afya

  1. JamiiForums Tanzania Vinywaji baridi ni hatari kwa afya ya mzazi

    Wakuu nimekutana na taarifa hii inatahadharisha wazazi kunywa maji baridi. Taarifa inaonya kwamba jambo hili ni hatari kwa afya. Upi ukweli wa jambo hili?
  2. JamiiForums Tanzania Kutana na Kondom ya kale

    Kondomu zilizotumika katika Roma ya Kale zilitengenezwa kwa kitani na utumbo wa wanyama (kondoo na mbuzi) au kibofu. Inawezekana kwamba walitumia tishu za misuli kutoka kwa wapiganaji waliokufa lakini hakuna ushahidi mgumu kwa hili. Kabila la kizamani la Djukas [1] lililoishi New Guinea...
  3. JamiiForums Tanzania SoC04 Kuna nafasi kubwa kwenye Huduma za Afya za Kidigitali kwa Tanzania kusaidia sekta ya afya

    Maono ya Kibunifu kwa Huduma za Afya za Kidigitali kwa Tanzania: Miaka 5 hadi 25 Ijayo Utangulizi Katika dunia ya sasa inayozidi kuwa ya kidigitali, Tanzania ina fursa kubwa ya kuboresha huduma zake za afya kupitia matumizi ya teknolojia za kisasa. Huduma za afya za kidigitali zinaweza kutoa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bima ya Afya Vikoba

    Kupitia mfumo wa kiditali bima ya AFYA VIKOBA itawezesha makundi tegemezi kama mwanafunzi, ombaomba nk kumudu gharama za matibabu kwa kuchangia Tshs 150 kwa siku, 1000 kwa wiki na 45,000 kwa mwaka. Na watoto umri wa siku 1 hadi miaka 4 wa mwanakikundi kupata tiba bure na hasa kwa magonjwa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Suluhisho la upatikanaji wa bidhaa za afya vituoni hususani bidhaa za dawa

    UTANGULIZI. Licha ya selikari kufanya jitihada kubwa katika huduma za afya, ikiwemo majengo ya kutolea huduma za afya na wataalamu mbalimbali. Bado Kuna changamoto katika upatikanaji wa bidhaa za afya hasa bidhaa za dawa. Wizara ya afya kupitia bohari ya dawa (MSD) imekuwa ikipeleka dawa...
  6. JamiiForums Tanzania KERO Dampo la ‘Bakhresa’ Mkuranga, linahatarisha afya za wakazi Dar na Pwani. Matunda kutoka dampo hilo yauzwa tena sokoni

    Hapana shaka afya za wakazi wa Dar es Salaam na Pwani, zipo hatarini. Hii ni kutokana na kuuziwa matunda yanayookotwa katika Dampo hili ambalo wenyeji wa maeneo husika ya Kata ya Vikindu, Mkuranga mkoa wa Pwani, wanaamini mmiliki wa Dampo ni Bakhresa Group. Matunda yanayotupwa hapa, huokotwa na...
  7. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mazingira yetu Kwa afya zetu

    Mazingira ni kitu Chochote kinacho mzunguka mwanadamu mfano mito milima na mabonde,bahari,misitu n vitu vingi sana vingi. Ila katika hayo mazingira pia yako mazingira ya kubuni n yako mazingira ya asili kabisa aliyo tupa mwenyezi Mazingira tukiyapenda yatatu tunza pia. Kwenye mazingira yetu ya...
  8. JamiiForums Tanzania Swali: NHIF Inasajili Vipi Watoto wa Shule za Serikali kwa Bima ya Toto Afya Kadi?

    Ningependa kujua kuhusu utaratibu wa NHIF kusajili watoto wa shule za serikali kwa Bima ya Toto Afya Kadi. Awali, NHIF ilikuwa inasajili watoto ambao hata siyo wanafunzi kwa bei ile ya Tsh 50,400 bila kujali anasoma au hasomi baada ya shirika lenyewe kujipa hasara kwa kuhujumu mfuko ndio wakaja...
  9. JamiiForums Tanzania Shirika Gani la Bima ya Afya Tanzania Lina Gharama Nafuu na Huduma Bora?

    Habari wanajamvi, Natumaini mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku. Nimekuja kwenu leo nikiwa na swali ambalo ningeomba msaada wenu kulijibu. Katika kutafuta bima ya afya ambayo itakuwa na gharama nafuu na huduma bora, nimepata majina ya mashirika kadhaa yanayotoa huduma za...
  10. JamiiForums Tanzania Ikitokea umekutana na mtu aliyepotea, mwenye tatizo la afya ya akili; utamsaidiaje ili kuwapata ndugu zake?

    Kuna video clip huwa zinasambazwa zenye kuonesha watu wenye matatizo ya akili ambao wamepotea au kutojielewa kwa wakati huo. Video hizo huonesha mahojiano kati ya mwenye tatizo na mchukua video. Je, ni sahihi kufanya hivyo? Je, ikitokea sasa mwenye hili tatizo akawa sawa, na kuiona video hiyo...
  11. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo katika miaka ijayo ni muhimu mifumo ya Tehama katika sekta Afya isomane kuanzia ngazi ya zahanati Hadi hospitali ya taifa

    Sekta ya Afya hapa Tanzania ni miongoni mwa sekta nyeti ambazo serekali imeweka mkazo katika kufanya maboresho ili kuweza kuboresha utoaji huduma Bora za Afya kwa watanzania. Baadhi ya mifumo ya Tehama ambayo hutumika katika sekta ya Afya ni kama vile " District health management information...
  12. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tatizo la Afya ya Akili linapaswa kuchukuliwa kwa umakini ili kuokoa maisha ya vijana

    Afya ya akili ni ule uwezo wa mtu kuweza kuendana na Hali ya maisha ya Kila siku kuanzia kufiri Hadi utendaji wake wa kazi. Inapokuwa ni tatizo la afya ya akili,hapo akili inakua imeathiriwa mfumo wake wa utendaji kazi,mfumo wa maisha na hata tabia hubadilika. Tatizo hili limekua ni mwiba kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya tunaomba Waraka Namba Moja wa Mwaka 2021 wa kutokuzuia maiti

    Sasa wananchi wamekuwa wakinyanyaswa kupewa wapendwa wao, kwa ajili ya mazishi. Tunaomba huo waraka No.1/2021 wa wizara ya Afya uwekwe hapa tuuone na tuusome na ubandikwe kwenye maeneo husika nchini.
  14. JamiiForums Tanzania Video: Sikiliza jinsi Shirika la Afya la Dunia (WHO) linavyojipanga kukabili population Afrika

    Salam wana jukwaa. Kwenye video ni Dr. Wahome kutoka Kenya mbele ya Mhe. Museven, Rais wa Uganda akimwelezea jinsi WHO inavyojipanga kupitisha sheria au protocol ambayo itaipa nguvu katika kufanya maamuzi kuhusu masuala mbalimbali ya afya. Swali la kujiuliza ni je, wataalam wetu wamejipanga vipi...
  15. JamiiForums Tanzania SoC04 Je, ikiwa taifa linachohitaji kiukweli ni kupumua? Tanzania inayopumua ipasavyo

    Mimi siyo mhubiri, ni mtafiti. Lakini naijua kanuni, na kanuni hiyo rafiki yangu, ni Neno la Mungu. Bwana MUNGU aiambia mifupa hivi; Tazama, nitatia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. (1) "Mwenyezi Mungu Amtakaye kumwongoza hukifungua kifua chake kwa kunyenyekea. Na amtakaye kumpoteza hukifanya...
  16. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vijana tujitunze afya zetu Kwa faida ya vizazi vyetu Bora

    Ndoto za kijana yeyote makini ndani ya taifa itatimia kama ana afya Bora tu na sio Hela nyingi.hela Zita tafutwa kama kijana ana nguvu na afya tele.vitu muhimu ambavyo vina tunapaswa kuvifanya Kwa kutunza vizazi vijavyo. 1.tufanye mazoezi.n vizuri miili yetu tukiipa kipaombele kwenye mazoezi...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna ubaya au uzuri gani wa kulisha mbwa nyama mbichi?

    Binafsi napenda mbwa sana. Na nimejifunza tangu zamani lazima chakula cha mbwa kipikiwe Sasa kuna clip naona mbwa wanalishwa chakula au nyama mbichi fresh tu. Je hii haina madhara kwene makuzi ya mbwa hasa wizi wa mifugo na udokozi
  18. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msigwa na Sugu wamekuwa mahasimu kitu ambacho hakipendezi kwa afya ya chama

    Mbowe, Lisu and all concerned, take care of this. Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM. Malumbano yao hayana "upendo" ila yanajenga uadui kati yao na kutengeneza mpasuko wa pande mbili. Mipasuko kama hii huwa haiishii...
  19. JamiiForums Tanzania Ufadhili wa Serikali kwenye sekta ya afya iangaliwe vizuri kuna urasimu unafanyika

    Kumekuwa na hali ya kucheleweshewa kupata hela ya utafiti kwa ambao wamebahitika kufadhiliwa na wizara ya afya kwenye kusomea ubingwa na uzamili. Hii imeripotiwa na wanafunzi wa chuo fulani haswa cha serikali kudai hela zimechelewa kutoka ya utafiti ilihali kuna wengine wanamiezi miwili...
  20. JamiiForums Tanzania Aweka rekodi baada ya kushiriki ngono na Wanaume 919 ndani ya saa 24

    Imearipotiwa kwamba Mmarekani Lisa Sparks anashikilia Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa kulala na idadi kubwa zaidi ya Wanaume ndani ya saa 24 – Wanaume 919. Alifanikiwa kupata rekodi hii lakini kwa gharama ya sehemu zake za siri. Sparks, mwigizaji wa filamu za ngono anayejulikana kwa jina la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…