afrika

  1. JamiiForums Tanzania Marais wengi Afrika wanasubiri wazungu watafute dawa ya Corona, wamuige Rais Magufuli

    Marais wengi wa Afrika wajinga Corona imevamia nchi zao ambayo haina dawa badala ya kutafuta dawa wako tu wana lovkdown watu wao wakati dawa hawana. Wanakodoa tu mimacho kwa wanasayansi Wazungu wagundue dawa!!!! Rais Magufuli akaona asisubiri wazungu yeye kama Rais anatakiwa atafute ufumbuzi...
  2. JamiiForums Tanzania Je, ufisadi na ubadhirifu ndio tatizo pekee kubwa kwa nchi za Afika?

    Nimetafakari sana na kujiuliza juu ya hili swali. Maana hata kabla ya kurudi kwa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania na nchi nyingine nyingi za Africa, sababu kubwa iliyoletwa na taasisi kama World Bank na nchi nyingi za wahisani ilikuwa ni kudhibiti ubadhirifu na ufisadi. Wahisani na World...
  3. JamiiForums Tanzania HISTORIA: Josiah Mwangi Kariuki, Afrika na Uafrika VOL 1

    Josiah Mwangi Kariuki, almaarufu kama J.M Kariuki. Mwanaharakati na mwanasiasa na maarufu, aliyekaa gerezani kama mwanachama wa Mau Mau, kundi ambalo lilikuwa limepigania uhuru wa Kenya mnamo 1963. Aliyechaguliwa kwenye bunge la Kenya na kuwa mtu muhimu kwa Rais wa Kenya. Mtu mwenye chachu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Historia/shujaa: Josina Machel

    Kwakua tumetoka kwenye wiki ya mama duniani, niliona si vibaya nikifululiza habari za wanawake katika thread zangu. Kabla wenzangu hawajanijia juu, leo naomba niwape ya dada huyu. Usiongee maneno ya kumdharau kwa mwanamke kabla haujayasikia ya mwanadada Josina Muthemba Machel. Mama wa Taifa la...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini msichana mwafrika akiishi Ulaya lazima awe mzuri mrefu tofauti na ambavyo angeishi sana Afrika?

    Fanya utafiti utagundua msichana wa kiafrika akikulia afrika anakuwa wakawaida ila akija ulaya au marekani anakuwa mzuri mno mnoo.
  6. JamiiForums Tanzania HISTORIA/SHUJAA :Yaa Asantewaa, AFRIKA NA UAFRIKA VOL 1 by me

    Ni ajabu sana hii dunia ilivyoumbwa, umewahi ona wanawake wapambanaji? Mwanamziki kutoka Kingstone Jamaica Orville Richard almaarufu kama Shaggy, ana nyimbo yake ambayo amemwelezea mwanamke alivyo na nguvu na upendo. Mwanamke akikaa sehemu basi lazma mambo yanyooke.. kama utahitaji kujadili...
  7. JamiiForums Tanzania Corona halisi imeishia Ulaya na Marekani tunalazimishwa Afrika tulie kama wao, basi na wao wahamie kwetu ili nasi twende kwao. Magufuli nimekuelewa

    Unahitaji utulivu wa akili na umakini katika kufikiri ili kumuelewa Magufuli kelele za Covid-19: Hoja Sita! Denis Mpagaze ___________________________ Katika kipindi hiki cha corona na propaganda za magharibi, tusipojipa muda wa kuusaka ukweli tutakuja kumuelewa Rais Magufuli akiishaoondoka...
  8. JamiiForums Tanzania Je, wajua Mifumo ya Elimu Afrika inarudisha maendeleo yako?

    JE WAJUA? UBOVU WA MFUMO WA ELIMU UMECHANGIA UMASKINI WAKO Mfumo wa elimu Africa na *chui wa makatasi* ( sehemu ya 1) Na Mikael Aweda Naanza kwa kuuliza swali la kushtua kidogo. Je, wajua kuwa mfumo wa shule zetu nyingi Afrika unachangia wewe kuwa maskini?? Bila shaka hilo hi swali la...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha umasikini Afrika sio viongozi ila ukosefu wa ujuzi wa sayansi na teknolojia

    Jibu rahisi la waafrika wote ambalo wamepewa na mabeberu, la kwanini Afrika ni masikini, ni 'ubaya na kasoro za viongozi wetu'. Lakini jibu sahihi ni ukosefu wa ujuzi wa kisayansi na teknolojia, kuzalisha na kutengeneza bidhaa kwa kutumia malighafi na madini yetu. Kwa sababu sio rahisi kupata...
  10. JamiiForums Tanzania Historia/ Shujaa: Bibi Zura Karumbi, Afrika na Uafrika VOL 1

    Mchawi mpatie mwanao amlee, kauli ina ukakasi hii. Ndio hatomuua, lakini je akimfundisha uchawi mtoto huyo na kuja kuwa balaa kwenye nyumba yako?. Kuna wachawi wameokoa watu na kupata tuzo. Wenzetu wa kabila Fulani wakikuhisi tu hata kama una macho mekundu wanakuua. Tumepoteza mashujaa wengi...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Paul Kagame awakemea vikali Marais wa Afrika wasiowajibika kuzuia janga hatari la ugonjwa wa Corona

    Akihojiwa na BBC Swahili Jana saa 12:30 Alisema unashangaa baadhi ya Marais Wa Afrika pamoja na ugonjwa huu Hatari, hawajulikani walipo, wamejificha na wananchi wao wanaokotwa wamekufa barabarani, maiti zao zimezagaa, halafu unashangaa viongozi hao wanajiita wacha Mungu. Wanasali kila jumapili...
  12. JamiiForums Tanzania Historia: Chuo Kikuu cha Timbuktu, Afrika na uafrika vol 1

    Miaka ya 2000, msanii wa mtindo wa Hiphop kutoka Marekani #Nas alitamba kwa nyimbo ya i can. Nyimbo ambayo iliimbwa na inaimbwa na wengi pale tu wanapositia mdundo au kuskia kiitikio chake kitamu. Dakika ya 2 sek 42 anaanza kuzungumzia urithi wa Afrika. Hakuacha kuitaja timbuktu kama sehemu...
  13. JamiiForums Tanzania Historia: Chuo kikuu cha Timbuktu, Afrika na Uafrika vol 1

    Miaka ya 2000, msanii wa mtindo wa Hiphop kutoka Marekani #Nas alitamba kwa nyimbo ya i can. Nyimbo ambayo iliimbwa na inaimbwa na wengi pale tu wanapositia mdundo au kuskia kiitikio chake kitamu. Dakika ya 2 sek 42 anaanza kuzungumzia urithi wa Afrika. Hakuacha kuitaja timbuktu kama sehemu...
  14. B

    JamiiForums Tanzania WHO yasema idadi ya maambukizi ya Corona hayatakuwa makubwa Afrika kama ilivyokadiriwa

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetabiri kuwa idadi ya maambukizi ya virusi vya Corona barani Afrika haitakuwa kubwa kama ilivyokadiriwa na kilele chake pia kitachelewa kufika katika nchi nyingi za bara hilo kutokana na hatua madhubuti zilizochukuliwa kuzuia kuenea kwa virusi hivyo. Mkurugenzi...
  15. JamiiForums Tanzania Tom Mboya , Afrika na Uafrika Vo;OL 1

    Kwa wapenzi wa muziki, kibao cha Nerea kilichoimbwa na Saut Soul, dakika za mwishoni anatajwa Tom Mboya. Ni kawaida kwakua nyimbo hii imewataja mashujaa wengi wa Afrika. Nyimbo nyingine ya SAUT SOL FT NYANSHISKI, Tujiangalie, kuna sehemu wanasema Na TOM mboya ameshika tama Alituacha kama...
  16. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Serikali yakiri kuficha takwimu za #coronavirus ili kuepuka taharuki

    Serikali ya Afrika Kusini inaficha ya taarifa kuhusu #COVID19 ili kuepusha taharuki kwa wananchi. Serikali imeamua hayo baada ya hatua yake ya kwanza ya kuweka zuio la kutoka nje kukosolewa vikali Msemaji wa Rais amesema kwa kuwa idadi ya wagonjwa inapanda kwa kasi kuna haja ya kuficha taarifa...
  17. JamiiForums Tanzania Fahamu gunduzi kubwa zilizoanza kuvumbuliwa Afrika (Misri) kabla ya Wazungu

    Salute Nakumbuka kipindi nipo secondary kwenye masomo yangu pendwa hasa Biology karibia kila terminology nililiyokua nasoma kwenye definition yake ilikua inaanza na maneno “it’s a Greek word”, swali kubwa nililokua nabaki nalo na mpaka sasa hua najiuliza ni kwamba..Je wagiriki ndio watu wenye...
  18. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Kikao cha bunge chavurugwa kwa picha za ngono

    Mkutano wa kamati ya bunge kwa njia ya mtandao Afrika Kusini umevamiwa na wadukuzi na spika kudhalilishwa. Kikao hicho kilikuwa tu ndio kimeanza Alhamisi asubuhi wakati ambapo picha za ngono zilipojitokeza kwenye skrini huku sauti ya mwanamume ikisikika kumtusi Spika Thandi Modise, ambaye...
  19. JamiiForums Tanzania Sanamu ya Mwl. Nyerere kujengwa katika Makao makuu ya Umoja wa Afrika, Ethiopia

    Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inaratibu ujenzi wa Sanamu ya Mwalimu Julius Kamabarage Nyerere katika viwanja vya jengo la Amani na Ulinzi la Julius Nyerere lililopo katika Makao Makuu ya Umoja wa...
  20. JamiiForums Tanzania Utawala wa Hispania katika Afrika haukuacha majengo mengi kama walivyojenga Amerika y Kusini

    Katika kumbukumbu za ukoloni, sifa kubwa ya Hispania ilikuwa ujenzi. Walibuni na kujenga majengo ya kupendeza kama vile sifa ya Uingereza ilivyokuwa katika utawala bora. Katika Afrika, Hispania ilitawala Equatorial Guinea, mpaka sasa hivi Kispaniola ndiyo lugha rasmii ya nchi hii. Wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…