondolewa ...
  18. GE2025 Eti wa Bumbuli kaachwa kwa ahadi ya kuwa Katibu Mkuu CCM baada ya Nchimbi, ni uwongo

    Yule kipara aliyetemwa na wana Bumbuli, kwenye mitandao ya jamii kuna chawa wake wanasema eti ameachwa kwa vile ndiye atakuwa mbadala wa Emmanuel Nchimbi kwenye u- Katibu Mkuu wa CCM. Yule aliyetuweka kwenye mgawo wa umeme mwaka 2023 huku akijitengenezea mabilioni ya shilingi kupitia kandarasi...
  19. C

    Kama Mangungu alijua hana nguvu yoyote Simba,kwa nini alitoa ahadi ya kuwafunga yanga?

    Ninaona baadhi ya waandishi nadhani waliolipwa kuchochea moto pale Simba wakitumia nguvu kubwa kumtetea mangungu. Wakati Mangungu akiahidi kuifunga yanga,hakuna aliyeleta uchambuzi kumsuta mtoa ahadi kwa kujaribu kuwarubuni wanachama huku akijua wazi kwamba hana hizo nguvu za kuamua Simba...
  20. Tujikumbushe mambo 11 ahadi za Murtaza Mangungu vs Juma Nkamia. Ametimiza mangapi kabla ya kumlaumu?

    Mangungu aliahidi mambo 11 wakati anaomba kura kuwa Mwenyekiti Simba. kabla ya kuhukumu rejea kwanza ahadi zake, ametimiza mangapi? https://youtu.be/t_mRj7nOM14?si=dTAi_PkWeRMepQW_
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…