afya

  1. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy atoa siku 14 kwa NHIF kukamilisha maboresho ya Toto Afya Kadi

    Waziri wa Afya Tanzania, Ummy Mwalimu ametoa wiki mbili (sawa na siku 14) akiuagiza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuhakikisha inarudi na mfumo rafiki kwa ajili ya kundi la watoto wa mwaka sifuri mpaka miaka 18. Ummy ameyasema hayo baada ya swali aliloulizwa na baadhi ya wachangiaji...
  2. JamiiForums Tanzania Maboresho katika utaratibu wa usajili wa watoto kupitia mpango wa toto afya kadi

    MABORESHO KATIKA UTARATIBU WA USAJILI WA WATOTO KUPITIA MPANGO WA TOTO AFYA KADI Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unapenda kuutangazia Umma kuwa, unafanya maboresho ya utaratibu wa usajili na huduma kwa watoto waliokuwa wanasajiliwa kupitia utaratibu wa Bima ya Afya ya “TOTO AFYA KADI”...
  3. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa NHIF baada ya kusitisha huduma ya Bima ya TOTO AFYA KADI

    Pia soma: NHIF yafuta Bima ya Afya kwa watoto "Toto Afya Kadi". NHIF yadai hawajafuta ila wameboresha
  4. JamiiForums Tanzania NHIF Waongeza gharama za Bima ya Afya kwa Watoto, sasa kulipa Tsh. 120,000/= badala ya Tsh. 50,400/=

    Ni kilio, baada ya NHIF kufuta kifurushi cha Toto Afya na kulazimisha mzazi kukata bima ya afya pamoja na Watoto wao na gharama kupanda kutoka 50,400 mpaka 120,000 kwa mtoto mmoja.
  5. JamiiForums Tanzania Naanzisha kampeni ya kukataa Bima ya Afya kwa wote

    Hili suala ni dhahiri serikali inataka kufanya biased na wananchi. Kama watumishi wa umma tu mneshindwa kutuhudumia vizuri mpaka tunapata dawa grade 3 & 4, sasa mkihudumia angalau 30% ya Watanzania hali itakuwaje? Zamani bima ya NHIF ilikuwa kama bakshishi kwa watumishi na toto afya ilikuwa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Maoni ya wadau wa JamiiForums juu ya kusitishwa kwa Bima ya TOTO AFYA KADI

    Mnamo Machi 13, 2023 NHIF ilitoa taarifa rasmi kutangaza kusitisha Huduma ya Toto Afya Kadi ili kupisha Maboresho ya huduma hiyo na kuwataka Wazazi kusajili Watoto kama Wategemezi kupitia Vifurushi vingine vya Bima ya Afya au Shule wanazosoma, soma: NHIF yafuta Bima ya Afya kwa watoto "Toto Afya...
  7. JamiiForums Tanzania NHIF yafuta Bima ya Afya kwa watoto "TOTO Afya Kadi". NHIF yadai hawajafuta ila wameboresha

    Habari za awali zinadai kwamba Mfuko wa Taifa wa BIma ya Afya umefuta rasmi bidhaa ya "Toto Afya Kadi" iliyokuwa inatolewa na mfuko huo kwa watoto wa chini ya miaka 18 wanaosajiliwa ili kuwawezesha kupata huduma za matibabu katika vituo vilivyosajiliwa na NHIF nchi nzima. Ikumbukwe kuwa Toto...
  8. JamiiForums Tanzania Runners (Wakimbiaji) | Special Thread

    Kuamka Alfajiri, au nyakati za jioni kuvaa kiatu, kwenda uwanjani, kuifuata barabara nyoofu. RUNNERS. Uzi huu naomba uwe maalum kutukutanisha wakimbiaji, tupeane dondoo za ukimbiaji, takwimu za kila siku tukimbiapo (stats), njia nzuri za kukimbilia (routes), teknolojia n.k. Morning runners.
  9. JamiiForums Tanzania Mama mwenye tatizo la Afya ya Akili alivyotaka kumnyonga mwanae kwa kusikia sauti

    Mjadala uliofanyika Machi 3, 2023, katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Madaktari Wanawake Tanzania (MEWATA) kuhusu afya ya akili baada ya kujifungua, umenikumbusha mbali. Siku moja napita pita katika wodi ya watoto wachanga nawahimiza akina mama kunyonyesha watoto, mama mmoja aliniita, “Dokta...
  10. JamiiForums Tanzania Huduma za Afya ya Akili ziingizwe kwenye Huduma za Mama na Mtoto

    Mjadala uliofanyika Machi 3, 2023, katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Madaktari Wanawake Tanzania (MEWATA) kuhusu afya ya akili baada ya kujifungua, umenikumbusha mbali. Siku moja napita pita katika wodi ya watoto wachanga nawahimiza akina mama kunyonyesha watoto, mama mmoja aliniita, “Dokta...
  11. JamiiForums Tanzania Nchi 5 za Afrika zaweka mkakati wa kutoa mafunzo na kuajiri wahudumu wa afya ngazi ya jamii

    Mawaziri wa Afya wa nchi 5 ikiwemo Tanzania, Rwanda, Sierra Leon, Ethiopia na Jamhuri ya Afrika ya Kati wamekutana na kuweka mkakati wa kutoa mafunzo rasmi angalau ya mwaka mmoja, hatimaye kuajiri Wahudumu wa afya ngazi ya jamii kwa ajili ya kuimarisha Huduma za Afya ya Msingi. Haya...
  12. JamiiForums Tanzania Lindi: Wajawazito wajifungulia kwa tochi umeme ukikatika kituo cha afya rutamba

    Wakati dunia ikiadhimisha siku ya wanawake Duniani, wanawake wa kata ya Rutamba halmashauri ya manispaa ya Lindi wamelia na changamoto ya uchakavu wa miundombinu katika kituo cha afya cha Rutamba. Wamelalamikia hayo baada ya wafanyakazi wanawake kutoka Mashujaa FM kufika kituoni hapo...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake milioni 1.6 wamefikiwa kwa elimu na huduma za Afya ya Uzazi kwa Mwaka

    Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani ambayo inaadhimishwa Machi 8 kila Mwaka, Shirika la Marie Stopes Tanzania limesisitiza umuhimu wa Elimu na huduma za Afya ya Uzazi kuwa ni msingi bora kwa Afya ya mwanamke na kwa maendeleo katika jamii. Dkt. Geoffrey Sigalla (kushoto) na V.S. Chandrashekar...
  14. JamiiForums Tanzania Miili yenye afya kwenye jamii za wafugaji

    Habari zenu watu wa humu. Moja kwa moja niende kwenye mada nisiwachoshe na salaam. Katika pitapita zangu na kuzunguka baadhi ya mikoa hapa Tanzania, nimegundua jamii za wafugaji Kama wamasai, wakurya, wasandawe, wasukuma nk.., wana asili ya urefu tena wana afya Sanaa tofauti na jamii za wakulima...
  15. JamiiForums Tanzania Watu 33 wanusurika Kifo kwa kula nyama iliyouzwa Tsh 2000 kwa kilo

    Watu 33 wa kijiji cha Kazingumu kata ya Namelock wilayani Kiteto mkoani Manyara wamenusurika kifo baada ya kula mzoga wa ng'ombe aliyekuwa anapatiwa matibabu ambapo nyama hiyo walinunua kwa shilingi 2000 kwa kilo badala ya bei ya kawaida ya 8000. Mkuu wa wilaya ya Kiteto Mbaraka Al Haji...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge Kaliua, Aloyce Kwezi aahidi ndani ya miaka miwili ijayo kukamilisha Miradi ya Elimu na Afya

    Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Aloyce Kwezi ameendelea na ziara yake katika jimbo na kutembelea miradi mbalimbali ambapo ameongea na wananchi wa Kata mbalimbali wa maeneo hayo. "Ndugu zangu Wananchi wa Ukumbikakoko na Usinga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anawapenda...
  17. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote wapita

    Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamepitisha Muswada wa Bima ya Afya kwa wote huku Serikali ikiahidi kuhakikisha mfuko huo unakwenda kutekeleza malengo yake ya kuwapatia Wananchi huduma za Afya kikamilifu kwa makundi yote. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Fedha na Mipango, Dkt. Saada Mkuya alisema...
  18. JamiiForums Tanzania Walimu waghushi Vyeti vya Ndoa kupata Bima ya Afya

    Tume ya Utumishi wa Walimu Nchini (TSC), imekabidhiwa majina 78 ya walimu waliobainika kughushi nyaraka mbalimbali za wategemezi na matumizi mabaya ya kadi za bima za afya. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kitengo cha mawasiliano Serikalini cha TSC iliyotolewa jana Jumatano, Machi Mosi...
  19. JamiiForums Tanzania Kama Elimu ni bure, kwanini Afya pia isiwe bure?

    Elimu ni bure . Afya nayo kwanini isiwe bure? Naomba kufahamu serikali ilichukua kipaumbele gani kutoa elimu bure na sio Afya.
  20. JamiiForums Tanzania Mfuko wa Bima ya Afya wa Serikali NHIF umekua na sintofahamu kwenye hili

    Kumekua na marudio na marejeo ya mtu mmoja kupata bima moja ya afya sehemu mbalimbali, Unakutana na kijana anabima ya NHIF ambayo iko chini ya familia, Kijana huyu huyu anapoingia chuo analipia bima ya NHIF, Kijana huyu huyu anapoanza kazi shirika la serikali analazimishwa kukatwa mafao ya bima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…