afrika

  1. JamiiForums Tanzania Hata bado hajaanza kazi ameanza na kauli hii ya kipuuzi. Hivi ni nani huwa anawaroga ubongo viongozi wa Afrika?

    Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye amevionya Vyama vya Upinzani kuwa havitapata nafasi, huku akihoji mantiki ya kuipinga Serikali. Aidha, amevisihi Vyombo vya Habari na Watetezi wa Haki za Binadamu kushirikiana na Serikali, vinginevyo watakuwa wanatumikia watu wengine. Chanzo: swahilitimes...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna Wanamuziki Barani Afrika wanajua kuimba Muziki aina kama ya Oliver Ng'oma?

    Habari Wakuu za Wakati huu? Natumaini wazima wa Afya. Okey, Mimi bwana katika Wanamuziki ninaowakubali ana Mmoja wapo ni huyu Bwana Oliver Ng'oma, huyu jamaa tumuache tu, Nikiwa nipo home nikikumbuka huwa lazima niplay list ya nyimbo zake ni nzuri kwa kuziskiliza harafu za taratibu sana...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Afrika ni wepesi kubadilika na kuacha maadili ya asili kulingana na mazingira kuliko wanawake wa Kichina au Wahindi

    Katika mafundisho ya jamii, jamii za zetu zote zinamtaarisha mtoto wa kike kuwa mlezi wa familia. Kuondoka nyumbani kwa mtoto wa kike ni kukabidhiwa kwa mume. Mume huyu anakua ndiyo mtu wa kukulinda na wewe unategemewa umlee. Ujue chakula chake, usingizi wake na afya yake. Katika familia...
  4. JamiiForums Tanzania China kuzifutia madeni nchi za Afrika zilizoathiriwa zaidi na COVID-19

    Rais Xi Jinping wa China amesema, ndani ya mfumo wa FOCAC, China itafuta madeni ya nchi husika za Afrika yaliyo katika aina ya mikopo isio na riba kwa serikali ambayo muda wake utatimia mwishoni mwa mwaka 2020. Pia amesema, kwa zile nchi za Afrika ambazo zimeathiriwa zaidi na virusi vya Corona...
  5. JamiiForums Tanzania Rais wa China aahidi kuzipatia nchi za Afrika chanjo ya COVID-19

    Rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba kwenye mkutano maalumu wa kilele kuhusu mshikamano na ushirikiano kati ya China na Afrika katika kupambana na COVID-19. Ameahidi kuwa mara chanjo ya COVID-19 inayotengenezwa na China itakapokamilika na kuthibitishwa, nchi za Afrika zitakuwa kati ya nchi...
  6. JamiiForums Tanzania Siku ya mtoto wa Afrika; Je, mtoto yu wapi na anafanya nini?

    Wasalaam. Leo tumeazimisha siku ya mtoto wa Afrika . Bila shaka wapo waliotengeneza kofia na mafulana yao kusherehekea siku hii adhimu kwao, kama kweli wapo waliokimbilia kwenye radio, televison na mitandao kuazimisha siku hii kwao. Lakini swali la kujiuliza ni moja nalo ni huyu mtoto wa...
  7. JamiiForums Tanzania Kupaka matope kwa makusudi mabaya hakuwezi kukwamisha urafiki kati ya China na Afrika

    Hivi sasa, janga la virusi vya Corona linaenea kwa kasi barani Afrika. Kwa mujibu wa takwimu kutoka Kituo cha Kinga na Udhibiti wa Magonjwa cha Afrika, hadi kufikia tarehe 14 Juni, nchi 54 barani Afrika zimeripoti watu laki 2.3 waliothibitika kuwa na maambukizi ya virusi hivyo, na idadi ya vifo...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Xi Jinping kuendesha mkutano wa ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye mapambano dhidi ya virusi vya Corona

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bibi Hua Chunying leo ametangaza kuwa, rais Xi Jinping wa China kesho hapa Beijing ataendesha na kuhutubia mkutano maalumu wa kilele wa ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye mapambano dhidi ya virusi vya Corona. Mkutano huo umefanyika chini ya...
  9. JamiiForums Tanzania Watu wenye ualbino walaumiwa kwa kuenea kwa virusi vya corona barani Afrika

    Habari! Katika hali isiyo ya kawaida, watu wenye ualbino waishio barani Afrika wamekuwa wakilaumiwa na kushutumiwa kwa kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona barani humo, mtandao wa Business Insider umeripoti. Kumekuwa na taarifa kuwa watu wenye ualbino wamekuwa wakipachikwa majina kama...
  10. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ajuta na kuwaomba radhi wananchi wa Marekani kwa kuambatana na Rais katika ziara yenye utata ikihusishwa na siasa!

    Wakati wa ziara iliyoleta utata. Mkuu wa Majeshi akiomba radhi... ==== Jenerali Mark Milley aomba msamaha kwa 'kuenda' kanisani na Trump Mkuu wa majeshi nchini Marekani amekiri kuwa alikosea kuungana na Rais Donald Trump wakati wa alipotembea kuenda kanisa lililopo karibu na Ikulu ya...
  11. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Vituo vya Udhibiti wa Magonjwa Afrika: Tunatumaini Tanzania itashirikiana nasi na kutoa takwimu mpya za COVID-19

    Mkuu wa Vituo vya Afrika vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika anasema "tunaendelea kubaki na matumaini" kwamba Tanzania itashirikiana kwa kutoa takwimu zake za COVID-19 hata kama Rais wa nchi hiyo alishatangaza ushindi dhidi janga hilo. John Nkengasong anasema "wanaelewa hali hatarishi na...
  12. JamiiForums Tanzania Bajeti zote za nchi za Afrika Mashariki zinasomwa kwa pamoja muda mmoja tuzichambue hapa

    Mawaziri wote wa Fefha wa Nchi za Afrika Mashariki saa kumi Bajeti zote za nchi za Afrika Mashariki zinasomwa kwa pamoja muda mmoja tuzichambue hapa kwa kuzilinyanisha na kufanya analysis
  13. JamiiForums Tanzania Mkiambiwa Uchawi (Ushirikina) Makao Makuu yake ni Barani Afrika muwe mnaelewa tafadhali

    Kirinyaga: 8 family members develop ‘strange illness’, sing loudly after stealing food. Kirinyaga: Watu Wanane wa Familia moja wamejikuta wakiugua Ugonjwa wa ajabu huku wakiimba kwa Sauti ya juu kabisa nyimbo mbalimbali za Wasanii tofauti tofauti barani Afrika na Marekani baada ya Kuiba Chakula...
  14. JamiiForums Tanzania Ligi ya Mabingwa Afrika isipokamilika, Tanzania kuwakilishwa na na timu 4?

    Kuna uwezekano mkubwa, wa Ligi ya mabingwa ya Afrika pamoja na Confederation Cup kutokamilika mwaka huu kutokana na gonjwa la COVID 19, hivyo mashindano hayo ya 2019/2020 kufutwa. Wadau naomba mnifahimishe ikitokea mashindano hayo kufutwa. Je, Tanzania itawakilishwa na timu 4 msimu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Hongera Diamond kwa kuwa msanii wa Kwanza Afrika mashariki Kufikisha 1Bilion Views on Youtube

    Leo wakati nataka kuchek Quarantine ya Diamond nikajikuta nashuhudia maajabu na rekodi mpya ambayo Diamond Platnumz ameivunja. Tukio lake la kuweka rekodi hiyo limetokea dakika chache zilizopita. Diamond anafuatiwa na Millard ayo ambaye kwa sasa ana viewers M933 na huku King wa bongo Fuleva ana...
  16. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika Mashariki yatupilia mbali pingamizi la Serikali juu ya sheria ya habari iliyofunguliwa na watetezi wa habari

    #HABARI Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Serikali, baada ya ushindi wa kesi ya kupinga baadhi ya vifungu vilivyoonekena kuwa kandamizi katika sheria ya huduma za vyombo vya habari ya mwaka 2016./ Serikali yabwagwa kesi sheria huduma vyombo vya habari ====...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Maoni yangu juu ya Shambulio dhidi ya Freeman Mbowe

    Nimepokea taarifa za kushambuliwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe, kwa mshtuko na masikitiko makubwa. Nitatoa kauli rasmi saa 7 mchana (EAT), 6 mchana (CET) na 4 asubuhi (GMT) kupitia live stream kwenye FB na Twitter. Chanzo: Ukurasa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika, SADC, EAC na UN mpeni Rais Magufuli tuzo ya heshima

    Kiongozi anayefanikiwa kuwaondolea hofu watu wake, kuwaongoza katika kipindi kigumu na kuwavusha salama ndilo hitaji LA Dunia kwa sasa. Kiongozi anayepanga mikakati, kuisimamia na kufanya maamuzi magumu yenye manufaa kwa nchi take, Huyo ndiye kiongozi bora. Pamoja na hatua madhubuti...
  19. JamiiForums Tanzania Chambuzi kuhusu Afrika na kifo cha George Floyd

    Watanzania na waafrika wanapinga tukio la Askari kusababisha kifo cha Mmarekani George Floyd. Wamarekani wameandamana huku waafrika/watanzania wakitoa maneno makali mitandaoni na mitaani juu ya tukio hilo. Kwangu mimi kifo au ukatili ule umenifunza kuwa umma ukiamua kupata mabadiliko lazma...
  20. JamiiForums Tanzania Mwalimu Julius Nyerere 1997 Speech to the South African Parliament (FULL TEXT and VIDEO)

    Mwalimu Julius K. Nyerere: 1997 So the first thing I wanted to say about Africa south of the Sahara is that you are isolated from the centres of power. Africa south of the Sahara is isolated. Africa south of the Sahara, in the world today, is on its own — totally on its own. That’s the first...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…