act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. DuaZaMama

    PostGE2025 ACT Wazalendo yalaani Mauaji ya Raia yaliyofanywa na Polisi Oktoba 29

    KAULI YA ACT WAZALENDO KUFUATIA MAUAJI YA TAREHE 29/10/2025 NA SIKU ZILIZOFUATA BAADA YA UCHAGUZI Chama cha ACT Wazalendo, kupitia kikao cha Kamati ya Uongozi Taifa, kilanaani vikali ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu uliofanywa dhidi ya wananchi kuanzia tarehe 29 Oktoba 2025, katika maeneo...
  2. McLaren

    GE2025 Twaha Mwaipaya: Dafroza Jacob wa ACT Wazalendo amefia kituo cha Polisi

    Wakuu, Hizi ni taarifa ambazo zimepostiwa na kada wa CHADEMA Twaha Mwaipaya Huyu alikuwa ni mgombea Ubunge Taarifa Zaidi Kutoka Kwa Maria Sarungi
  3. K

    ACT wazalendo kujipendekeza kumewafikisha wapi?

    ACT wazalendo kujipendekeza kumewafikisha wapi?. Ina bidi mfanye uamuzi maana chama chenu kime-mezwa na katiba ya zanzibar ya serikali ya mseto na wale wanzanzibari wenu hawajali tena kushinda zaidi ya kuwa kwenye madaraka na wako tayari kuwa namba mbili na ukweli sio wapiganaji wanapenda...
  4. The Khoisan

    Ule mkakati wa ACT kulinda kura umeishia wapi?

    ACT Wazalendo walijitapa watalinda kura zao. Mbona kilio kimeanza kabla ya wakati. Kina Zitto waliwaingiza wenzao chaka kwa vile wana makubaliano maalumu na Mama. Kama nwenyewe anavyodai ni mtoto wake mpendwa.
  5. PAYE

    GE2025 Wagombea ACT Wazalendo watoa tuhuma Uchaguzi Kura ya Mapema, ZEC yatoa ufafanuzi

    Baadhi ya wagombewa wa nafasi mbalimbali kupitia chama cha ACT-Wazalendo Zanzibar wametoa tuhuma wakati wa utekelezaji wa zoezi la kura ya mapema ambalo limefanyika leo visiwani Zanzibar Viongozi hao ambao ni pamoja na Omar Said Shaaban Mgombea Uwakilishi Jimbo la Pangawe pamoja na Mgombea...
  6. PAYE

    GE2025 ACT Wazalendo Zanzibar wanalia wizi Kura ya mapema: Watu wameletwa kwa Mabasi kupiga Kura bila mawakala ndani ya kituo

    Mohamed Hamis Mohamed, mgombea uwakilishi jimbo la Amani, Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo amelalamikia ukiukwaji wa utaratibu wa kupiga kura ya mapema katika kituo chake ya kupigia kura akidai kuwa kuna watu wameletwa kwa mabasi wamewaingiza ndani na kuanza kupiga kura bila uwepo wa...
  7. tonicimmobility

    GE2025 Njombe: Mgombea wa CHAUMMA aibukia mkutano wa ACT

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Njombe Mjini kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Sigrada Mligo jana Oktoba 26, 2025 alitumia Jukwaa la ACT kuzungumza na wakazi wa Njombe mjini pamoja na kumnadi Mgombea Udiwani wa Kata ya Mji Mwema kupitia Chama Cha ACT Wazalendo, Abuu Mtamike. Sigrada...
  8. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mawakala 27 wa mgombea udiwani wa ACT Wazalendo wakwama kuapishwa

    Vibwanga vinaendelea na siku zimebaki chache kuelekea uchaguzi huo wa manufaa kwa wachache! Kama kuapishwa imekuwa ngumu, vipi kuzilinda hizo kura si ndio vurugu tupu kabisa. Nasuburi kuona mengi siku hiyo! ================ Mawakala 27 wa mgombea udiwani wa kata ya Masaba, Wilaya ya Butiama...
  9. Mwanamwana

    GE2025 Rahma Mwita (ACT-Wazalendo): Uchaguzi umegeuka uchafunzi, wasimamizi Mafia hawataki kuwaapisha mawakala wa upinzani

    UCHAGUZI UMEGEUKA UCHAFUZI TENA. JIMBO LA MAFIA Wasimamizi wamekimbia vituo hawataki kuwaapisha Mawakala wa Vyama vya upinzani wanasema wamechelewa na muda wamepanga wao. Hivi ndivyo mlivyowanoa wakimbie vituo. Mtakiona oktoba 29 Pia soma > ACT Wazalendo: Tunaenda kwenye uchaguzi tukiwa hatuna...
  10. Mafyangula

    GE2025 RC Kagera: Kuna watu wanasema nasapoti ACT Wazalendo niseme wasiwadanganye. Nimezaliwa CCM nitafia CCM

    Mimi kaniacha hoi baada ya kusema hadi mwanae kama akihama chama cha CCM na kwenda upinzani basi yeye hatohusika naye! Yani kisa chama kweli kabisa unaikataa damu yako? ================ MKUU wa Mkoa wa Kagera, Hajat Fatma Mwassa, amekanusha madai ya kushiriki siasa katika Jimbo la Bukoba...
  11. Mwanamwana

    GE2025 Bwege: Nimeamini maneno ya CHADEMA 'No Reforms, No Election' baada ya mgombea Urais kupitia chama changu ACT Wazalendo kuenguliwa

    Selemani Said Bungara 'Bwege' amesema alikuwa anashiriki katika uchaguzi na kukiuza chama chake cha ACT Wazalendo, lakini tokea Mgombea wa Urais kupitia Chama chake, Luhaga Mpina aenguliwe ameona ni kama wagombea wote wa udiwani na ubunge kupitia chama ACT Wazalendo wameenguliwa kwasababu...
  12. W

    GE2025 Mpina akwama Ugombea Urais ACT Wazalendo, Mahakama yatupilia kesi yake mbali

    Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma imeitupa kesi ya Luhaga Mpina na ACT-Wazalendo, ikieleza kwa mujibu wa Sheria na Katiba ya nchi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) haipaswi kuingiliwa na chombo chochote kwa jambo ambalo ilifanya kwa nia njema. Mpina alikuwa akipinga kuenguliwa katika nafasi...
  13. Mafyangula

    GE2025 Mgombea wa ACT- Jimbo la Ukonga, Bakari Shingo, avamiwa na Kundi la Vijana Inayodaiwa kuwa Wafuasi wa CCM

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Ukonga kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Bakari Shingo, amevamiwa na kundi la watu vijana wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), tukio lililotokea katika eneo la Pugu Mpakani, wilayani Ilala, jijini Dar es Salaam. Tukio hilo, ambalo limetokea katika...
  14. Waufukweni

    GE2025 Baba Levo: Wafuasi wa ACT wameiba mali za CCM, wameharibu bendera, mabango na kuwashambulia Wanachama kwa Mawe

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Baba Levo, amekishutumu chama cha ACT Wazalendo kwa kuonyesha dalili za kushindwa katika uchaguzi, na kujaribu kuvuruga mchakato wa uchaguzi. Katika andiko lake, Baba Levo amedai kwamba wafuasi wa ACT wameiba mali za CCM, kuharibu bendera na mabango ya...
  15. PAYE

    GE2025 Othman Masoud: Viongozi wapimwe kwa wanavyojali wananchi

    Mgombea wa urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman amewataka Wazanzibari kuwapima viongozi kwa vigezo mbalimbali ikiwemo kujali maslahi ya wananchi anaowaongoza. “Mkitaka kupima kiongozi, mpime kwa kiasi hicho au kwa vigezo hivyo, maslahi makubwa ya...
  16. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Familia ya Katibu wa ACT Wazalendo, Kigoma yadai kuvamiwa usiku. TAKUKURU yasema ilikuwa ni upekuzi kwa tuhuma ya rushwa

    Familia ya Katibu wa Chama cha ACT Wazalendo mkoa wa Kigoma ambaye pia ni mgombea udiwani wa kata ya Kibirizi, Yunus Ruhomvya, imedai kuvamiwa na watu wanaodaiwa kuwa askari polisi usiku wa kuamkia Oktoba 9, 2025, katika makazi yao yaliyopo eneo la Kibirizi mkoani Kigoma. Kwa mujibu wa mke wa...
  17. PAYE

    GE2025 Aliyekuwa mgombea wa ACT Wazalendo, Jackson Kangoye, ajiunga na CCM wakati wa kampeni za Samia

    Aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama cha ACT Wazalendo Jackson Kangoye amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakati wa mkutano wa kampenzi za mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan zilizofanyika Musoma Mjini Oktoba 9, 2025. Soma: Tarime Mjini; Mgombea wa ACT-Wazelendo, Jackson Kangoye...
  18. DuaZaMama

    GE2025 Mahakama Kuu Kusoma Hukumu Kesi ya ACT Wazalendo na Mpina Dhidi ya Tume Huru ya Uchaguzi Leo Oktoba 10, 2025

    Hukumu ya kesi iliyofunguliwa na Chama cha ACT Wazalendo chini ya Bodi ya wadhamini pamoja na Luhaga Mpina kupinga uamuzi wa kuenguliwa na Tume Huru ya Uchaguzi kugombea kiti cha Urais,itasomwa leo saa nane Mchana Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma. Waandishi wa Habari mnakaribishwa kuhudhuria...
  19. R

    GE2025 Jasper Sabuni: Baada ya OKtoba 29, naiona ACT- Wazalendo ikishirikiana na CHADEMA na kushiriki kikamilifu kuisafisha nchi hii iliyochafuliwa

    Akiwa katika Mahojiano na The Chanzo Mjumbe wa Sekretarieti ya Ilani ya Chama cha ACT-Wazalendo Jasper Sabuni ameelezea maono yake juu ya uelekeo wa ACT- Wazalendo baada ya Uchaguzi Oktoba 29, 2025 " Naiona ACT ikiunganisha nguvu na vyama vingine hususani Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  20. R

    GE2025 Mgombea Ubunge CUF Jimbo la Kakonko amuombea kura Mshindani wake wa ACT-Wazalendo

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kakonko kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Damas Philbert Damas, amemuombea kura mgombea ubunge mwenzake wa chama cha ACT Wazalendo wa jimbo hilohilo, Olaf Kaboboye, katika tukio lililofanyika Kata ya Katanga, Wilaya ya Kakonko, mkoani Kigoma Tukio hilo lilitokea...
Back
Top Bottom