Ubeti wa kwanza wa wimbo wa taifa la tanzania "Mungu Ibariki Afrika" unatumika pia katika nchi ya Zambia, Zimbabwe na Afrika Kusini.
Maneno katika wimbo huo yalitungwa na mtunzi Enoch Sentonga huyu ni Raia wa Afrika Kusini.
Wimbo huo aliutunga mwaka 1987 ukiwa na maneno "Nkosi sikelel i'Afrika...
Inauzwa katika minada ya antique, ni picha chache za kuchora ambazo bado zinapatikana. Nimevuta hisia, maisha way huyu binti si ajabu hajui hata wazazi wake walipo. Sura yake haionyeshi furaha bali ina ujasiri.
Ni mara chache sana kuona kumbu kumbu za Watumwa waliokwenda Arabuni. Wengi wao...
Mapema wiki hii mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani WHO Bw. Tedros Ghebreyesus aliitangazia dunia kuwa China imetokomeza ugonjwa wa Malaria. Taarifa iliyotolewa na WHO inasema Bw. Tedros amepongeza mafanikio hayo ambayo ametaja kuwa yamepatikana kutokana na kazi ngumu iliyofanyika kwa zaidi ya...
Kuna wimbi kubwa sana la Wamerekani weusi wanahamia Africa na Tanzania lakini uhamiaji wanakuwa na wasiwasi.
Mawazo yangu badala ya kuwanyima viza tufaute utaratibu mzuri wa win win situation.
Wengine ni walimu, wajasiriamali tunaweza kuweka utaratibu wa wenyewe kuishi na bado kunufaisha...
GLOBAL CYBERSECURITY INDEX 2020
The Global Cybersecurity Index (GCI) is a trusted reference that measures the commitment of countries to cybersecurity at a global level – to raise awareness of the importance and different dimensions of the issue. As cybersecurity has a broad field of...
Nimejaribu sana kutafakari huu ujinga utaisha lini, lakini sioni hata dalili yaani!!
Katika jamii yetu hasa afrika Tanzania hatupendi kabisa kukubali ukweli!
Mwenzetu akifanikiwa kipesa (hatukubali moja kwa moja), Kauli zetu nyingi midomoni utasikia " Yule jamaa kama siyo Freemasonry basi...
Wimbi la tatu la janga la COVID-19 kwa kirusi cha Delta linasambaa kwa kasi barani Afrika na mpaka sasa nchi 16 za bara hilo zimebainika kukumbwa na kirusi hicho.
Kwa mujibu wa Shirika la Afya duniani (WHO), kirusi hicho kinasambaa kwa kasi zaidi barani Afrika kuliko wakati wowote ukilinganisha...
Nawasalimu kwa Jina la JMT.
Kwa Mujibu wa makadirio ya Nchi zenye Uchumi mkubwa yaliyofanywa na shirika la fedha Duniani IMF kwa mwaka 2021,Tanzania imeporomoka na kushika nafasi ya 11.
Kwa miaka zaidi ya 10 ,Tzn imekuwa miongoni mwa Nchi zenye Uchumi mkubwa barani Africa kwa GDP,lakini kwa...
29 June 2021
Dar es Salaam, Tanzania
Eneo la soko huru kupitia mkataba wa AfCFTA yafikia nchi 38, tanzania kufaidika
Tanzania imeridhia na pia kufikia hatua za mwisho kuingia katika soko kubwa la biashara kupitia eneo la soko huru barani Afrika AfCFTA litalokuwa na idadi ya zaidi ya watu...
Mahakama ya Juu zaidi Nchini Afrika Kusini imemhukumu aliyewahi kuwa Rais wa Taifa hilo, Jacob Zuma kifungo cha miezi 15.
Uamuzi huo umekuja baada ya Mahakama ya Kikatiba kumkuta na hatia ya kudharau Mahakama baada ya kukaidi agizo la kufika kwenye Uchunguzi wa Ufisadi wakati akiwa Rais.
======...
Afrika Kusini imetangaza masharti mapya yanayolenga kudhibiti ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo mikusanyiko yote ya ndani na nje itapigwa marufuku kwa siku 14
Aidha, Rais Cyril Ramaphosa amesema katika siku hizo mauzo ya pombe na safari kuelekea au kutoka maeneo yaliyoathiriwa...
Sina mda na salamu.
Kiza kimetanda, wananchi wanahaha mitaani, hawajui watakula nini kesho.
Mama anaamka, huku amelala na njaa ya siku mbili. Maziwa ya mtoto yamekata. Anajikokota kutafuta unga apike uji wa mwanae wa miezi 7.
Ikiwa takribani wiki mbili tangu rais Museveni atangaze lockdown...
Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator.
Kujiuliza na kufikilia kwangu kumetokana onyo la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Marekani (Department of Homeland Security-DHS) lililotolewa...
afrika
anastahili
bara
ccm
chanzo
jamii
john
john magufuli
jpm
kasi
kifo
kiongozi
kuuawa
magufuli
moyo
mwandishi
pombe
rais
rais magufuli
tiss
tuzo
uzalendo
Hivi karibuni jarida ya Foreign Policy la Marekani lilikuwa na makala yenye kichwa “The United States Returns to Africa” kikiwa na maana Marekani inarudi tena Afrika. Yaliyoandikwa chini ya makala hiyo yametaja baadhi mambo ya kipaumbele kuhusu sera ya serikali ya Rais Joe Biden kwa Afrika...
Wadau kama niwafatiliaji wa michuano ya mpira uefa euro 2020 inayoendelea utaona kwamba wenzetu janga hili haliwagusi watu wamejazana uwanjani na hawana barakoa kulikoni sisi huku Afrika.
Nini kinaendelea nyuma ya pazia kuhusiana na janga hili la corona?
Sisi kama watanzania hili swala...
Shirikisho la Wahasibu la Afrika (PAFA) lilifanya Mkutano Mkuu wa Mwaka huko Catonou, Benin Ijumaa tarehe 18 Juni 2021. Kati ya dondoo zilizojadiliwa ilikuwa ni kuteua Bodi mpya ya PAFA. Tanzania ikiwakilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NBAA, CPA. Pius Maneno, iliteuliwa katika Bodi ya PAFA kwa...
Elias Gebreselassie alilelewa Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia, na kama wenzake, amekuwa na fikra kuwa kwamba majengo marefu, maduka makubwa na barabara kuu zinaweza kuwa maonyesho tu katika sinema za Hollywood.
Lakini katika kipindi cha muongo mmoja uliopita Gebreselassie amejionea kwa hakika...
Elias Gebreselassie alilelewa Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia, na kama wenzake, amekuwa na fikra kuwa kwamba majengo marefu, maduka makubwa na barabara kuu zinaweza kuwa maonyesho tu katika sinema za Hollywood.
Lakini katika kipindi cha muongo mmoja uliopita Gebreselassie amejionea kwa hakika...
Dar Iseeh katika Maisha huwa tunapitia Vitu vingi sana, vigumu na vyepesi mpaka vya kati
Usimdharau mtu aiseeh, usimdharau mtu usie Mjua maana hujui juu yake, na hii haina maana kwamba umdharau unae mjua, hapana sina maana hiyo nataka kusema tu kuwa 𝗧𝘂𝗵𝗲𝘀𝗵𝗶𝗺𝗶𝗮𝗻𝗲.
Katika maisha siku zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.