Huyu comedian mwenye asili ya Ghana anaeishi Marekani na kufanya kazi zake za sanaa Nchini Us pia ameshiriki filamu ya Coming to America 2, huwa ananifurahisha sana jinsi anavyopenda kwao Ghana anapenda kucheza miziki ya Afrika, vyakula vya nyumbani yeye ndio anakula hata akiwa marekan mara...
Aina mpya ya Virusi vya COVID19 kutoka India na Uingereza imegunduliwa nchini Afrika Kusini, Wizara ya Afya imeeleza.
Visa 11 vya maambukizi ya aina ya Virusi vya B.1.1.7 (Uingereza) na visa 4 vya B.1.617.2 (India) vimegunduliwa katika majimbo ya Gauteng na Kwazulu-Natal, na waathirika wamekuwa...
Habari wadau.!
Wakati Tz na Kenya wao mambo yao yanalega lega na kupinda pinda huku mama akipambana kuyanyoosha wao waganda wapo mbioni ku launch kinu cha nyuklia kwa "mpango wa amani" ambapo nuklia hiyo itazalisha takribani 41,700Megawatts mpaka kufikia 2040.
Uganda wameingia mkataba na...
Nimesikiliza hip hop zooote Tanzania,hakuna rap kali kama hii ngoma ya Fr Nelly. Huwa naiskiza mara moja kwa wiki kuitoa kasoro bado sijafanikiwa huu mwaka wa 3.
Mabibi na mabwana kutokea Afrika Kusini, kuna habari za meli kuwasili huko ikiwa na mzigo wa hatari na wa kutosha kutokea India:
https://www.enca.com/news/vessel-india-docked-durban-crew-tests-positive-covid-19
Huu umewasili kwenye meli. Tena bila shaka kabla ya kutoka India walipimwa dhidi...
Yaani kampuni za Kenya zilizo Tanzania zinaajiri Malazy 51,000 huku kampuni za Tanzania zilizo Kenya zikiajiri Wakenya 2,000 only. Halafu bado wivu battalion bado wanataka Tanzania yao ishindane na Kenya kiuchumi. Haiwezekani kamwe. Uchumi wetu wa "kwenye makaratasi" ndio inayoajiri Malazy...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amekutana leo na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria Oluseguni Obasanjo.
Taarifa zaidi kutolewa
========
Rais wa Jamhuri ya Muungano leo Mei 3, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria...
Kuna majirani wanajua sana kujinadi, yaani makelele kila wakijenga chochote, sasa hapa taarifa za kitaalam ambazo huchuja uchafu wa makelele na kuonyesha hali kama ilivyo.
The Africa Infrastructure Development Index (AIDI) is produced by the African Development Bank. The AIDI serves a number of...
Habari zenu wakuu, kwa wale wapenzi wa korean dranas hii ni ya kwenu.
Channel ya TVN kutokea Korea Yaingia Rasmi Africa.
Wakorea ambao kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukiangalia series zao na wao wameamua kuleta version ya Africa ya Channeli ya TVN.
Kama umeangalia series kama MR SUNSHINE...
SAFARI YA KUZAMIA AFRIKA YA KUSINI KWA NJIA ZA PANYA
Sehemu ya kwanza.
Utangulizi
Mimi ni mtanzania mzaliwa wa Mbeya. Kwa sasa umri wangu ni wa kutosha kidogo kwa sababu nipo duniani tangu miaka ya 1980.
Wakati nasoma shule ya msingi kwenye miaka ya 1990 hivi tulikuwa tunaimba nyimbo maarufu...
Afisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani anayeshughulikia mambo ya Afrika Robert Godec amesema, Marekani itawaonesha watu wa Afrika kuwa, tofauti na mtindo wa maendeleo ya uchumi unaohimizwa na China barani Afrika, Marekani itaangalia zaidi maslahi ya Afrika, kitu ambacho kitaivutia zaidi...
Pongezi nyingi mno kwa Serikali ya Tanzania, Klabu ya Simba, Wanachama, Mashabiki, Mwekezaji Mo Dewji, CEO Barbara Gonzalez, Shirikisho la Soka nchini TFF na hasa hasa Kwake Mwenyezi Mungu kwa 'Kuibariki' Klabu ya Simba SC kupata Mafanikio haya makubwa ( hasa Kimataifa ) na Kuitangaza Tanzania...
Tume ya kupitisha jina la atakayekuwa Jaji Mkuu wa Kenya baada ya kuisha muda wa Jaji mstaafu David Maraga imepitsha jina la Jaji Martha Koome kuchukua nafasi hiyo.
Koome anakuwa mwanamke wa kwanza kuwa Jaji Mkuu nchini Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla.
Si haba, akina mama wanazidi...
Gazeti la Financial Times la Uingereza limetoa makala likilitilia mashaka Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” BRI na kusema uwekezaji wa China katika sekta ya miundombinu barani Afrika “unakaribia kukauka”. Makala hiyo pia imemnukuu afisa mmoja wa Afrika Kusini akisema nchi za Afrika...
Utafiti mpya uliofanywa na “Pendekezo la Utafiti kati ya China na Afrika” CARI la Chuo Kikuu cha Johns Hopkins cha Marekani umeonesha kuwa mwaka 2019, mikopo iliyotolewa na China kwa Afrika ilipungua kwa theluthi moja, kitu ambacho kinaashiria kuwa China imepunguza kwa kiasi kikubwa mikopo yake...
Wakati ndani ya nchi wanasema wameonewa na kuibiwa kura kwa kupata mbunge mmoja wa kuchagulia kutoka wabunge mia na kenda awamu iliyopita na pia mgombea urais Tundu Lissu akiambulia kura chini ya asilimia kumi ya kura zote za urais.
Hata hivyo baada ya aliyekuwa Rais wa Tanzania kufariki hayati...
Ibara ya 8 ya makubaliano hayo imeweka malengo ambayo Watanzania wangenufaika nayo kama #Serikali ingekuwa imetia saini
Moja ya lengo ni: Kila #Taifa lazima lihakikishe linatengeneza sheria kwa ajili ya kuimarisha #Haki za msingi za binadamu, uhuru wa raia ikiwemo ulinzi wa taarifa zao na kutoa...
MCHANGO WA DR. JOHN POMBE MAGUFULI NCHINI TANZANIA NA BARA LA AFRIKA KWA UJUMLA.
Dr. John Pombe Magufuli aliyehudumu kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya Tano aliheshimika nchini Tanzania, Barani Afrika na Duniani kwa Ujumla kutokana na namna alivyosimama kidete kuhakikisha...
Watafiti leo Alhamisi wametoa ripoti kuhusu ushahidi wa kwanza wa kidaktari kwamba mabadiliko ya vimelea vyenye usugu dhidi ya dawa ndiyo chanzo cha ugonjwa wa Malaria kuendelea kuenea barani Afrika.
Wataalamu wa dawa wamekuwa na wasiwasi kwa muda mrefu kuhusu kuibuka kwa tatozo la usugu dhidi...
BOMBA LA MAFUTA LA AFRIKA MASHARIKI: DIPLOMASIA YA UCHUMI YA URITHI WA JPM NA MAPATO YA TSH 76.32bn KWA MWAKA
Mnamo Septemba 27, 2020 Uganda na Tanzania ziliingia makubaliano kupitisha Bomba la Mafuta ya Afrika Mashariki kutokea Hoima (Uganda) hadi Bandari ya Tanga (Tanzania). Hii ni moja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.