afrika

  1. JamiiForums Tanzania Mapambano dhidi ya Covid-19 Tanzania na kwingineko Afrika: Watafiti na wanasayansi wetu mko wapi na munasemaje?

    Ninaandika uchambuzi huu kwa dhumuni moja kubwa: Kutimiza jukumu la kitaalamu linalowahitaji wanatafiti/ wanasayansi/ wasomi kutoa elimu kwenye jamii na kushiriki kujadili mambo magumu na mepesi yanayoikabili kwa mtazamo wa kisayansi. Katika vita vya kijeshi dhidi ya aadui wa nchi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Janga la Corona: Umoja wa Afrika mnatuangusha

    Najiuliza kwa Sauti, ingekuwaje mamia ya vifo vya COVID - 19 vinavyotokea Italy, Ufaransa, China nk nk vingeikumba Afrika. ?? Umoja wa Ulaya wangekuwa kimya hadi sasa?? Si kweli hata kidogo wenzetu wana moyo wa Upendo na Ubinadamu na Akili ya Kidiplomasia hakika tungepata misaada ya kila namna...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wakati Watanzania tunabishana Trump asema " kusimamisha" kazi kunaweza kuuwa watu wengi kuliko Corona yenyewe

    Nimemsikia Rais Trump wa USA kupitia BBC akisema uchumi wa nchi yake unatikisika na kusimamisha kazi na shughuli za kiuchumi kunaweza kuuwa watu wengi kuliko ugonjwa wenyewe wa Corona. Ngoja nirudie kusikiliza hotuba za viongozi wetu wakuu na ile ya KUB Mbowe aliyoitoa jana halafu nitarejea...
  4. JamiiForums Tanzania Afrika matajiri wana maisha mafupi sana!

    DONALD Trump ni Rais wa 45 wa Marekani. Hicho cheo chake sina shida nacho. Trump ni bilionea wa dola, kwa Shilingi ya Nyerere, ni trilionea. Nina kazi muhimu leo na huo utajiri wake. Trump ni mtu msema hovyo. Ana kiburi. Wengi humuona ni ‘mtambo’, akiwemo Spika wa Baraza la Wawakilishi...
  5. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Nchi nzima yawekwa karantini sababu ya corona

    Rais Cyrill Ramaphosa ametangaza siku 21 za wananchi wote kujifungia ndani ilikiwa ni sehemu ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa virusi vya Corona ambavyo mpaka sasa vimeathiri watu zaidi ya 400 nchini humo. Ramaphose amesema wakati wa mpango huo ambao unatarajiwa kumalizika Aprili 16 hakuna mtu...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini yazuia watu kutoka nje kwa siku 21

    ni kuanzia usiku wa manane tarehe 26 Machi. ni taarifa rasmi ya Ikulu ya South Africa.
  7. JamiiForums Tanzania Kudumu kwa ujinga Afrika

    Habari wana jamvi, Kinachoendelea Afrika kwa sasa ndio kilichotokea Italy siku si nyingi zilizopita. Inachekesha ila inasikitisha sana kuona kila duka unaloingia wanakutaka unawe mikono lakini ukija kwenye daladala watu bado wanapunuliana balaa, nchi yetu bado inapokea wageni kutoka nchi zenye...
  8. JamiiForums Tanzania Afrika yapokea msaada wa Testkits 1.1 Mil za Corona Kutoka Ali baba: Na sisi tuwahi hii fursa

    Ni vizuri Kushtuana wakuu. Kuna Lab testkit na vifaa mbalimbali vya matibabu 1.1 Mil kutoka kwa kampuni hiyo. Kama vimetumwa afrika basi na sisi tuvifukuzie huko mapema.
  9. C

    JamiiForums Tanzania UN Happiness Report 2020: Dar es Salaam yashika mkia kwenye orodha ya majiji yenye watu wenye furaha duniani

    Jiji la Dar es salaam limeshika nafasi ya 181 katika majiji 186 duniani kwenye rank za majiji yenye watu wenye furaha. Dar es Salaam imepita majiji ya Juba (Sudan Kusini), Port -au Prince (Haiti),Gaza (Palestine) Sanaa (Yemen) na Kabul (Afghanistan). Furaha ni kitu kikubwa sana kwenye maisha...
  10. JamiiForums Tanzania Corona: Meneja wa Diamond na Mwana FA watangaza kuugua Corona baada ya kupimwa

    Mwanamuzi Khamis Mwinjuma maarufu kama MwanaFA amekutwa na maambukizi ya Virusi vya Corona. Kupitia akaunti yake ya Instagram, amepakia video na kuweka ujumbe unaosema Majibu ya vipimo vyangu vya Covid 19 yamerudi chanya. Inaudhi. Siumwi KABISA. Nipo sawa 100%. Na nimejitenga toka niliporudi...
  11. JamiiForums Tanzania Urais Afrika

  12. JamiiForums Tanzania Coronavirus: Idadi ya walioambukizwa barani Afrika yafikia 134

    Maambukizi ya Corona Virus barani Afrika yamefikia 134 baada ya maambukizi mapya manne kuripotiwa Afrika Kusini leo. Hadi sasa watu watatu wamefariki dunia kutoka nchi za Misri, Morocco na Algeria. Misri ina idadi kubwa zaidi ya waathirika ikifuatiwa na Algeria ==== As coronavirus continues to...
  13. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mahakama kuu yamfutia Rais Ramaphosa mashtaka ya utakatishaji fedha na kudanganya Bunge

    Mahakama Kuu ya Afrika Kusini imefuta mashataka yote yaliyokuwa yakimkabili Rais wa nchi hiyo, Cyril Ramaphosa aliyeshtakiwa na Mpelelezi wa Masuala ya Rushwa, Busisiwe Mkhwebane. Alimshtaki Rais huyo kwa kulidanganya Bunge kuhusu matumizi ya fedha hizo. Pia alitaka Rais achunguzwe kwa tuhuma...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Maseneta wa Ufaransa wampongeza Rais Magufuli wasema ni kiongozi mwenye maono barani Afrika

    Kiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake. Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia. Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa...
  15. JamiiForums Tanzania Membe ulisema ‘’NIGUSE NINUKE’’, Kwa sasa tunasubiri hiyo harufu uliyoahidi!

    Baada ya kuvujishwa sehemu ya maongezi ya Bernard Membe na Katibu katika kijiji Rondo kata ya Chiponda katika mkoa wa Lindi akijidai na kumwambia, ‘’tunagonja sijui watatufukuzwa, mbona hawatugusi? Wapendekeze watufukuze waone moto wake’’ na kumaliza maongezi kwa kusema ‘’tuna vita kati ya...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Tanzania wasusa na kutoka nje Bunge la Afrika Mashariki wakipinga kupitisha mswada wa Forodha

    Wabunge wa Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki wamesusia kikao na kutoka nje ya ukumbi wakipinga kupitisha muswada wa forodha. Spika wa bunge hilo aliahirisha kikao kwa akidi kutotimia. Source ITV habari!
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa waafrika na Afrika

    Tunapoendelea na shughuli zetu huku kwenye hizi nchi zetu tusisahau kumuomba Mungu atuepushe na ugonjwa wa hatari kabisa wa Corona maana ugonjwa sasa hauko China peke yake bali tayari ushasambaa Iran, India, South Korea, Japan na ndani ya siku si nyingi tayari utakuwa ushatua kwetu na jinsi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya mazungumzo na msomi Prof Patrick Loch Otieno Lumumba, msomi huyu ammwagia sifa lukuki Dr Magufuli

    Rais Magufuli leo amekutana na msomi mbobezi duniani Prof Patrick Lumumba Ikulu jijini Dsm. Rais Magufuli amempongeza Prof Lumumba kwa namna anavyojitahidi kuwashauri viongozi wa Afrika namna ya kuzifanya nchi zao zijitegemee. Nay Lumumba amempongeza Dr Magufuli kwa jinsi alivyoibadilisha...
  19. JamiiForums Tanzania Misaada mingi ya China barani Afrika, Marekani yaitaka Afrika kuwa makini

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo hivi karibuni alimaliza ziara nchini Senegal, Angola na Ethiopia na katika Umoja wa Afrika. Hii ni mara yake ya kwanza kufanya ziara katika nchi za Afrika zilizoko kusini mwa Sahara, katika karibu miaka miwili iliyopita, tangu ateuliwe kuwa Waziri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…