afrika

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ni lazima Afrika tuondoe mfumo wa elimu ya kiloni!!

    Hili ndilo janga kubwa kwani tumelishwa na kujifunza elimu ya kikoloni hivyo tunahitaji kufanya mapinduzi ya kielimu ili kusoma vinavyotuhusu tu na vya kwetu kwa wingi zaidi.
  2. JamiiForums Tanzania Innovation bora inayotamba kwa sasa Afrika

    Wakati huko kwa wengine duniani wanatamba na AI,EVs,Solar,Nuclear......... Sisi Afrika tuna tamba na innovation yetu inayo sumbua kwa sasa katika masoko mbalimbali ya bidhaa.
  3. JamiiForums Tanzania DC Haniu afungua Mkutano wa Kimataifa wa Chama cha Wataalamu wa OPTOMETRIA TANZANIA(TOA) na Baraza la Optometria Afrika (AFCO)

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amewaomba Madaktari(Wataalamu) wa macho Kuendelea kufanya Utafiti wa kina juu ya chanzo cha matatizo ya uoni hafifu na kubaini tatizo na njia za kutibu ili kuondokana na Ugonjwa huo ambao unawashambulia kwa Kasi Wananchi wa Tanzania na Afrika kwa Ujumla...
  4. JamiiForums Tanzania Mbu wamekuwa “Vikosi Maalum” katika Ushirikiano wa China na Afrika wa kupambana na Malaria

    Hivi karibuni, ili kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Chikungunya, mkoa wa Guangdong, China uliachilia mamilioni ya mbu maalumu, ambao wanaweza kula mbu wanaoambukiza virusi hivyo. Utafiti wa teknolojia ya kiubunifu kuhusu mbu nchini China umeanzisha njia mpya za kuzuia magonjwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ukeketaji unaendelea kutekelezwa hasa katika nchi za Afrika kama vile Gambia

    Kuna uhusiano gani Kati ya mambo ya Imani na Ukeketaji kwa maana Ukeketaji umepigwa marufuku katika nchi zaidi ya 70 duniani kote lakini unaendelea kutekelezwa hasa katika nchi za Afrika, kama vile Gambia
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ifikie wakati kudanganya madhabauni iwe kosa kisheria ndani ya Afrika

    Waafrika wanaangamia kwa kukosa wa kuwasimamia. Yaani mtu anatoka huko kijijini, anafika mjini masikini, ghafla tu anaweza kutenda miujiza na kuongea na Mungu. Je, huko kijijini alishindwa nini? Serikali zinawaangalia tu masikini wanaibiwa na kutapeliwa kuwa wanaponywa na kutajirishwa. Kwani...
  7. JamiiForums Tanzania Droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika 2025/2026 kufanyika leo mchana nchini Tanzania

    Majira ya Saa Saba mchana wa leo, itafanyika droo ya ligi ya mabingwa Afrika pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika kwa msimu wa 2025/2026 kwa hatua ya awali. Droo hiyo itafanyika nchini Tanzania katika studio za AzamTv. Wawakilishi wa Tanzania kwa Ligi ya Mabingwa ni Simba na Yanga huku upande...
  8. B

    JamiiForums Tanzania CAF RELEASES 2025 CLUB RANKINGS: Simba yaongoza Afrika mashariki na kati yashika nafasi ya 5 Yanga nafasi ya 12

    Katika viwango vipya vya Shirikisho la mpira Afrika CAF 2025, simba sc imeibuka kinara wa afrika mashariki na kati huku ikishika nafasi ya 5 barani afrika, wakati yanga sc ikishika nafasi ya 12 kwenye orodha hiyo ya vilabu bora.
  9. JamiiForums Tanzania Je, Nelson Mandela ni kweli alikua shujaa wa afrika au historia yake kuna namna imechezeshwa?

    Kimsingi huwa nashindwa kuelewa kivipi msimamo wa Nelson Mandela baada ya kutoka gerezani ulibadilika?. Wengine usema Mandela aliyeingia gerezani na Mandela aliyetoka gerezani ni wanaume wawili tofauti. Baada ya kusoma historia yake unaweza kuona Mandela aliyefungwa jela alikua ni wamoto sana...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Yas kutoa huduma kituo cha Biashara, Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC)

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Yas, Pierre Canton Bacara (katikati), akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (kulia), wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC), iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar...
  11. JamiiForums Tanzania Operesheni Dudula huko Afrika Kusini, Watanzania kaeni kwa tahadhari

    Historia: Operesheni Dudula ni harakati iliyoanza kama kikundi cha kijamii kilichoanzishwa Soweto, Johannesburg na kisha kujigeuza kuwa. Jina "Dudula" linamaanisha "kusukuma nje" au "kugonga chini" kwa lugha ya Kizulu, likirejelea lengo la kikundi hicho la kuwafukuza wahamiaji wasio na hati za...
  12. JamiiForums Tanzania Afrika Mashariki utata kazi kwa wageni na wazawa

  13. N

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania inaweza kuwa kitovu cha utalii wa kitabibu Afrika Mashariki na Kati?

    Tanzania ina mazingira bora ya kuwa kituo kikuu cha huduma za kiafya kwa Afrika Mashariki na Kati. Kwa amani tuliyonayo, hospitali zinazoboreshwa kama Muhimbili, KCMC, Bugando, na fursa ya tiba asilia, nchi yetu inaweza kuvutia maelfu ya wagonjwa kutoka nchi jirani kama Burundi, DRC, Rwanda...
  14. JamiiForums Tanzania Tabia ambazo wanazo Watanzania tu, hazipatikani kwingine kokote

    Wakuu, Hebu njooni hapa tukumbushane tabia ambazo Watanzania tu tunazo, yaani huzikuti Ulaya wala Marekani, ni hapa Afrika tu Mimi nina hizi hapa za kwangu wakuu Umeme ukikata ni LAZIMA utoke nje ili ujue majirani kwao kama upo au haupo Ukishakula chakula kwa jirani, lazima uzuge uzuge...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya UN: Viwango vya njaa Duniani Vimepungua, Lakini Afrika yaendelea kuathirika zaidi

    Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa ya mwaka 2024 imeonyesha kuwa kiwango cha njaa duniani kimepungua kwa mwaka wa tatu mfululizo, hasa kutokana na upatikanaji bora wa chakula nchini India na katika baadhi ya maeneo ya Amerika Kusini. Kwa mujibu wa ripoti hiyo iitwayo State of Food Security and...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kama Mfaume Mfaume kashinda hilo pambano na mmalawi, tusilaume tume za uchaguzi Afrika kupanga matokeo

    Kwa aliye angalia pambano la Mfaume dhidi ya mmalawi atakuwa alipigwa na butwaa kwa kile kilichoamuliwa na majaji. Kwa kuwa tunapenda uzalendo kuliko uhalisia basi tusahau maendeleo ya mchezo wa maswimbi Tanzania .Ni aibu. Mfaume alipigwa mpaka ukumbi ulikuwa kimya wakati wote wa mchezo...
  17. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Afrika ukifanyika uchaguzi wa uhuru ni Marais wachache watabaki kwenye viti vyao kina Ibrahim Traoré wa Burkina Faso na Hichilema wa Zambia

    Hali ya demokrasia imekuwa ni mbaya kupitiliza kila kukicha Viongozi sio chaguo la wananchi na wanafanya kila namna kuhodhi madaraka kwa dola na yeyote anaekuwa tishio kwenye nafasi zao hushughulikiwa
  18. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni za magari ya umeme za China zafungua uwezo wa nchi za Afrika huku zikijizolea soko la magari ya umeme

    Kampuni za kutengeneza magari za China zinajitahidi kadiri ziwezavyo kufungua uwezo wa nchi za Afrika, huku zikitilia maanani magari ya umeme na nishati mseto, wakati ambapo vikwazo vya kuuza magari katika nchi za Marekani na Ulaya vikifanya makampuni haya kutafuta masoko mapya. Ingawa Afrika...
  19. JamiiForums Tanzania Pinda ahutubia Kongamano la Vyama vya Ukombozi akimwakilisha Rais Samia nchini Afrika Kusini

    Wazuri Mkuu mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Mizengo Pinda, amesema ushirikiano na mshikamano wa vyama sita rafiki vya ukombozi Afrika unapaswa kudumishwa kwa kuzingatia maadili ya ukombozi, misingi ya haki, usawa wa maendeleo jumuishi kwa wananchi kwa...
  20. JamiiForums Tanzania CCM Yaweka Historia Afrika: Mkutano Mkuu wa Taifa Wafanyika Kidijitali kwa Mara ya Kwanza

    Leo tarehe 26 Julai 2025, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya Mkutano Mkuu wake wa Taifa kwa njia ya mtandao, kikihusisha takriban wajumbe 2,000 kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Taarifa kutoka ndani ya chama zinadai kuwa huu ni mkutano wa kwanza barani Afrika wa aina hiyo kufanywa kwa njia ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…