afrika

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Ulaya kurudisha mamilioni ya chanjo za COVID-19 Afrika

    Muungano wa Ulaya utarudisha mamilioni ya dozi ya chanjo za Johnson & Johnson zilizotengenezwa Afrika Kusini katika bara la Afrika. Mjumbe maalum wa Muungano wa Afrika Strive Masiyiwa amewambia waandishi wa habari kwamba chanjo zote zinazotengenezwa “zitabakia Afrika na kusambazwa Afrika”...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ndiye mpigania haki maarufu zaidi barani Afrika kwa sasa

    Gwiji la siasa za Mageuzi Nchini Tanzania Freeman Mbowe, ama Mtemi Isike, Laingwanan au Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar, sasa anatajwa kama ndiye mpigania haki, demokrasia na uhuru anayeheshimika zaidi barani Africa, wachunguzi wa siasa za dunia wanamuweka Mbowe juu...
  3. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya majaribio ya VVU yashindwa kuleta matokeo chanya barani Afrika

    Chanjo ya VVU ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa shauku sana ya Johnson & Johnson imeshindwa kuonesha uwezo wa kutosha katika jaribio lililohusisha zaidi ya wanawake 2,600 Kusini mwa Jangwa la Sahara. Ingawa chanjo ilionekana kuwa salama, bila athari mbaya, ufanisi wake katika kuzuia maambukizo ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kiswahili Afrika na jinsi ya kukifanza kukua kiurahisi na kiulaini hali tunaongeza ajira kwa Vijana

    TUSIJIDANGANYE kutaka Kiswahili kuenea fumba na kufumbua duniani. Tutosheke na kukiona Kiswahili kinatawala Afrika hatua kwa hatua. KOKOTE Afrika viongozi, wanasiasa, wasomi na jamii kwa ujumla watu wanazungumzia juu ya fursa za ajira na 'baibai kwa umasikini' kwa vijana. Ila hakuna...
  5. Mantombazane

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu Afrika haumwandai muhitimu kujiajiri

    Mfumo wa Elimu ya Afrika tulioachiwa na Wazungu ni mfumo unaoharibu Akili na Saikolojia ya Wanafunzi. Wazungu wao wanasoma Elimu ya Maarifa na Wanasoma Future, sisi Afrika tunasoma vitu visivyo na msaada katika Maisha ya kawaida na vingi ni Past. Elimu inakufanya utegemee kuajiriwa usipoajiriwa...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania UN: Ukatili wa Kijinsia umeongezeka Afrika wakati wa COVID-19

    Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa, ukatili wa kijinsia barani Afrika umeongezeka maradufu katika kipindi hiki cha mlipuko wa UVIKO-19. Kwa mfano imeelezwa kuwa huko nchini Kenya wanafunzi takribani 4000 walipachikwa mimba wakati shule zilipofungwa kipindi cha zuio la kutoka...
  7. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Maajabu 7 ya Afrika kama yalivyopigiwa kura mwaka 2013

    Maajabu 7 ya Afrika kwenye mpangilio wake kama jinsi yalivyopigiwa kura mwaka 2013. 1. Bahari nyekundu -Misri, Eritrea, na Sudan. 2. Mlima Kilimanjaro -Tanzania. 3. Jangwa la sahara- Algeria, Chad, Misri, Libya , Mali, Mauritania, Morocco, Niger, Sudan, Tunisia. 4. Kuhama hama kwa wanyama...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Saa za Afrika ya mashariki

    Saa za Africa ya Mashariki. Re: The misconception of the age of a day within {saa za Africa Mashariki.} A day has 24 hours; the natural number following zero is one. It being so, then, when does the above time start with zero hour? Universally; the new day is born at midnight: commencing with...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania WHO: Kasi ya utoaji chanjo imeongezeka Afrika

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema utoaji Chanjo dhidi ya COVID19 barani Afrika umeongezeka ikielezwa dozi Milioni 13 zilitolewa wiki iliyopita. Idadi hiyo ni mara tatu zaidi ya Chanjo zilizotolewa wiki ya kabla. Mkurugenzi wa WHO Afrika, Matshidiso Moeti amesema Visa vipya 248,000...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jana nimeona BBC Swahili usiku wakizidi kuudhalilisha upinzani Afrika

    Kikeke alimuuliza swali repota wake kutoka Dar kuwa huyo rais wa Zambia je unadhani atashirikiana na viongozi wengine wa vyama tawala ambavyo ni vya ukombozi akiwa na maana vyama kama CCM, ZANU PF na ANC. Jamaa wa BBC akajibu kuwa ni swali zuri sana hila siwezi lijibu mpaka tuje tumuone...
  11. Granted Faith

    JamiiForums Tanzania Sheria Ngowi na Theocabrini na team yote wametengeneza jezi za Yanga nzuri haijawai kutokea Afrika

    Sheria Ngowi na Theocabrini Pamoja na Team Yote Wametengeneza Jezi za YANGA Nzuri sana Africa Hakuna Jezi Nzuri kama za YANGA Kwa Sasa Kwenye Jezi inaonyesha Wananchi Kwenye Jezi Inaonyesha YANGA Mabingwa Mara 27 Kwenye Jezi inaonyesha home of Champions Wengi hawawezi kuelewa theme ya Jezi...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Klabu kubwa 40 afrika hadi leo tarehe 25/08

    kama team yako haiko kwenye list kuwa na heshima na adabu halafu kaa kimya heshimu wakubwa zako
  13. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Maono ya Ujerumani Kuhusu Afrika Kabla ya 1884

    Sote tunaelewa kuwa mkutano wa Berlin wa mwaka 1984 ndio ulioigawa Afrika kuwa katika mipaka tuliyo nayo leo. Mkutano huo uliitishwa na Otto von Bismarck ili kuigawa Afrika miongoni mwa mataifa ya Ulaya ambayo tayari yalikuwa yana infleunce Afrika kwa nia ya kuondoa conflicts. Ujerumani ilikuwa...
  14. Tareek Azeez

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vitu wasivyokuambia

    Niwasalimu woote kwa niaba ya Jamii Forums. Leo naomba tuelekee kwa wakuu wetu waliopo kutuwakilisha na kuamua hatma ya nchi ( Wawakilishi/ Viongozi ) . FIKRA ZANGU: Afrika kwa ujumla hatuna viongozi Bali watu wanaocheza na hofu na hisia zetu. Viongozi wamekuwa watu wanaotafuta njia fupi ya...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Soma Hiyooo: Usajili Simba Sc kusimamisha bara la Afrika leo

    Leo Simba Sc inaenda kufanya utambulisho ambao bara la Afrika na mabara ya jirani yataenda kusimama. Bonus Mambo anayofanya Peter Banda huko kambini ni hatari mpaka wenzake wanabaki wanashangaa
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nchi tajiri zakosolewa vikali kwa kutoa chanjo za ziada wakati hali ikiwa mbaya Afrika

    Mkurugenzi wa shirika la afya Duniani kanda ya Afrika amezikosoa vikali nchi tajiri kwa kutoa chanjo ya tatu kwa watu ambao tayari wameshapatiwa chanjo hizo dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona. Mkurugenzi huyo Matshidiso Moeti amewaambia waandishi habari kwamba uamuzi wa nchi hizo...
  17. L

    JamiiForums Tanzania China kuigeuza Afrika kutoka “jangwa la chanjo” kuwa “chemichemi ya chanjo jangwani”

    Hivi karibuni televisheni ya Marekani ya CNN ilitoa makala yenye kichwa cha “mjomba wangu anayeishi Kenya alikufa kwa COVID-19 kwa sababu ya kutopata chanjo, lakini naweza kuchanjwa katika duka la dawa nchini Marekani”, ikisimulia upatikanaji wa chanjo usio na usawa duniani, hali ambayo inaitwa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Uchaguzi wa Zambia ni ushindi kwa demokrasia ya Afrika

    SHAKA: UCHAGUZI WA ZAMBIA NI USHINDI KWA DEMOKRASIA YA AFRIKA "Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinawapongeza wananchi wa Zambia kwa kukamilisha uchaguzi mkuu wao kwa amani na utulivu" Shaka Mwenezi Taifa "Na kumpongeza kwa ushindi Rais Mteule Hakainde Hichilema aliyetangazwa kufuatia uchaguzi...
  19. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi iliyoshinda medali nyingi za Olympiki kushinda nchi yoyote hapa Afrika ni Kenya

    Kenya imeshinda medali nyingi za Olympiki kushinda nchi yoyote ile hapa Afrika. Sisi ni watu wa kujituma. Lazyland tazameni wazee wa kuchapa kazi jinsi kazi inavyostahili kufanywa.
  20. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ndio nchi ya kwanza Afrika ku-host U-20 world Athletics Championships

    Michezo hii ya riadha ya dunia ya vijana wenye umri chini ya 20 itafanyika hapa Nairobi wiki ijayo. Kenya ndio nchi ya kwanza kuhost mashindano haya Afrika. Kenya pia ilikuwa nchi ya kwanza kuhost under 18 world athletics championships miaka michache iliyopita. Hapa chini team kutoka Poland...
Back
Top Bottom