Mpaka sasa, Jambo lilo wazi katika vita ya Ethiopia ni mkono wa nchi za magharibi katika mgogoro huo.
Baadhi ya viashiria vinavyoonyesha mkono wa nchi za magharibi katika vita hiyo:
matumizi ya magari ya FAO yaliyopeleka msaada wa vyakula na waasi wa TPLF.
Ushahidi wa Marekani na washirika...
Baada ya miaka mingi ya mapinduzi ya kijeshi kutokufanyika Africa kwasasa wimbi la utawala wa kijeshi na mapinduzi yanarudi kwa kasi Afrika.
Tumeona nchi za Mali, Guinea na Sudan wanajeshi wakitwaa madaraka kutoka utawala wa kiraia.
Huko Ethiopia utawala wa Waziri Mkuu Abey ukielekea...
Ukanda wa Afrika Magharibi na Kati unaweza kushuhudia ongezeko la maambukizi na vifo vinavyohusiana na VVU katika miaka mijayo kutokana na Huduma za Afya kuathiriwa na Mlipuko wa Virusi vya Corona.
UNAIDS imesema Huduma za Afya zimeathiriwa kwa kiasi kikubwa na janga hilo, hali iliyolazimu...
Na Caroline Nassoro
Karne hii ya 21 inajulikana kama karne ya Sayansi na Teknolojia. Sekta hii imepewa umuhimu wa kipekee katika zama hizi, na ni ajabu kama utakuta mtu hana japo simu ya mkononi, kwani siku hiz, hususan simu janja (smart phones) ni sawasawa na benki, shajara, na kila kitu...
Na Kelvin Ogome
Takwimu zilizotolewa katika ripoti ya Benki ya Dunia inaonyesha kuwa, asilimia 7 ya pato la jumla barani Afrika hutokana na utalii. Kando na kilimo na uchimbaji madini, mataifa mengi ya Afrika hutegemea utalii na watalii kujiendeleza kiuchumi. Hili ni dhihirisho kamili kuwa...
Katika miaka ya hivi karibuni ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukiendelea kuimarika, na kutoa mchango mkubwa kwenye maendeleo ya uchumi wa nchi za Afrika. Katika kipindi cha muongo mmoja uliopita, nchi mbalimbali za Afrika zimeonyesha kuwa na ongezeko madhubuti la...
1. Nawezaje kuagiza trekta used toka South Afrika.
2. Ni kampuni ipi ya South Afrika ni ya uhakika kwenye kuuza hizo machine
3. Gharama ya kusafirisha mpaka Bongo inaweza kuwaje?
4.Nimeona wanauza Massey MF 290 4WD. Hizi ni MF za namna gani maana nimezoea MF 290 ni 2WD. Kuna kipindi nilichat na...
NAWEKA MJADALA MEZANI:
Bila ya kuweka ushabiki mbele, hivi kati ya Golikipa wa Chelsea Edouard Mendy na mshambuliaji wa Liverpool Mohammed Salah yupi anastahili kupata tuzo ya mchezaji bora wa mwaka katika bara la Afrika 2021?
Kesho Afrika kusini itafanya uchaguzi wa serikali za mitaa(LGE). Ushindani mkubwa ni kati ya ANC, DA na EFF .
Licha ya kuwa na utajiri mkubwa wa rasilimali Kama madini nchi hii ya bondeni mwa Afrika imekumbwa na wimbi kubwa la.
*Ukosefu wa ajira
*Umaskini
*...
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema kuwa Kundi la mataifa 20 yaliostawi na yanayoinukia kiuchumi G20 yana uwezo wa kuzuia janga la virusi vya corona kuenea zaidi na kuzuia majanga ya siku zijazo.
Akizungumza wakati wa mazungumzo kuhusu afya hapo jana kwenye...
High-level Dialogue: An Adaptation Acceleration Imperative for COP26 - Jakaya Mrisho Kikwete
The Global Center on Adaptation (GCA) convened a High-Level Dialogue towards shaping a clear “Adaptation Acceleration Imperative for COP26”. Just weeks from the start of COP26, the dialogue gathered...
Ni jambo la heshima sana kwa nchi kufikia hatua hii. USALAMA wa CHAKULA ni suala linaloangaziwa duniani kote. Nichukue fursa hii kuipongeza serikali ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
KAZI IENDELEE.
=====
Nairobi. African countries are becoming food-secure by lowering food prices, improving...
Jitihada za Bara la Afrika kuwachanja Raia wake huenda zikaathiriwa na uhaba wa bomba za sindano. Shirika la UNICEF linakadiria Uhaba wa hadi Bilioni 2.2
Mkuu wa Shirika la Afya (WHO) Afrika, Matshidiso Moeti amesema mwaka 2022 Chanjo zitaanza kuja Barani humo kwa kiwango kikubwa, lakini uhaba...
Na Tom Wanjala
Mnamo mwaka wa 1978, China ilikuwa miongoni mwa mataifa maskini duniani. Kutoka mwaka huo, taifa hili likaja na mikakati na harakati za kujitoa kwenye hali hii ya umaskini iliyokuwa tishio kwa mamilioni ya raia wake. Ikiwa ni nchi pekee ulimwenguni yenye idadi kubwa zaidi ya...
NA PILI MWINYI
Hakuna ubishi kwamba China sasa ni nchi yenye nguvu kubwa duniani. na ni nchi ya pili kwa uchumi mkubwa duniani. Kwa nchi nyingi, kutoka Asia, Afrika hadi baadhi ya sehemu za Ulaya, China imekuwa mshirika muhimu na mkubwa wa kiuchumi. Mwaka 2009, China iliipindua Marekani na...
Endeleeni kupika majungu kwa wivu wenu ila Wakenya wanapaa, tena sio ushirikina ila bidii na elimu bora....hehehehe
======
Vodacom Group has tapped Safaricom's chief corporate affairs officer Stephen Chege as its group chief external affairs officer.
The announcement was made by Safaricom...
AU imesema kusimamishwa kwa uanachama wa Sudan kutatekelezwa hadi serikali ya mpito inayoongozwa na raia irejeshwe.
======
The African Union has said it suspended Sudan from all its activities after the Sudanese military overthrew the civilian-led transitional government in a coup.
In a...
Hakuna ubaya kwa timu yoyote ya michezo kupelekwa Ikulu kuzawadiwa ikiwa kuna umuhimu. Cha ajabu TBC wapo live Ikulu wakiwaonyesha mabinti wa timu ya Taifa ya Wanawake walioshinda COSAFA CUP ambapo timu nyingi zilizoshiriki zilikuwa B Teams kwa sababu A teams zilikuwa zinajiandaa na mashindano...
Na Pili Mwinyi
Ingawa uhusiano wa kidiplomasia kati ya China na Afrika ulianzishwa katikati ya miaka ya 50, lakini hivi sasa uhusiano huu unaendelea kukua na kustawi na umekuwa ukiimarishwa siku hadi siku, ambapo pande zote mbili zinaungana mkono kwenye masuala mbalimbali.
Hata hivyo kuna wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.