afya

  1. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa wizara ya afya, tamisemi na wahusika wengine

    Salamu ziwafikie nyote, Naandika kwa wino unaovuja damu pia nitajitahidi kukosoa kwa staha, baada ya hosipitali ya amana kupewa hadhi ya rufaa, kuna hosipitali ilijengwa huku kivule ambayo inajulikana kama hosipitali ya wilaya ya kivule, mgonjwa anatakiwa aanzie hapo ndipo apewe rufaa ya kwenda...
  2. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tanzania yavunja rekodi matibabu ya moyo

    Na Mwandishi wetu – Dar Es Salaam. Upasuaji mdogo wa moyo wa kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic Valve Implantation procedure – TAVI) Upasuaji huo wa historia umefanyika kwa wagonjwa watatu wenye umri wa zaidi ya miaka 70 katika...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: Kama Mwanaume unavaa Suruali zaidi ya Size 40 na Mwanamke size 35 Afya yako iko hatarini

    Mkurugenzi huyo Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo amesema Watu wenye uzito mkubwa wanapaswa kuchukua hatua za haraka kupunguza miili kabla hawajaingia kwenye hatari ya Magonjwa Yasiyoambukiza. Amesema kasi ya ongezeko la Wagonjwa wa Figo inaonesha wazi...
  4. Antibiotics

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Wizara ya Afya, Nactevet na Serikali kwa ujumla

    TAARIFA KWA WIZARA YA AFYA, NACTEVET,SERIKALI NA WANANCHI WOTE KUHUSU CHUO CHA ST.ALVIN INSTITUTE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE KILICHOPO MOROGORO MANISPAA. Nikiwa kama mdau wa elimu napenda kueleza mambo mchache juu ya mwenendo mzima wa chuo cha ST.ALVIN INSTITUTE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE...
  5. advocate91

    JamiiForums Tanzania KERO Vyoo vya IFM ni vichafu sana, vinahatarisha afya za watumiaji

    Hali ya vyoo vya IFM inahatarisha kwanza kumekuwa hakuna maji na usafi sio wa mara kwa mara vyoo ni vichafu sana. Uongozi wa chuo tunaomba mliangalie hili ili kuepuka mlipuko wa magonjwa chuoni.
  6. MIRA01

    JamiiForums Tanzania Vifaa gani natakiwa kuwa navyo kabla sijafungua clinic ya macho mtaani?

    Habari wana jamvii, msaada wa aina ya vifaa navyotakiwa kuwa navyo kabla sijafungua clinic ya macho mtaani! Msaada wa mawazo juu ya machine na mitambo ya kuwa nayo kama clinic ya macho
  7. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza, kwanini bei maji ya Uhai 1.6L na Afya 1.6L ipo juu kuliko Masafi 1.6L na Pangani 1.6L

    Mwenye kufahamu sababu ya tofauti ya bei ya maji ya Uhai 1.6L na Afya 1.6L kuuzwa 700.00 wakati ujazo huohuo kwa Masafi 1.6L na Pangani 1.6L yanauzwa 500.00. Pia kwanini maji ya Pangani 1.6L hayana Stempu ya kieletronic juu ya mfuniko?
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Usumbufu wa kupata likizo HAI DC hasa idara ya Afya

    Naomba muongozo wa likizo kwa mtumishi wa umma umekaaje. Ni haki mtumishi kufutiwa likizo yake ya mwaka? Maana nimefanya kazi miezi 12 bila likizo nimehamia kutoka halmshauri nyingine ambako nilikuwa nachukua likizo zangu Desemba, nimefika huku wanasema mwezi huu hawaruhusu likizo na kunitaka...
  9. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Biblia ndio kitabu pekee chenye uwezo wa kukupa afya ya akili?

    Asilimia kubwa ya watu duniani ni wagonjwa kiakili kwa kujua au kutokujua. Bahati mbaya watu hawa ambao wengi ni Maprofessionals, Maprof, Wasanii, wachungaji feki (gospelpreneurs), Wanasiasa na wafanya maamuzi ya dunia ndio wanaoaminiwa sana na watu. Hii imepelekea mlipuko mkubwa wa janga la...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro aagiza Timu za Ligi Kuu kuwakatia Bima za Afya Wachezaji

    WAZIRI DKT. NDUMBARO AAGIZA TIMU ZA LIGI KUU KUWAKATIA BIMA ZA AFYA WACHEZAJI Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amelielekeza Baraza la Michezo la Taifa “BMT” kuhakikisha kuwa ifikapo Januari, 2024 kila klabu ya ligi kuu ya NBC iwe na Bima ya afya kwa wachezaji wake...
  11. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wote huenda likawa ni kaburi la afya za Watanzania

    Muswada wa Bima ya afya kwa wote ulifanikiwa kupitishwa bungeni mwezi uliopita, na tayari umetiwa saini na Rais wa Tanzania kuwa sheria rasmi, hivyo mchakato wa kutengeneza kanuni na taratibu za ufanyaji kazi kabla ya kuanza kutekelezwa umeanza rasmi. Bahati mbaya sana watu wengi hawajui mifumo...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Afya Makuburi wahudumu wenu wa maabara wachunguzwe

    Habari, Niko hapa tangu asubuhi nimemsindikiza mke wangu kufungua kadi ya mama mjamzito. Tangu nimefika muda huo, kwanza wajawazito wanaofungua kadi nao wanachanganywa na wagonjwa wa kawaida kitu ambacho ndiyo kwanza nimekiona leo hapa. Pili nimeandikisha mapokezi tukaelekezwa maabara tukiwa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MSD yasambaza vifaa tiba vya zaidi ya Tsh 930m katika Vituo vya Afya 24 vya Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Serikali kupitia Bohari ya Dawa (MSD) Kanda ya Dar es Salaam imesambaza vifaa tiba vya zaidi ya sh. milioni 930 kwa ajili ya vituo vya afya 24 vya halmshauri ya Wilaya ya Ulanga. Akizungumza Wilayani humo mkoani Morogoro, Mbunge wa Jimbo la Ulanga Salim Hasham amesema, wamepokea vifaa tiba...
  14. PharaohMtakatifu

    JamiiForums Tanzania Nabii Malisa aelezea jinsi alivyomfufua mama yake mzazi mara 3

    MAMA YANGU MZAZI ALIFARIKI NIKAMUOMBEA AKAFUFUKA; PROPHET MALISA "Moja ya kitu ambacho sitakuja kukisahau katika maisha yangu yote ni siku ambayo mama yangu mzazi alifariki halafu nikamuombea akafufuka, na hakufariki mara moja, ni mara tatu na zote nilimfufua"- Prophet Malisa Hata hivyo mama...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania UPDATE: Watumishi waliomwagiana Maji ya Dripu wakisherehekea 'Birthday' wasimamishwa Kazi

    ============= Serikali iemanza kufanya uchunguzi kuhusu video inayosambaa mtandoni ikiwaonyesha watoa huduma za afya wakisherehekea siku ya kuzaliwa kwa kumwagiana majitiba maarufu ‘dripu’. Akizungumza na Mwananchi leo Jumapili, Desemba 3, 2023 Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Nagu...
  16. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira za mkataba kada ya afya mkoa wa Geita

    Tangazo linajieleza , mkataba wa mwaka mmoja. Changamkieni.
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Kaliua: Kituo cha Afya Usinge Chapokea Vifaa Tiba vya Tsh. Milioni 200

    JIMBO LA KALIUA: KITUO CHA AFYA CHA USINGE CHAPOKEA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA ZAIDI TSH. MILIONI 200 Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Dkt. Amin Vasomana ameshiriki zoezi la kupokea vifaa Tiba vyenye thamani ya Tsh. 214,253,955.11. Zoezi hilo limeshuhudiwa na viongozi mbali mbali akiwemo...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya, TACAIDS na NACP wakija kupima Watu UKIMWI Kawe wakitukuta 90% hatujaathirika nao nakata Rufaa upesi sana

    GENTAMYCINE nichukue nafasi hii Kumpongeza Mwaposa na Waumini wake wasio na sehemu za Kukaa ( huku wakiwa Wanakoga, Wanakunywa na Wanajamba ) hovyo Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe na Waumini hao wa Kike Mabinti, Wamama na hata Wabibi wakiwa tayari Kulalwa ( kutoa Ngono ) kwa kuanzia Shilingi...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Dugange: Viongozi Waelezeni Wananchi Mafanikio Sekta ya Afya

    Viongozi wa sekta ya afya wametakiwa kuwaeleza wananchi mafanikio yanayopatikana katika sekta ya afya ili kufahamu namna serikali ilivyoboresha huduma za afya nchini. Naibu waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Festo Dugange ametoa maagizo hayo alipokuwa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watumishi wa sekta ya afya waliopata ufadhili kupitia mpango wa “Samia health super specialisation scholarship program 2023/24”

    1. Hongera waliopata 2. Je, ni kweli wanalipa maana kumekuwa na tabia, tangu huko nyuma, ya kulipa kwa mbinde mpaka walio nje kufedheheka kwa kukosa huduma za kishule AU ni uchaguzi UNAKARIBIA. Short of that napongeza hatua hii.
Back
Top Bottom