afya

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad apata Uteuzi CCM

    Kaimu Shehe wa mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu, Afya na Malezi ya Jumuiya ya Wazazi CCM mkoa wa Dar es Salaam. Source: Jambo TV Mlale unono! === Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Walid Alhad ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi afanya ziara Jimboni, achangia zaidi ya Milioni 3 Ujenzi wa nyumba ya Mganga wa Kituo cha afya

    DKT. SAMIZI AFANYA ZIARA JIMBONI, ACHANGIA ZAIDI YA MILIONI 3 UJENZI WA NYUMBA YA MGANGA WA KITUO CHA AFYA. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi amefanya ziara ya kusikiliza kero za wananchi kata ya Usagara Jimboni ambapo pamoja na mambo mengine ameweza...
  3. JamiiForums Tanzania Mamlaka Chamwino zidhibiti wanaosambaza nyama kwa kutumia mikokoteni

    Wakuu habarini za leo, Nimeona niliweke wazi jambo hili humu ili liwafikie wahusika. Nimelala mara kadhaa maeneo ya Chamwino nikishuhudia nyama ya ng'ombe ikisambazwa mabuchani kwa mkokoteni wa chuma na mabati tena yenye kutu ingawa yalipigwa rangi. Still ukiangalia angle zote za mkokoteni kuna...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa bilioni 5.9 kuboresha afya ya mifugo

    Katika kuboresha huduma za mifugo na kuiepusha dhidi ya magonjwa, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia matumizi ya jumla ya Shilingi Bilioni 5.9 kwa ajili ya ujenzi wa majosho 257 katika Halmashauri 80, ambapo kati ya hayo tayari majosho 88 yamekamilika. Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi...
  5. JamiiForums Tanzania Utaratibu mbaya wa Kulala unachangia kwa 33% madhara ya Afya ya Moyo

    Jarida la Journal of the American Heart Association limechapisha Utafiti unaoonesha Watu wenye miaka kuanzia 30 wasio na ratiba nzuri ya Kulala au Kupumzika Usiku, wanakuwa kwenye hatari mara 1.4 zaidi ya kupata matatizo ya Moyo. Utafiti umeonesha zaidi ya 80% ya Matatizo ya Moyo ikiwemo...
  6. JamiiForums Tanzania Miradi ya Sekta ya Afya Iliyopata Fedha Jimbo la Igunga kwa Mwezi Februari, 2023

    MIRADI YA SEKTA YA AFYA ILIYOPATA FEDHA JIMBO LA IGUNGA KWA MWEZI FEBRUARI 2023 1. Zahanati ya Mtunguru (Kata ya Mtunguru) - Tshs. 46,600,000/- 2. Zahanati ya Igogo (Kata ya Nanga) - Tshs. 27,600,000/- 3. Zahanati ya Mwamashimba (Kata ya Mwamashimba) - 29,600,000/- 4. Zahanati ya Itunduru...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa zaidi kuhusu Dextrose, Normal Saline na Ringer's Lactate

    Hizi fluids tatu zinanichanganya sana matumizi yake. Normal Saline ninachojua inatumika kwa mtu aliyepata dehydration au vomiting, kwa hiyo wanampa ili ku replace zile electrolytes zilizopotea. Concentration yake hatakiwi kupewa mama mjamzito au mwenye high BP. Ringer Lactate nayo kama NS...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Rais wa Guinea Bisau akimchapa makonde Waziri wa Afya kwa kula pesa za COVID 19

    Huku kwetu Rais anaweza kujikuta karibu kila waziri wake anakula ngumi kwa ubadhirifu kwenye wizara zao 😀😀. Mwalimu Nyerere alikuwa sahihi kwa sehemu kuwapiga viboko ishirini na vinne,siku anaingia viboko kumi na viwili na siku anatoka jela viboko kumi na viwili akamuonyeshe mkewe 😀😀.
  9. JamiiForums Tanzania Staa wa filamu Bruce Willis ana changamoto ya Afya ya Akili

    Familia imeweka wazi kuwa Staa huyo aliyetamba katika filamu nyingi zikiwemo Die Hard, The Sixth Sense na Armageddon anasumbuliwa na ugonjwa wa #FrontotemporalDementia unaomfanya kupoteza kumbukumbu na ufahamu wa mambo mengi. Imeeleza kinachomsumbua Willis (67) ni mwendelezo wa hali iliyomtokea...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mchango wa China katika sekta ya afya ya umma barani Afrika unaendelea kutukuzwa na wenyeji

    Afya ni muhimu na ina thamani kubwa sana kwa binadamu. Bila ya mtu kuwa na afya njema hataweza kufanya chochote kile. Ndio maana nchi mbalimbali duniani zinaipa kipaumbele sekta ya afya ili kuhakikisha afya za watu zinakuwa imara, na endapo unatokea ugonjwa ziweze kukabiliana nao kwa haraka na...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Vituo vya afya sita vyajengwa Wanging’ombe ndani ya miaka miwili ya Rais Samia

    Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani aliipa sekta ya afya kipaumbele maana anajua afya ndio msingi wa Maendeleo hivyo amejenga na kuboresha vituo vya afya maana aliahidi kusogeza huduma ya afya karibu na wananchi. Rais Samia Suluhu Hassan ameimarisha utaoaji wa huduma za afya katika...
  12. JamiiForums Tanzania Muziki na afya ya akili

    Muziki ni njia nzuri ya kuweka akili yako imara na kukusaidia kujisikia vizuri. Wataalam wa tiba ya saikolojia wanathibitisha kuwa muziki ni tiba bora kwa magonjwa ya akili kama vile wasiwasi, unyogovu na mkazo. Daktari wa tiba ya akili, Dk. Thomas R. Verny, anasema "Muziki ni tiba ya kiroho na...
  13. JamiiForums Tanzania Saratani kwa Watoto: Huduma za Afya zinawafikia ipasavyo?

    Leo Februari 15 ni Siku ya Kimataifa ya Saratani kwa Watoto Inakadiriwa Watoto na Vijana wa hadi miaka 19 wapatao 400,000 hugundulika na Saratani kila mwaka. Ugonjwa huo ni sababu kuu ya Vifo licha ya Saratani nyingi za Watoto kutibika. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), baadhi...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Dkt. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF wala kumiliki kadi

    Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema aliyekuwa Katibu wa CCM Dr. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF na hajawahi kumiliki kadi ya chama hicho. Chanzo: ITV Dakika 45
  15. JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje shirika la Afya linaajiri waalimu kudeal na mambo ya Afya? ( client tracking)

    Kuna shirika moja hapa Tanzania ni maarufu sana linahusiana na mambo ya ukimwi lipo mkoani Tabora na sehemu mbalimbali lakini cha ajabu sasa kuna halmashauri moja mkoa wa Tabora imeajiri waalimu kwa ajili ya kuwafuatilia wateja na mambo mengi yahusiano na utoaji wa dawa za kufubaza virus vya...
  16. JamiiForums Tanzania Bunge halijatenda haki kutowasilisha muswada wa Bima ya Afya kwa wote

    Naendelea kushangaa juu ya kigugumizi cha wabunge juu ya muswada huu muhimu unahusu afya za watanzania. Hili ni jipu la muda mrefu sana lenye kuhitaji tiba. Siku za nyuma Serikali imekuwa inakwepa kuwasilisha muswada huu bungeni. Hata hivyo vision ya Rais Samia ilikuwa ni kuwasilisha muswada...
  17. JamiiForums Tanzania Matatizo ya Afya ya Akili utotoni yanaweza kuchochea kupoteza kumbukumbu

    Matatizo yanayotajwa ni umasikini, migogoro ya familia au kuugua na kingine chochote ambacho kinaendana na utimamu wa Afya ya Akili. Utafiti wa Chuo Kikuu cha Cambridge cha England umebaini kuwa mtoto anapofikia hatua ya kufanya maamuzi wakati wa ukuaji wake anaweza kuathirika mfano kusahau...
  18. JamiiForums Tanzania Uchumi imara hujengwa na wananchi wenye afya imara

    UCHUMI IMARA HUJENGWA NA WANANCHI WENYE AFYA IMARA. Na Konakuze Bodi 0759754034 mswaada wa bima ya Afya kwa wote ni sera ambayo inalenga kuijenga, kuisuka, kuimarisha sekta ya Afya na kuwakomboa watanzania kuiuchumi kutokana na uondoaji wa msululu na Utitili wa gharama kubwa kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Upendeleo kwenye jambo lolote, maudhui na muktadha wowote si afya

    Wasalaam JF Niseme ya kwamba upendeleo ukizidi si afya iwe kwa namna yoyote ile, mizania iwe sawa iwe kwa wanao wapendeza na wasio wapendeza nyie miungu wa dunia wenye vyombo na mali zenu. Pingu hazitawashibisha fairness iwe ndio msingi wa kazi yenu. Wadiz
  20. JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa Diploma, Chuo cha Muhimbili-COHAS, Dar es Salaam kuzuiwa kufanya mitihani yao kisa bima za afya

    Wanafunzi wa Diploma, chuo cha Muhimbili-COHAS kilichopo Dar es Salaam kuzuiwa kufanya mitihani yao kisa bima za afya. Kumekuwepo na malalamiko ya wanafunzi kulalamika kwa kile kinachoendelea katika chuo hicho ambacho kinatoa Elimu kwa ngazi ya diploma (MUCOHAS) huku walimu wakisema maelekezo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…