afya ya akili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nehemia Kilave

    Mjadalala:Athari za uonevu kwenye afya ya akili mashuleni

    Shiriki mjadala huu live kuanzia Saa mbili Usiku mpaka saa Tatu , ufahamu athari anazoweza pata mtoto kiakili kufuatia uonevu anaotokea mashuleni .
  2. Binti wa zamani

    Sehemu salama ya mwanaume ni wapi?

    Afya ya akili kwa wanaume imekua tatizo linalokua kwa kasi sana na kusababisha matatizo na majanga ambayo tumekua tukiyasikia kila siku. Naomba kuuliza wanaume mliopo JF: Huwa unazungumza na nani kuhusu matatizo au changamoto binafsi ulizonazo? Je ukikwama kikazi, kibiashara, kimahusiano...
  3. Eli Cohen

    Vijana tunateswa na ukata mkali na mapenzi ya kitapeli. Tumevurugwa!

    State of mind na afya ya akili ya vijana wa kibongo utaijulia humu JF. At some point kijana anaweza akakakurushia dongo kali humu, yani 24hrs yeye amevurugwa. Frustration imekuwa kali, vijana wanachomiliki ni akaunti za mitandao ya kijamii na mia 500 za kununulia bahasha za kuzunguka na CV zao...
  4. F

    Tendo la ndoa ni dawa. Kukaa muda mrefu bila kufanya sex kunaharibu afya ya akili.

  5. AmKATRINA

    Naona maisha yangu yako ukingoni, Sina Pesa wala kazi

    Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri. Sina kazi, Sina pesa, Sina anipendaye. Sasa Duniani nafanya nini? Leo tarehe 10/02/2025 Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki. Napambana naona nimefika tamati. Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu. Nawapenda wote wana Jamii Forums ❤️❤️❤️ Wenu...
  6. Hance Mtanashati

    Afya ya akili ya "Diva" wa Wasafi ipo mashakani

    Hivi wakuu afya ya akili ya diva mnaiona ipo sawa kweli? Ana utoto mwingi sana ,juzi kati watu wamemzodoa aliyekuwa mume wake kapata chombo kipya na ni mrembo haswa, eti Diva naye kaona wivu aka download picha ya mkaka mtanashati akaposti kwamba ndo mpenzi wake kwa sasa hivyo hatishiki wala...
  7. Rorscharch

    Kataa ndoa ni zao la mfumuko wa gharama za maisha na wahanga ya wanawake wasiojielewa

    Si mara kwa mara huwa napitia Jamii Forums, lakini mara nilipokuja kuvutiwa na mijadala kwenye jukwaa hili, nilikutana na kundi la vijana wanaojiita “Kataa Ndoa.” Vijana hawa wanazua mjadala mkubwa, na maoni juu yao yanatofautiana sana – kuna wale wanaowaona kama wanaokwepa majukumu, wengine...
  8. P

    Kila hoja inapojibiwa na “Samia mitano tena”: kuna tatizo la afya ya akili

    Naona sasa hivi watu wako bizee kumpigia chapuo mwenyekiti wa CCM ili achaguliwe na wananchi ifikapo October mwaka huu. Hali hii inaonekana kwenye comments za vijana wa kijani ambao kila hoja utakayoleta hapa JF wao wanacomment tu Samia mitano tena. Umaskini umechangia udumavu wa akili
  9. Roving Journalist

    Zaituni Shabani Salum wa ZAMHSO: Elimu ya Afya ya Akili ni nguzo muhimu kwa kizazi chetu

    Katika kuendeleza mradi wa kutoa Elimu ya Afya ya Akili Shuleni Zanzibar, Taasisi ya Zanzibar Mental Health Support Organization (ZAMHSO) inaendelea kufanya juhudi kuhakikisha inafikia shule zaidi ya 50 Kisiwani Unguja kama ilivyo sema hapo awali pia kufikia zaidi ya Wanafunzi 5,000. Wahusika...
  10. bulajunior

    Msongo wa mawazo kwa wanawake upo hata kwa walimu

    Nimekuwa nikijiuliza muda mwingi mbona kama ni ajira kuna wengine wameajiriwa, wanawake wanahamishia stress zao kwenye kazi zao. Leo nimeshuhudia walimu wa kike wanamshambulia binti (mwanafunzi) kwa maneno makali tena wote walikuwa kama wanne ivi akijibu huku anaulizwa huku au anaulizwa maswali...
  11. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Bunge yaitaka Serikali kuimarisha huduma za Afya ya Akili kwenye vituo vya Afya Nchini

    Kamati ya kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Elibarick Kingu imeitaka Serikali kupitia Wizara ya Afya kuimarisha huduma za afya ya akili na kuhakikisha vituo vyote vya kutolea huduma za afya nchini vinawezeshwa kutoa huduma za msingi za afya ya akili...
  12. Slim5

    Tuishi hivi kujiepusha na changamoto za akili

    Usijishughulishe kumtafuta Asiekutafuta Punguza ama acha kabisa kuomba! Kufa Kijerumani. Zungumza kilicho muhimu tu ili kujiepusha na yanaoepukika! Atakethubutu kukuonyesha dharau, confront Him/Her immediately. Usile Chakula cha Mtu zaidi ya aLIvyokula cha Kwako! Punguza vile unawatembelea Watu...
  13. Now and then

    Mrejesho changamoto ya Mke wangu ambaye alionekana kuwa na shida ya ugonjwa wa akili yeye na binti yetu mkubwa

    Wakuu habari . Nilileta Uzi kuomba ushauri na namna sahihi ya kumsaidia mke Wangu ambaye alionekana kuwa na shida ya Akili yeye Pamoja na binti yetu. Watu walishauri nimpeleke kwenye maombi. Nilifanikiwa kutafuta watumishi wa kiroho na kumuombea sana. Kiukweli hakuna nafuu iliyopatikana mpaka...
  14. JEJUTz

    Bila Cheti afya ya akili ndoa isifungwe!

    Kabla ya ndoa kufungwa,watarajiwa hulazimika kufanya vipimo vya afya zao hususan ukimwi.Hii imekuwa ni kanuni na imezoeleka hivyo. Kutokana na yanaondelea huko ndoani watu kufanyiani mambo ya ajabu,kujeruhiana,kudhalilishana na hata wengine kutoana uhai. Nashauri mamlaka husika ziweke sheria...
  15. Mshana Jr

    Upweke wa kutisha zaidi si ule unaotokana na kuwa peke yako, bali ni ule unaotokana na kutoeleweka

    Upweke wa kutisha zaidi si ule unaotokana na kuwa peke yako, bali ni ule unaotokana na kutoeleweka; upweke wa kusimama katika chumba chenye watu wengi, ukizungukwa na watu wasiokuona, wasiokusikia, wasiojua kiini cha kweli cha wewe ni nani. Na katika upweke huo, unahisi kana kwamba unafifia...
  16. Roving Journalist

    ZAMHSO: Mradi wa Afya ya Akili Shuleni utaacha athari chanya na kuleta mabadiliko ya kudumu

    Januari 28, 2025 imekuwa ni siku ya pili ya utekelezaji wa mradi wetu wa Afya ya Akili mashuleni, mradi ambao unalenga kuhamasisha na kutoa elimu kuhusu afya ya akili kwa wanafunzi na walimu hapa Zanzibar. Lengo kuu la mradi huu ni kuhakikisha tunajenga kizazi chenye ufahamu wa kutosha kuhusu...
  17. Manyanza

    Upweke : Fahamu viashiria vya upweke,vyanzo vyake na madhara yake & njia 4 za ufumbuzi

    Kila mmoja huwa anajisikia upweke baadhi ya nyakati.Upweke haubagui,hauchagui unatokea kwa watu wote duniani matajiri kwa maskini,wasomi na wasiofika shule,wazee kwa vijana,waliopo kwenye mahusiano kwa ambao wapo "single" ,upweke unatokea kwa wagonjwa na wenye afya. Utajuaje kama wewe ni mpweke...
  18. The Watchman

    Viashiria vya kumtambua mtu mwenye mahitaji ya kisaikolojia na kijamii

    1. Kushindwa kujidhibiti na kuwajibika. 2. Kukojoa kitandani kwa Watoto katika umri makubwa na Hata watu wazima. 3. Kukosa utulivu pamoja na kulipa kisasi. 4. Kukata Tamaa Baada ya kugunduliwa kuwa Una ugonjwa wa muda mrefu kama vile maambukizi ya virusi vya UKIMWI. 5. Kutokukubali ukweli wa...
  19. Roving Journalist

    Zanzibar Mental Health Support Organization imeanza kutekeleza Rasmi Mradi wa Elimu ya Afya ya Akili Shuleni

    Zanzibar Mental Health Support Organization imeanza kutekeleza Rasmi Mradi wa Elimu ya Afya ya Akili Mashuleni Unguja, Zanzibar – 23 Januari 2025 Zanzibar Mental Health Support Organization (ZAMHSO) kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na Wizara ya Afya, imeanza kutekeleza rasmi mradi wa kutoa...
  20. Now and then

    Familia yangu Mke na Mtoto wangu Mkubwa wamepata tatizo la Akili naomba ushauri wakuu

    Habari wanaJF . Kiufupi Mimi Baba wa watoto watatu ambao wote ni wa kike. Naishi nao pamoja na Mama yao . Tumefanikiwa kuishi miaka 12 mpaka sasa katika ndoa yetu. Changamoto kubwa ambayo ninaipitia ni hii hapa. Mimi kazi yangu kubwa ambayo huwa nafanya ni kuuza mazao , kuku wa kienyeji...
Back
Top Bottom