afya

  1. JamiiForums Tanzania Biashara ya utumbo wa kuku Dar inahatarisha Afya za Walaji, Mamlaka chukueni hatua

    Katika Jiji la Dar es Salaam ambalo kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi wapo wakazi zaidi ya Milioni sita, shughuli mbalimbali za kibiashara zimekuwa zikifanyika kama sehemu ya Watu kujipatia kipato. Hata hivyo, miongoni mwa biashara ambazo zimekuwa zikifanyika nyingine uibua wasiwasi na...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Mhagama atembelea JKCI, asisitiza Ubora wa Huduma uendane na lugha za staha kwa wagonjwa

    Serikali kupitia Wizara ya Afya itaendelea kuhakikisha tija na ustawi wa wauguzi, madaktari na watumishi wote wa Sekta ya Afya kupata stahiki zao pamoja na kuwasimamia na kufuatilia wajibu wao katika kutekeleza majukumu yao ikiwemo kuwa na lugha zenye staha kwa wagonjwa (customer care). WAZIRI...
  3. JamiiForums Tanzania Sheria ya bima ya afya kwa wote yaanza kutumika, kipengele cha 'lazima kwa wote' chasitishwa matumizi

    Waziri wa afya, Ummy Mwalimu ametoa tangazo la kuanza kutumika sheria ya bima ya afya kwa wote Tarehe 16 Agosti, 2024. Awali bima hii ilikuwa iwe lazima kwa wote na kuleta mjadala mkubwa lakini tangazo la matumizi halijajumuisha kipengele husika.
  4. JamiiForums Tanzania Wataalam wa Afya waingia mtaani kufanya jitihada za kudhibiti magonjwa ya kuhara Mkoani Simiyu

    Timu ya Wataalamu wa Afya ngazi ya Wizara, Mkoa, Wilaya na Shirika la Afya Duniani (WHO) imeingia mtaani na kufanya zoezi la upimaji sampuli za maji katika Visima, Mabwawa na Kaya pamoja na utoaji wa Elimu Wilayani Itilima Mkoani Simiyu. Taarifa ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu imesema Elimu...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi apple huwa zinatiwa nini? Nina apple limekaa zaidi ya mwezi lakini halina hata dalili ya kuoza!

    Salam kwa jina la misosi, Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo, kiasi nna ka uvivu ka kula, naweza kununua kitu nikasema ntapika au nile napitiwa hadi nije kushtuka kimeshaharibika zamani. Sasa ili apple nilinunua mwezi wa saba kwenye tarehe kumi naa huko, uvivu wangu wa kula kama...
  6. JamiiForums Tanzania Ubora wa afya yako ya akili

    UBORA WA AFYA AKO YA AKILI. Ipo haja kubwa ya kutoa elimu zaidi kuhusu maana ya afya ya akili na jinsi ya kujitambua iwapo uko na changamoto hii, watu wengi wanahesabu afya ya akili ni ukichaa ambapo imani hii inawafanya hata wanapokuwa hawako sawa wanaona ni kawaida. Lakini kwa uhalisia...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Interview za afya na haki

    Kwanza niipongeze wizara husika Kwa hatua iliyochukuliwa ya kuwafanyisha usaili ..maana italeta haki Kwa watoto wasiokuwa na watu au connection za kuwaingiza kwenye system Yani ufaulu wako ndo utakaokusaidia
  8. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wataalamu wa Afya ya Sauti

    Habari za kazi wataalamu wa Afya. Nina tatizo la sauti yangu kutoka kwa kukwaruza. Nimetumia dawa lkn sauti yangu halisi imekataa kurudi, naelekea kumaliza mwaka Sasa. Naomba msaada kwa anaejua mahala sahihi ambapo naweza kupata matibabu.ama kama mtu anaweza kunifanyia matibabu nitashukuru...
  9. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo taasisi za afya zenye mishahara mikubwa

    1. Osha 2. NIMR 3. Ocean Road 4. NashCop 5. MOI 6. NACP 7. TMDA 8.Muhimbili 9.Benjamini Mkapa hospital 10.MSD 11.Jakaya kikwete Cardiac Institute (JKCI) 12. 13. Kama kuna zingine ongezea NB: uzi uliokuepo hakuongelea sana taasisi za Afya.Taasisi za serikali Usitoke nje ya Rada Pia soma...
  10. JamiiForums Tanzania Hospitali na vituo vya afya wakati wa Hayati Magufuli

    Wakati wa utawala wa Rais John Magufuli, serikali ilifanya juhudi kubwa za kuboresha sekta ya afya, na hizi ni baadhi ya takwimu kuhusu miundombinu ya afya iliyojengwa au kuimarishwa: 1. Hospitali za Rufaa: - Hospitali 7: Hospitali za rufaa zilijengwa katika mikoa tofauti, ikiwa ni pamoja na...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania Yaunga Mkono Mkakati wa Kikanda wa Usalama wa Afya na Dharura (2022-2030)

    TANZANIA YAUNGA MKONO MKAKATI WA KIKANDA WA USALAMA WA AFYA NA DHARURA (2022-2030) Tanzania inaunga mkono mkakati wa kikanda wa usalama wa afya na dharura kwa kipindi cha 2022–2030 kupitia hatua za utekelezaji wa miradi muhimu, kuanzisha mpango wa wafanyakazi wa afya ya jamii ulio jumuishi na...
  12. JamiiForums Tanzania Tunashukuru wanataaluma wa Afya kwa majina kuwepo kwenye usaili , mlioitwa mjiandae kwa matokeo ya usaili

    Ni ukweli kwamba watu wengi wa afya walioitwa kwenye usaili wako wameajiriwa sehemu au kujishikiza sehemu . Kuna watakao pita kwenye usaili , tatizo wale watakao shindwa uhakika wa ajira huko walikokuwepo utakuwaje ? Je waajiri wetu ni waelewa ? Tujiandae kisaikolojia
  13. JamiiForums Tanzania Ukiangalia hizi wasifu za baadhi ya nchi za Afrika upande wa Mawaziri wa Afya utagundua Tanzania tuna safari ndefu sana

    Wenzetu atleast wana heshimu professionals za watu
  14. N

    JamiiForums Tanzania Usaili kada ya Afya utaanza Septemba 2 mpaka 9, 2024

    Leo utumishi wametoa majina ya wasailiwa kada ya afya, usaili huo utaanza septemba 2 mpaka tarehe 9, katika mikoa waliombea nafasi! Niwapongeze sekretariati ya umma kwa kazi nzuri ambapo kwa sasa ni imani yangu saili zote zitafanyika kwenye mikoa ya waombaji hii itawaondolea vijana gharama na...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada kubadili kituo cha usahili kada ya Afya

    Wakuu Habari, Naombeni msaada nawezaje kubadili kituo cha kufanyia usahili. Nimepangiwa interview lakini sitoweza kufika katika kituo hicho husika nataka nibadilishiwe kituo cha kufanyia huo usahili. Sekretarieti ya ajira leo hawashiki simu kwenye namba zao. Msaada wakubwa🙏
  16. JamiiForums Tanzania Mlioomba ajira za afya tazameni profile zenu.

    Wale waliomba ajira za afya kupitia utumishi, angalia profile yako kuona kama umeitwa kwenye usaili. Nakutakia kila la kheri.
  17. B

    JamiiForums Tanzania EXIM BIMA FESTIVAL 2024: Burudani yenye Lengo la Kuboresha Huduma za Afya ya Akili

    Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano, Stanley Kafu (kati) kutoka Benki ya Exim Tanzania, akizungumza wakati wa kutangaza ujio wa tamasha la Exim Bima Festival 2024, likiwa na kaulimbiu ‘Amsha Matumaini’, ambalo litafanyika terehe 28 Septemba mwaka huu katika Viwanja vya Gymkhana jijini Dar es...
  18. JamiiForums Tanzania Jukwaa la Jamii forum doctor au Jf Afya limepotelea wapi?

    Ndugu wanaJf ni simu yangu tu au na ninyi kwenye simu zenu Jukwaa la Afya kutoonekana! Tangu Jana nalitafuta silipati. Kuna shida gani! Naomba mwenye kujua tatizo atuambie....
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Haya maandamano yanayoanza kushamiri ni dalili njema kwa afya ya nchi

    Polisi walitumia nguvu kubwa mpaka ya akiba kuzuia kongamano la vijana wa CHADEMA kule Mbeya kwa kuwatenda unyama na kuwatweza vibaya viongozi wa kitaifa wa CHADEMA. Kabla hakujapoa, Ngorongoro ikainuka, wamasai wakajaa barabarani kudai haki yao ya kutambuliwa kama raia huru wa nchi hii ambapo...
  20. JamiiForums Tanzania Kwani kuangalia Movie Na Series Ni Hatari Kwa Afya Yako

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…