Wanajukwaa sina mengi ya kueleza, lakini itoshe kusema hawa watu wanaosali makanisa ya kilokole kwa asilimia kubwa wanamatatizo makubwa ya afya ya akili!
Mama yangu ni mlokole, Imagine back then 1998 aliachana na baba sababu baba kakataa kuokoka, baba kafanyiwa matukio mpaka akakimbia familia...
TOFAUTI KATI YA KUNUNUA MALI NA KUNUNUA MADENI
Watu wengi huamini kwamba kila wanachonunua ni mali, lakini ukweli ni kwamba si kila kitu unachomiliki ni mali.
Baadhi ya vitu huingiza fedha mfukoni mwako, na vingine hutoa fedha mfukoni mwako kila siku.
Mali ni kitu kinachokuongezea kipato au...
Nawaza makebo makubwa muda wote. Naanza kujihisi siko sawa. Je, naweza pata msaada gani kisaikolojia?
Fikra zangu zimegeuka porno, pesa zangu zinaishia kwa milupo.
Kuna watu humu JF wana matatizo ya afya ya akili kabisa unakuta mtu anafurahia au kulinganisha Uhai wa binadamu na vitu unakuta mtu anafurahia mauaji, watu kutekwa kupotezwa huyu hawezi kua binadamu wa kawaida lazima ana matatizo ya Afya ya akili...
Ushauri Dkt. Garvin Kweka kwa wazazi ili kuwasaidia watoto kukabiliana na msongo wa mawazo na changamoto za afya ya akili katika umri mdogo.
Dkt. Kweka anashauri wazazi kuwafundishwa watoto kuepuka matumizi ya gadgets kwa muda mrefu ili wapate skills nyingine. Anasema mtoto anaweza kupata...
Haya ni baadhi ya madini ya Dkt. Garvin Kweka, anayesisitiza umuhimu wa kuwa na social skills ili kusaidia kukabiliana na msongo wa mawazo na changamoto za afya ya akili.
Anasema si vyema kukaa na maumivu au uchungu kwa muda mrefu, kwani huathiri afya ya mtu. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya...
Israel imehusika kwa kiwango kikubwa katika teknolojia ya chips (ubongo wa simu) nyingi zilizotumika kwenye iPhone kwa miaka mingi, hasa kupitia vituo vya utafiti vya Apple Inc. nchini Israel
Hata iphone 17e chip yake kwa kiasi kikubwa sana imekuwa designed Israel, Mitandaoni imekuwa gumzo...
Hili limenisikitisha sana, nimeona video ya Mbunge mwenye umri wa miaka 87, Naibu Waziri Mkuu wa Kwanza, Jenerali Moses Ali, aliyetetea kiti chake cha Ubunge wa Jimbo la Adjumani West baada ya kushinda uchaguzi wa mwaka 2026 akihangaika sana kuwasiliana na watu, lakini pia akionekana kuwa mwenye...
Kilio Kisichoonekana Afya ya Akili ya Vijana wa Kiume
Katika dunia ya leo, kuna kilio kikubwa kinachotokea kila siku… lakini hakuna anayekisikia Ni kilio cha vijana wa kiume.
Kijana wa kiume amefundishwa tangu utotoni kuwa mwanaume halisi halii, hasemi shida zake, haonyeshi udhaifu, na...
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange, ametoa agizo kuwa waajiriwa wote wapya wa Serikali lazima wafanye kazi kituo kimoja kwa muda usiopungua miaka mitatu (3) kabla ya kuruhusiwa kuomba uhamisho, isipokuwa kwa changamoto za kiafya zilizothibitishwa na jopo la...
Siku ya Bipolar Duniani huadhimishwa kila mwaka mnamo Machi 30, tarehe ambayo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mchoraji mashuhuri Vincent van Gogh, ambaye aligundulika baada ya kifo chake kuwa aliishi na ugonjwa huo.
Maadhimisho haya yanatumika kama jukwaa la kimataifa la kuongeza uelewa, kuondoa...
Mtu akipelekwa hospitali ya Milembe kwa mara ya kwanza, hasa akiwa na dalili za kuchanganyikiwa, hupelekwa kwenye chumba maalum. Ndani ya hicho chumba hakuna vitu vingi Ni ukimya tu na ukuta mmoja wenye picha hii. 👇
Picha yenyewe inaonekana ya ajabu kidogo… kama kitu kilichochorwa kwa namna...
Familia moja huko Tongaren Constituency, Bungoma County iko kwa maombolezo baada ya kijana wa miaka 24 kudaiwa kuuawa na ndugu yake wa miaka 21 following a dispute over gumboots.
The deceased, Joshua Wafula Furaha, alichomwa kisu mara kadhaa kichwani, shingoni na kifuani, akapoteza damu nyingi...
Mwaka 1973, utafiti mkubwa ulionyesha kuwa madaktari wa magonjwa ya akili hawakuweza kutofautisha kwa uhakika kati ya mwenye akili timamu na mwenye tatizo la afya ya akili, jambo ambalo lililosababisha mageuzi makubwa katika huduma za afya ya akili.
Mwaka 1973, mwanasaikolojia David Rosenhan...
Ni kipi kilichowahi kuridhisha nafsi ya mwanadamu?
Ni kipi kilichowahi ponya moyo wa mwanadamu for good?
HAKUNA,
Ila ni kipi kinakupa faraja ya kuendelea ku-survive, ni pesa.
Manung'uniko na msongo ni sehemu ya maisha ila kwa mwenye pesa inakuja bila mwendelezo katika episodes tofauti...
Huwa simuelewi mwigulu. Nikimuelewa huwa sijui kama anajielewa au kuelewa asemacho.
Sijui kama wenzangu huwa mnamuelewa.
Anaongea kana kwamba mdomo na ubongo havina mawasiliano.
Wakati mwingine inakuwa vigumu kumtofautisha na hamnazoo aongeapo.
Anaongea sana kuliko bosi wake.
Anaongea kama...
Kama Kiongozi ni Mgonjwa wa Afya ya Akili, Nini kinapaswa kufanyika? Madaktari wa Afya ya akili na wataalam wa saikolojia mtusaidie! Nini kinapaswa kufanyika ili kuepusha madhara zaidi? Kama kiongozi ni psychopath, sadist, nini kinapaswa kufanyika? Mtu akishakuwa Psychopath/sadist anapenda...
“ Kuna watu wanajiona bila wao baadhi ya Mambo ndani ya Simba hayawezi kwenda nadhani wanatatizo la afya ya akili . Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba Sc Crescentius Mgori, akizungumza kupitia Crown Fm Novemba 27,2025.
Inasikitisha sana kuona watu waliosoma elimu ya juu ni kama wamechanganyikiwa na kuwa na msongo wa mawazo hali inayowafanya kuwa na hasira muda wote. Kuna tatizo gani huko Marekani?
Kuna ndugu yetu alienda kama mwanamichezo mwaka 1990 ila kila akijaga bongo likizo mwonekano wake ni kama kibaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.