afya

  1. Bima ya afya kwa wote: Laki moja na nusu inakatia bima familia ya watu watano

    TUUMEWASHA MSHUMAA Tupo hapa Mtwara kwenye Uzinduzi wa Bima ya afya kwa wote awamu ya pili Viwanja vya sabasaba Awamu ya Kwanza ilikuwa Bima ya afya kwa watu wasio kuwa na uwezo kama wazee nk. Hii awamu ya pili inahusu watu wote mimi na wewe. Uzuri ni kwamba, bima hii ya afya, ukiwa na Laki...
  2. Mtwara: Waziri wa Afya Mchengerwa anazindua Bima ya Afya kesho. UVCCM hawataki niende kumsikiliza. Wananitishia

    Wakuu, Kesho Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Bima ya Afya kwa Wote, Awamu ya Pili. Hapa nilipo nipo njiani naelekea Mtwara. Lakini nipo chonjo sana. Hawa UVCCM hawataki nihudhurie kisa niliandika habari ya wao kula Rushwa. Wanadai...
  3. A

    KERO Mtaro uliopo Arusha - Soko Kuu Barabara ya Mnazi Mmoja ni kero na hatarishi kwa afya

    Huu mtaro upo Arusha maeneo ya Soko Kuu Barabara ya Mnazi Mmoja ni kero sana na hatarishi, maji yametuama hayatembei kabisa. Hali ni mbaya sana na uongozi upo kimya paka vinyesi, maana hiyo ni chemba zinafunguliwa wakati wa usiku na mtaro umeziba maji yanajaa barabarani yenye vinyesi.
  4. A

    KERO Watumishi wa Afya - Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo, Mbeya, tunaomba timu ya DMO ivunjwe na uchunguzi ufanyike

    Watumishi wa afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo, Mbeya, tulitoa malalamiko kuhusu DMO, In-charge wa Hospitali ya Wilaya, Katibu wa Afya wa Wilaya na timu yake ya CHMT, tukidai kuwepo kwa matumizi mabaya ya mapato ya hospitali kwa starehe, ikiwemo safari za Matema Beach, wakati...
  5. Kufanya mapenzi mara kwa mara kwa usahihi na kwa ukamilifu kunaimarisha afya ya moyo, ngozi na akili.

    Na zaidi sana, kufanya mapenzi mara kwa mara kwa usahihi na kikamilifu, huchochea amani moyoni na utulivu wa akilini kitu ambacho hupelekea ufanisi mkubwa katika kazi na majukumu mbalimbali ya kujitafutia kipato, kwa kua moyo na ubongo vina afya iliyoimarishwa baada ya kufanya mapenzi kwa...
  6. A

    KERO Uzembe wa Wataalamu wa Afya na Mamlaka husika unavyoteketeza raia

    Nilitembelea hospitali kubwa za nchi hii 3, ni katika utaratibu wangu wa sadaka kama tunavoelekezwa katika biblia kwamba dini njema ni ile inayojali wajane, wagonjwa na maskini.... Sasa, sababu ya kuja hapa ni mambo ya hatari ambayo nimekua nikiyaona...aisee ugonjwa wa kansa unakuja kwa kasi...
  7. Wilaya ya Tanganyika Yavuna Matunda Ya Biashara Ya Kaboni, Sh700 milioni Zajenga kituo cha Afya Katuma

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akimkabidhi chandarua Mwananchi wa Kata ya Katuma Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi baada ya kukagua mradi wa Kituo cha afya kilichojengwa kutokana na fedha za Biashara ya Kaboni...
  8. L

    Rais Samia Ni Buheri wa Afya na Anaendelea Vizuri Kabisaaa na Anawatakia Kila La Heri Kidato cha Nne Katika Mitihani Yao .Huu Ndiyo Ujumbe Wake .

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ni Buheri wa Afya , anaendelea vizuri kabisa ,Yupo Salama kabisa , ni Mzima wa Afya,Yupo vyema kiafya na kimwili na anaendelea kutoa maelekezo na kutekeleza vyema...
  9. Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

    Wanabodi Saa hizi ni usiku mkubwa, wengine wanaita ni usiku wa manane, nilikuwa nasoma bandiko hili humu JF: PNA: Makamo wa Rais Dr Nchimbi, atamsaidia sana Rais Samia na Taifa, Ni Mkweli Anayeweza Kumweleza Rais Ukweli!. Ili Kumsaidia Aomba Rais Aombewe!, mara ghafla nikaisikia ile Sauti, The...
  10. M

    Hope T. Godfrey ni Nani? Mwanamke Kijana Mtanzania Anayeunganisha Ujasiriamali, Afya ya Jamii na Athari Chanya kwa Jamii

    Kuna vijana ambao hawasubiri kila kitu kiwe tayari ndipo waanze kufikiria namna ya kuleta mabadiliko. Badala yake, huanza na wazo, hutafuta fursa za kujifunza, hujenga mahusiano na kujaribu kubadilisha maono yao kuwa kitu chenye manufaa kwa jamii. Miongoni mwa vijana wanaovutia kuangaliwa...
  11. Waziri wa Afya Mohamed Mchengerwa anatumia ID ipi humu?

    Habari zenu Wakubwa Naomba kuulizia ID anayotumia Waziri wetu wa afya humu Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa nina jambo nataka kumshirikisha Nilimsikia akidai kuna alimjibu mtu humu JF kuhusu kero zinazotokea kwenye sekta ya afya na huwa anapita sana humu kujibu jibu maoni na maswali ya watu...
  12. Bima ya afya kwa wote iliishia wapi?

    Jan 26, 2026 Waziri Mchengerwa alitangaza kuanza rasmi kwa mchakato wa upatikanaji wa Bima ya Afya kwa wote nchi nzima kwa Awamu ya kwanza ,Mchakato ulilenga kaya 276,004 za wazee, watoto, wajawazito na wenye ulemavu ambapo gharama zote Serikali ndio italipa. Bima hiyo ilitarajiwa kugharamia...
  13. Mr T Touch ana Chuki au ni matatizo ya Afya ya akili?

    Binafsi namkubali sana Mr T Touch but jamaa amekuwa wa kiwaki sana siku hizi, muda wote anajaribu kuonesha ukubwa wake kwa lazima and sometimes kwa kutumia mbinu ya kumshusha mwengine aonékane si lolote, hii haipo sawa. Jamaa anahitaji cancelling
  14. SI KWELI Muombeeni Samia hali yake ya afya ni mbaya sana

  15. T

    KUNA HUU WIZI UNAFANYWA KUPITIA TAASISI ZA AFYA ZA UMMA

    Habari wadau, Uzi wa leo tunashona sekta ya afya hapa nchini malawi. Wengi mnatambua kuwa kuna mfumo huu wa taasisi za afya za malawi. Ambapo unapofika hospital inaenda kwa mlolongo ufuatao; 1. Unasajiliwa ambapo baadhi ya hospitali za serikali ya malawi hukichaji mpaka zaidi ya 10,000 2...
  16. waziri wa mambo ya ndani kuingilia wizara ya michezo na michezo kuingilia wizara ya afya na uchumi.

    Kwa sasa tanzania na shindwa kuelewa ni nani haramu ni nani raisi ni waziri. Leo mkurugenzi kawa mkuu wa kituo cha polisi majukumu yake.
  17. M

    Vyakula vya wanga vinawafaa wanaofanya kazi nzito, Kama muda mwingi unashinda umekaa au umepumzika, punguza sasa kulinda afya yako!

    Na hili ni bango maalum hasa kwa kizazi cha sasa, ambapo hata kazi za kujiajiri watu wanazifanya wakiwa wamekaa ndani tu, wakitumia simu au kompyuta zao. Sio kwamba Usile, Angalia Kazi Zako! Watu wengi bado wanadhani kisukari kinasababishwa tu na kunywa soda au kula keki. Ukweli ni kwamba...
  18. Afya ya akili ni kitu kizito sana. Huyu dogo aliruka na kumfata tiger ambapo ndio ilikuwa mwisho wa maisha yake. Bongo tungesema ametumiwa pepo.

    Reports zinaonesha kijana alikuwa na changamoto katika afya ya akili na alikuwa katika dosage ya vidonge ya kumsaidia kutuliza akili yake. Kwa bahati mbaya huku kwetu mtu akianza kuonesha dalili za kuchanganyikiwa tunamtenga, alafu ikizidi eti tunampeleka kwa waganga, at the end anabaki kuwa...
  19. Naombeni msaada kwenye jambo langu na Bima ya afya

    Salaam wakuu. Nilifunga ndoa ya kanisani mwaka 2022,baadae nikawa na migogoro na mke wangu jambo liliopelekea kutengana. Bila kuvunja ndoa nikapata mwanamke mwingne nikazaa nae mtoto mwaka2023 na nikafunga nae ndoa ya serikali mwaka 2024. Wakati wa kusajili ndoa kwa mkuu wa wilaya niliulizwa...
  20. Heri ya Siku ya Afya ya Akili Duniani!

    Kwa nje unaweza ukawa unaonekana mwenye furaha na mafanikio, lakini kwa ndani unapambana na mzigo wa sonoma(depression) na wasiwasi uliopitiliza (anxiety). Kila siku unaweza ukawa unaamka na uchochoro wa msongo wa mawazo unaotokana na changamoto za maisha na hofu ya kuonekana "dhaifu" kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…