afrika

  1. S

    JamiiForums Tanzania Namuona Paul Kagame akiwa kama Putin hapa Afrika Mashariki

    Siku akikiamsha hakuna nchi itatia maguu kumzuia. Atateka sehemu yoyote ya nchi yoyote aitakayo hapa East Afrika. Nchi yake iko vizuri kijeshi na muda mwingi wanajeshi wa Rwanda wameutumia vitani. Na nadhani hata nchi zote za East Africa ziunajua umahiri wa kijeshi wa Rwanda ndiyo maana Paul...
  2. Logikos

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuifanya Kampuni ya Tanesco kuwa Kampuni Bora na ya Kujivunia Tanzania na Afrika kwa Ujumla

    Tanzania tumebarikiwa vyanzo vingi vya nishati, Na Tanesco ni kati ya Makampuni mama ya Tanzania ambayo yanaweza yakaitangaza nchi yetu Africa na Pote Duniani (Yaani mfano wa kuigwa) Sio tu kutupatia nishati hapa bali tuweze kuwapa hata majirani zetu na kutuingizia fedha badala ya sasa kutumia...
  3. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Vilabu 49 vyenye mafanikio Afrika 2022, CECAFA zipo mbili tu

    Al Ahly Egypt (Makombe 24) Vikombe vya klabu bingwa Africa 10 Vikombe vya klabu bingwa wanawake 4 Kombe la shirikisho 1 Super cup 8 Afro-asian cup 1 Zamalek Egypt (Makombe 13) Vikombe vya klabu bingwa Africa 5 Vikombe vya klabu bingwa wanawake 1 Kombe la shirikisho 1 Super cup 4 Afro-asian...
  4. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Afrika tunahitaji chakula kuliko Demokrasia

    Nikiangalia ndugu zangu wakiomba omba kwa matajiri wa Kihindi. Nachelea kusema majority hatuhitaji demokrasia Bali Chakula tushibe Kwanza. Haya ya kupiga Kura sijui tume huru ya uchaguzi yanataka watu washibe kwanza. Kurasini, yupo tajiri anatoa msosi kila jioni (wali-maharage) hiyo nyomi...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu vya Kilimo Afrika Mashariki ni wakati wa kutolala usingizi kwa kutupa tafiti za Mbegu za GMO

    Tanzania na Kenya zimefanikiwa kuwa na Vyuo vikuu bora katika maswala ya kilimo Afrika. 1. Kenya- Egerton University; Jomo Kenyata University of Agriculture & Technology 2. Tanzania- Sokoine University of Agriculture Sasa baada ya Kenya kuruhusu matumizi ya mbegu za GMO, wasomi kutoka Vyuo...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais wa Afrika ya Kati amfuta kazi Jaji Mkuu aliyekataa kubadili Katiba kuruhusu agombee muhula wa 3

    Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati amemfuta kazi Jaji Mkuu wa Mahakama ya Katiba, Danielle Darlan, na kumuwekea "kizuizi cha kudumu". Agizo la Faustin Archange Touadera linakuja baada ya jaji huyo mwenye umri wa miaka 70 mwezi uliopita kutupilia mbali ombi la chama tawala la kufanyia marekebisho...
  7. Wand

    JamiiForums Tanzania KWELI Ubalozi wa China wakanusha kufungua vituo vya Polisi Afrika ikiwemo Tanzania

    Madai Shirika la utangazaji la BBC liliripoti kuwa nchi ya China ina mpango wa kufungua vituo vya polisi nchini Nigeria, Lesotho na Tanzania ili kudhibiti vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na raia wake wanaoishi katika nchi hizo tatu za Afrika, tovuti inayomilikiwa na mtu binafsi ya Nigeria ya...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania UPDATE: GAME Supermarket kufunga rasmi biashara zake Tanzania

    Kampuni ya Massmart kutoka Afrika Kusini inayomiliki maduka ya Game imesema Desemba 25, 2022 ni mwisho wa maduka yake kutoa huduma Tanzania. Massmart imefikia hatua hiyo ikiwa ni miezi 12 ya kujaribu kuuza maduka hayo nchini Nigeria, Ghana, Tanzania, Kenya na Uganda kwa wawekezaji wapya wa...
  9. Richard

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Waziri mwingine mwenye asili ya Afrika ajiuzulu huku Serikali ikionesha dalili za kuelekea kuanguka

    Suella Braveman ambae alikuwa akiongoza wizara ya mambo ya ndani amejiuzulu leo jioni baada ya kukiuka kanuni za usalama wa habari mitandaoni kwa kutumia anuani binafsi ya barua pepe badala ya anuani maalum ya serikali. Waziri huyo anadaiwa kutumia anuani binafsi kutuma taarifa nyeti katika...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania China kufungua vituo vya Polisi Afrika ikiwemo Tanzania. Ubalozi wa China wakanusha

    BBC. China inadaiwa kufungua vituo vya polisi nchini Nigeria, Lesotho na Tanzania ili kudhibiti vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na raia wake wanaoishi katika nchi hizo tatu za Afrika, tovuti inayomilikiwa na mtu binafsi ya Nigeria ya Vanguard imeripoti. Wakiwanukuu watetezi wa Usalama...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hawa Mabeberu tunawasingizia tu. Marais wa Afrika wengi hawana akili. Msome alichofanya Tsishekedi wa DRC ni aibu

    Huwa waafrika wengi ujinga na upuuzi wetu tunaufichia kwa Kuwalaumu Wazungu. Rais na akili zako unamchagua mtu awe Mkuu Jeshini ameshafariki Miaka 11 ago. Wewe una akili kweli? Utasema walikuingiza chaka. Bado huna akili. Kwa nafasi nyeti kama hiyo.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kama mshabiki wa Simba ni timu gani ungependa Simba ikutane nazo katika makundi ya klabu bingwa Afrika?

    Binafsi napenda tupangiwe kundi moja na Wydad Ac Al hilal Coton sport de Garoua Je wewe ungependa tukutane na timu gani?
  13. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa CDC Afrika abaguliwa na wazungu pamoja na kujifanya anawapenda sana

    Ni Dk Ogwell. Huyo mwamba huwa anajifanya mpenda demokrasia na huwahusudu sana wazungu na kuwaponda Viongozi wa ki Afrika. Sasa juzi Wajerumani wamemuonyesha yeye siyo mwenzao pamoja na kuwa na Visa na matokeo yake ameishia kujibaraguza kuisifia Afrika kwa utu wake.
  14. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Somalia kuwa mwanachama wa Afrika Mashariki

    Somalia iliwasilisha ombi la kuwa mwanachama wa Afrika Mashariki katika kikao cha wakuu wa nchi walipokaa kumuidhinisha Congo D.R kuwa mwanachama kamili wa Jumuiya hiyo. Stay tuned.
  15. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zajenga kielelezo cha ushirikiano wa Kusini na Kusini

    Likiwa kama bara lenye idadi kubwa ya nchi zinazoendelea, Afrika inaweza kusemwa kuwa "chanzo cha msingi" wa diplomasia ya China. Ikiwa ni nchi kubwa zaidi inayoendelea na moja ya nchi za Kusini, China imefanya juhudi za kuimarisha ushirikiano wa kirafiki kati ya Kusini na Kusini na nchi za...
  16. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zimekuwa jumuiya yenye mustakabali wa pamoja

    Nusu karne iliyopita, Wachina wapatao elfu 50 wake kwa waume walikwenda Afrika wakiwa wamejawa na moyo wa urafiki na kufanya kazi bega kwa bega na watu wa Tanzania na Zambia kujenga Reli ya Tanzania-Zambia (TAZARA). Zaidi ya Wachina 60 walipoteza maisha yao kwa kazi hii. Katika ziara yake ya...
  17. L

    JamiiForums Tanzania "Udhati, Nia njema, Upendo, Matokeo Halisi", kama matanga ya kusukuma "Maendeleo" ya China na Afrika

    Mwezi Machi mwaka 2013, rais Xi Jinping alifanya ziara yake ya kwanza barani Afrika baada tu ya kuingia madaraka kama Rais wa China. Akiwa nchini Tanzania, alitoa hotuba yenye kichwa "Daima Tuwe Marafiki wa Kutegemewa na Washirika wa Dhati" wakati alipokutana na wenyeji wake katika Kituo cha...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kufeli uwakili kilio Afrika Mashariki

    Si Tanzania pekee Mjadala kuhusu mitihani hiyo na mfumo wake umeibua taarifa mpya kutoka nje ya nchi, zikibainisha kuwa kilio hicho hakipo tu hapa nchini. Taarifa ambazo Mwananchi imezipata, zinaonyesha janga kama hilo limeikumba sekta ya sheria Zambia katika mtihani wa uwakili mwaka jana...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Leo ni Kumbukizi ya Nguli wa Muziki Congo DR na Afrika Franco A.K.A Le Grand Mitre

    Franco Luambo Makiadi A.K.A Le Grand Mitre (Mwalimu Mkuu) atakumbukwa kwa mengi ila makubwa ni haya yafuatayo; 1. Utunzi makini. 2. Upangiliaji wa nyimbo. 3. Upigaji bora wa solo gitaa. 4. Uibuaji wa vipaji vya muziki. 5. Nidhamu kwa wanamuziki. 6. Sebene la muda mrefu. 7. Kuchomekea majina...
  20. N

    JamiiForums Tanzania IFFHS: Simba Queens ya Tisa kwa Ubora Afrika

    HONGERENI SANA SIMBA QUEENS kafanyeni kweli huko Moroko, pandisheni points hizo mtaingia top 5 kwa hakika.
Back
Top Bottom