act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. tucker carlson

    Janeth Rithe ACT: OCD hana haki ya kututaka tumuandikie Barua ili turuhusiwe kukagua miradi

    Kada wa Chama cha ACT Wazalendo, Janeth Rithe, ametoa onyo kali kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) na Jeshi la Polisi kutotumika kisiasa kukwamisha shughuli za ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika kata zinazoongozwa na madiwani wa chama hicho Akihutubia mkutano wa hadhara wakati wa ziara ya...
  2. tucker carlson

    Dorothy Semu wa ACT: Kuna Wanafunzi 566,816 walioanza la kwanza 2020 hawakufanya Mitihani ya Darasa la 7. Wako wapi?

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, ameitaka serikali kueleza walipo wanafunzi 973,178 walioshindwa kuhitimu elimu ya msingi na sekondari mwaka 2026. Akizungumza katika mkutano wa hadhara kwenye ziara ya chama hicho, Semu amebainisha pengo kubwa la mdondoko wa wanafunzi kati ya...
  3. Roving Journalist

    Dorothy Semu (ACT Wazalendo): Shilingi Trilioni 51.92 za Mkopo wa Serikali zimetumika kufanya nini?

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo ameihoji Serikali ya awamu ya Sita chini Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu matumizi ya mikopo ya Trilioni 51.92 zilizokopwa ndani ya miaka mitano ya utawala wake. Akizungumza katika Mkutano wa Hadhara katika Jimbo la Kigoma Kaskazini Kata ya Nyarubanda, ambapo...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Luhaga Mpina: ACT Wazalendo haiwezi kwenda kwenye maridhiano bila ukweli, haki na usawa

    Naibu Waziri Mkuu Kivuli Luhaga Mpina amesema kuwa ACT Wazalendo haiwezi kwenda kweye maridhiano bila ukweli, haki na usawa
  5. instinct desire

    ACT Wazalendo bado wanashindwa kujua kuwa Luhaga Mpina yupo ACT lakini hayupo ACT Wazalendo, kabla ya 2030 atakuwa hayupo ACT mtimueni mapema

    Bado Kuna ukosefu wa intellegens za vyama vya siasa hivi vya upinzani kubaini tabia na mienendo ya wanachama wao wasio ziishi ilani za vyama vyao. Kwa chama makini kisinge endelea kumkumbatia Luaga Mpina kingesha mfukuza siku nyingi sana kwasababu hana anachokifanya ZAIDI YA ku vuruga culture...
  6. Roving Journalist

    ACT Wazalendo: Waziri wa Mambo ya Ndani ajiuzulu kwa kushindwa kusikiliza madereva kwa wakati

    Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa uzito mkubwa hatua ya madereva katika maeneo mbalimbali nchini kusitisha huduma za usafirishaji leo Septemba 29, 2026 kutokana na malalamiko yao kuhusu utekelezaji wa mfumo kandamizi wa kukata pointi 15 katika leseni za madereva, kufungiwa leseni na...
  7. Parabolic

    ACT Wazalendo ndani ya GNU: Mamlaka ya Makamu wa Kwanza wa Rais na athari kwa siasa za Muungano

    Zanzibar. Uamuzi wa ACT-Wazalendo kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) Zanzibar umefungua ukurasa mpya wa siasa za visiwani na kwa kiwango fulani umeibua maswali kuhusu namna hatua hiyo inavyoweza kuathiri siasa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hususan Tanzania Bara. Mjadala huo...
  8. E

    ACT wao, kila uchaguzi ukiisha, wanaitwa kwenye maridhiano kugaiwa vyeo, Zitto alicheza kama Pele kuipeleka ACT Zanzibar

    ACT Wazalendo wao, kila uchaguzi ukiisha, wanaitwa kwenye maridhiano kugawiwa vyeo. Dalali Zitto alicheza kama Pele kuipeleka ACT Zanzibar. Hiki chama yaani wao huwa kinasubiri uchaguzi uishe, kigawiwe vyeo, kisha kisubiri miaka mingine mitano.
  9. M

    Othman Masoud Othman ateuliwa na Rais Mwinyi kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar

    YAH: UTEUZI WA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR Tafadhali husikeni na mada iliyotajwa hapo juu. Ofisi ya Baraza la Mapinduzi inapenda kutoa taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma kwa ujumla kuwa, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi...
  10. McLaren

    ACT Wazalendo yateua Jina la Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

    Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kufanya uteuzi wa jina la mwanachama anayependekezwa kushika nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar. Uteuzi huo umefanywa na Kamati ya Uongozi Taifa ya chama hicho katika kikao maalumu kilichoketi jana, Jumatano, Septemba 16, 2026, kwenye Ofisi Ndogo...
  11. M

    ACT Wazalendo: Iwapo Nchimbi hataonekana hadharani ndani ya wiki moja tutaiburuza Serikali mahakamani

    Msifanye mzaha kwenye maisha ya watu, nampa Rai Katambi, ndani ya wiki moja awe ametoka hadharani na kueleza Dkt. Nchimbi yuko wapi na yuko salama. Isizidi hata wiki moja, kama hatafanya hivyo tutafuata taratibu za kisheria kuiburuza serikali Mahakani.
  12. Roving Journalist

    Ofisi ya Katibu Mkuu ACT Wazalendo yafanya kikao na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa

    Chama cha ACT Wazalendo kimefanya kikao baina ya Ofisi ya Katibu Mkuu na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa ya Simiyu, Mara, Kagera, Mwanza, Geita, Shinyanga na Mkoa wa Kichama Kahama kwa ajili ya kuweka mkakati wa pamoja wa ujenzi wa Chama Kanda ya Ziwa. Mbali na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndg...
  13. Roving Journalist

    Mchinjita: Mikoa itangaze maeno hatarishi kuelekea El Nino, yaandaliwe maeneo salama

    Septemba 6, 2026 Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita alizungumza na Wanahabari, pamoja mambo mengine alizungumzia suala la El Nino na jinsi Serikali inavyoshindwa kujiandaa kukabiliana nayo. ACT Wazalendo hatutaki maneno bila vitendo, kwa kuwa mvua hizi zinaweza kusababisha...
  14. Mindyou

    Isihaka Mchinjita: ACT hatuoni dhamira kamili ya kukabiliana na utekaji

    Wakuu, Waziri Mkuu Kivuli wa Chama cha ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita, amevishambulia vyombo vya ulinzi na usalama nchini kwa kudai kuwa vimeshindwa kuonesha nia thabiti ya kukabiliana na matukio ya utekaji, mauaji, na watu kupotea. Akizungumza na wanahabari leo Jumapili mkoani Dar es...
  15. Roving Journalist

    ACT: Tunapinga mpango wa DC Temeke kufuta Kata 10 ili kupisha Bandari Kavu, wamenogewa na biashara

    https://www.youtube.com/live/foCqxnCqX8M ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam imepokea kwa mshangao na kupinga vikali kauli za Mkuu wa Wilaya ya Temeke Ndg. Sixtus Mapunda kuhusu mpango wa kuhamisha wakazi na kuathiri uwepo wa kata zipatazo 10 katika Wilaya ya Temeke kwa madai ya kupisha ujenzi...
  16. PAYE

    ACT-Wazalendo: Muda wa meli kukaa Bandari ya Dar umeongezeka, kumechochea mfumko wa bei

    Waziri Kivuli wa Ujenzi, Uchukuzi na Miundombinu kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Mtutura Abdallah Mtutura, ameishutumu Serikali kwa kuwadanganya wananchi kuhusu ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam. Mtutura ameeleza kuwa kipimo mahsusi cha ufanisi wa bandari ni muda ambao meli inachukua tangu...
  17. DogoWaNjombe

    ACT Wazalendo: Utekelezaji wa ahadi za siku 100 na Bima ya Afya kwa Wote ni ahadi hewa

    ACT Wazalendo imesikitishwa na taarifa na kauli za Serikali zinazotolewa kupitia vyombo vya habari, majukwaa mbalimbali na Bungeni kuhusu mwenendo wa ugharamiaji wa huduma za afya nchini, hususan utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote. ACT Wazalendo imefanya tathmini na kubaini kuwa, licha ya...
  18. E

    ACT Wazalendo Yaituhumu Serikali Kufeli Ahadi ya Bima ya Afya kwa Wote

    Dk Elizabeth Sanga Chama cha ACT Wazalendo kimesema utekelezaji wa ahadi ya siku 100 ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu Bima ya Afya kwa Wote umeshindwa kuwafikia wananchi wengi, huku kikidai kuwa watu maskini wanaendelea kukosa huduma muhimu za matibabu na vipimo vya kibingwa. Katika tathmini...
  19. E

    Othman: ACT Wazalendo itaingia SUK kama haya yametekelezwa

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman, ametaja mambo matatu aliyosema yakitekelezwa ndipo kita kitaingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK). Mambo hayo pamoja na kuundwa kwa kamati ya pamoja yenye uwakilishi sawa kutoka vyama vilivyosaini makubaliano, kuundwa...
  20. M

    Kwanini mikoa ya kusini mwa Tanzania imeonekana kusahaulika kimaendeleo?

    Kwa nini mikoa ya kusini mwa Tanzania imeonekana kusahaulika kimaendeleo? Serikali imekuwa haitoi fursa za kutosha za uwekezaji, licha ya kuwepo kwa rasilimali nyingi. Miundombinu bado ni dhaifu; kwa mfano, barabara za Kilwa–Liwale, Liwale–Nachingwea na Dar es Salaam–Lindi zina hali...
Back
Top Bottom