afya

  1. JamiiForums Tanzania Je wajua mzunguko mzuri wa damu huleta afya Bora ya uzazi?

    Afya Bora ya uzazi hutegemea zaidi mambo makuu matatu 1. Mzunguko wa damu(ufanyaji kazi mzuri wa moyo) 2. Saikolojia ya mtu 3. Mfumo mzuri ya neva katika ubebaji wa taarifa Afya Bora ya uzazi hutegemea zaidi ufanyaji kazi wa moyo katika kusafirisha damu ya kutosha kwenye maungo ya mfumo qa...
  2. JamiiForums Tanzania SI KWELI NHIF yarejesha utaratibu wa kusajili watoto kupitia Mpango wa Toto Afya Kadi

    Kumekuwepo na taarifa inayosambaa mtandaoni ikionesha kuwa mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF) umerejesha mpango wa kusajili watoto kupitia kifurushi cha Toto Afya Kadi. Taarifa hii ina ukweli kiasi gani maana naona kuna mvutano mkubwa, baadhi wanadai ni kweli na wengine wanasema si kweli.
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Malalamiko kwa NHIF: Nashindwa kupata huduma za Afya pamoja na kulipia kifurushi cha Tsh. Milioni 1.4

    Madaktari naomba niwaulize, kwani miwani sio matibabu ya macho? Kama uono wako unategemea miwani na usipovaa sio tu kwamba huoni bali unaumwa sana na kichwa, kwanini sasa NHIF wanagoma kulipia huduma ya miwani katika vifurushi vyao? Wiki mbili hizi nimepata mitihani ya kuuguza mzazi wangu na...
  4. JamiiForums Tanzania Utoaji wa Huduma za Afya Umezinduliwa Kwenye Hospitali Kuu ya Musoma Vijijini

    UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA UMEZINDULIWA KWENYE HOSPITAL KUU YA MUSOMA VIJIJINI Leo, Jumanne, tarehe 9.8.2023, Mkuu wa Wilaya wa Musoma (DC), Dkt Khalifan Haule amezindua utoaji wa Huduma mbalimbali za Afya kwenye Hospitali ya Halmashauri yetu ya Wilaya ya Musoma (Musoma DC) Hospitali imejengwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nisaidie process ya kubadili kozi chuo cha afya cha serikali.

    Wakuu natumai hamjambo. Kijana wangu wa kiume amechaguliwa kujiunga na chuo cha afya baada ya kumaliza kidato cha nne. Katika matokeo yake alipata DCC ktk tahasusi ya PCB, amechaguliwa kusomea unesi na ukunga. Yeye anataka kusomea Clinical medicine. Tafadhali anaejua process za kubadilisha kozi...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa ndugu zangu wa PCB mtakaokosa nafasi vyuo vya afya jaribuni kozi nyingine

    Salaam, Hii ni kwa wale ndugu zangu wa PCB wenye matarajio ya kwenda medical schools(hasa public universities) lakini competition itawaondoa. Jaribuni kozi nyingine nje ya field ya afya pale itakapo wabidi kama sisi kaka zenu tulivyojaribu. Inawezekana usichaguliwe huko medical school kwa kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ili uruhusiwe kufanya biashara jimbo la Ukonga ni lazima uwe na Cheti cha COVID-19 pamoja na cheti cha afya

    Nimeshuhudia patashika ya migambo na wafanyabiashara kata ya Buyuni wakiwakamata wafanyabiashara mbalimbali na kuwapeleka ofisi ya mtendaji kata Buyuni iliyopo Chanika kwa kosa la kufanya biashara bila cheti cha afya na cha COVID-19. Pamoja na mambo mengine msako huu umekuwa mkali kiasi kwamba...
  8. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Serikali ifanye haya kuimarisha Utawala bora na Uwajibikaji katika Sekta ya Afya

    Afya ya msingi(PHC) Upatikanaji wa huduma ya afya na mipango ya afya ya msingi katika ngazi ya jamii, Zahanati,na vituo vya afya ni changamoto ngumu sana katika nchi zinazoendelea. Utawala Bora katika afya ya msingi ni jambo muhimu sana ambalo serikali imesahau kuwekea kipaumbele. Hii...
  9. W

    JamiiForums Tanzania SoC03 Afya, uzazi wa mpango

    Mwandishi MZT company limited, kazi za jamii. Yanachochea mabadiliko katika utawala bora. UZAZI WA MPANGO NI NINI? Uzazi wa mpango ni uamuzi wa hiari unaofanywa na mtu binafsi, mwenzi au wote wawili, ili kuamua ni lini watapata watoto, baada ya muda gani na kuufuata. Huu ni uzazi unaofutata...
  10. JamiiForums Tanzania Vijana Fanyeni Michezo Ili Kuimarisha Afya Zenu na Kutimiza Malengo na Ndoto Zenu

    NAIBU WAZIRI CHILO: VIJANA FANYENI MICHEZO ILI KUIMARISHA AFYA ZENU NA KUTIMIZA MALENGO NA NDOTO ZENU Mbunge wa Jimbo la Uzini Muheshmiwa KHAMIS HAMZA CHILO Amewataka Vijana (Wanamichezo) wa Jimbo la Uzini kufanya Michezo kama sehemu ya Kuimarisha Afya zao na Kukuza Vipaji na Kitimiza Ndoto...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu, tunaomba MDH wasiondoke mkoa wa Geita

    Wasalaam ndugu wana Jukwaa, Kwanza nianze bandiko langu kwa kumpongeza Mhe. Waziri wa afya kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya ndani ya hii Wizara kubwa na muhimu sana kwa Watanzania. Hongera sana mheshimiwa Waziri Ummy. Wewe ni jembe haswa kwa maoni yangu na ni askari wa mwavuli wa Mheshimiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ijue afya yako kupitia aina ya kinyesi unachokitoa

    Chati ya kinyesi ya Bristol ilitengenezwa mnamo 1997 kama zana ya tathmini ya kliniki. Kuna aina saba za kinyesi kulingana na Chati ya hiyo. Chati ya kinyesi ya Bristol ni msaada wa matibabu ulioundwa na kuainisha kinyesi katika vikundi saba. Baada ya kujisaidia, kile unachokiona chooni...
  13. T

    JamiiForums Tanzania SoC03 Afya bora kwa wote: Jinsi ya kufika malengo ya utawala bora

    Afya bora kwa wote ni lengo muhimu katika kujenga jamii yenye ustawi na maendeleo endelevu. Utawala bora ni msingi wa kufanikisha lengo hili kwa kuweka mifumo imara na inayozingatia usawa katika utoaji wa huduma za afya. Kuimarisha utawala bora kunahitaji ushirikishwaji wa wananchi, uwazi...
  14. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Afya katika Enzi ya Dijitali

    Tangu kuanzishwa kwa teknolojia ya kidijitali, maisha yetu yamepata mabadiliko makubwa. Tunashuhudia mabadiliko haya katika kila nyanja ya maisha, ikiwa ni pamoja na sekta ya afya. Leo hii, tunaona matumizi ya teknolojia katika kuboresha huduma za afya na jinsi ambavyo afya ya kidijitali...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania yapongezwa kwa mageuzi makubwa Sekta ya Afya

    Serikali ya Tanzania imepongezwa kwa kufanya mageuzi makubwa katika Sekta ya Afya pamoja na kutoa ushirikiano kwa mashirika ya kimataifa hususan Shirika la Afya Duniani (WHO). Pongezi hizo zimetolewa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini, Dkt. Charles Sagoe-Moses wakati...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa mfanyakazi

    Habari wakuu, Napenda kufahamu kuhusu sheria ya mfanyakazi katika kampuni binafsi ndani ya Tanzania je ni haki wafanyakazi kupewa bima ya afya bila dependant wao kimfano employee amepewa bima ya afya kisha akaambiwa atapata yeye tu mke na mtoto hawatapata. Wafanyakazi wengine wameinclude...
  17. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Afya Ummy Mwalimu uliyekurupuka kuhusu Bima ya Afya

    Ummy mwalimu. Nianze kwa masikitiko makubwa ya kile kinachoendelea kwenye mahospitali, vituo vya afya na zahanati imma na binafsi. Ummy (MB) na waziri umepewa dhamana lakini hujui msuguano uliosababisha. Wachangiaji na familia zetu typo kwenye mkwamo tusiostahili. Huduma ya afya Kwa kadi za...
  18. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Misingi ya kuboresha afya

    Siku hizi ulimwengu wa leo umekuwa ukitumia njia za mkato katika tiba za dalili ya ugonjwa wanaoupitia. Bila kujali kumwona Daktari kwa vipimo ili kugundua Magonjwa yanayo wakabili, Mfano Mtu anaweza akaumwa kichwa kisha kwenda duka la dawa na kuchukua dawa za kupunguza Maumivu bila kujali...
  19. JamiiForums Tanzania KWELI Kufanya mapenzi mwanamke akiwa juu ni hatari kwa afya ya uume wa mwanaume

    Wakati napitia pitia mitandaoni kutafuta style mpya kwa ajili ya shangazi yenu ndio nikakutana na hili bandiko kuwa aina ya kujamiiana huku mwanamke akiwa amemkalia mwanaume juu ('woman on top' or 'cowgirl' or 'reverse cowgirl'), hatari kwa afya ya mwanaume kwani hupelekea maumivu makali kwani...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Sigalla: Ushiriki wa Marie Stopes Tanzania katika Tuzo ya EJAT utasaidia kuondosha mitazamo potofu juu ya Afya ya Uzazi

    Dr. Geofrey Sigalla Tuzo za Umahiri katika Uandishi wa Habari (EJAT) 2022 zilizotolewa kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Jumamosi ya Julai 22, 2023 ambapo waandishi mbalimbali walifanikiwa kubeba tuzo kwenye vipengele tofauti. Tuzo hizo ambazo ziliratibiwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…