Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, leo tarehe 12,Juni 2026 amefungua mafunzo maalum Kwa Mawaziri Vivuli wa Chama hicho Mafunzo yatakayoendelea kwa siku tatu hadi Juni 14, 2026.
Mbali na Mafunzo hayo Mawaziri hao pia wamekabidhiwa nakala ya vitendea Kazi Kwa nafasi zao pamoja na kutakiwa...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Juni 12, 2026 amefungua mafunzo maalum Kwa Mawaziri Vivuli wa Chama hicho Mafunzo yatakayoendela Kwa siku tatu hadi Juni 14 mwaka huu jijini Dar es Salaam.
Mbali na Mafunzo hayo Mawaziri hao,pia wamekabidhiwa nakala ya vitendea Kazi Kwa nafasi zao pamoja na...
Mpasuko na mivutano ya kisiasa ndani ya kambi ya upinzani nchini Tanzania umezidi kushika kasi kufuatia mfululizo wa shutuma na majibu makali hadharani kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na chama cha ACT Wazalendo.
Ugomvi huu mpya umeibuka kufuatia mkutano wa hadhara wa CHADEMA...
Kilwa kivinje iliyokuwa ngome kuu ya Act wazalendo sasa ni Chadema tupu.
Ikumbukwe mpaka sasa kila inakoenda kufanya mikutano yake Chadema inapata uungwaji mkono na wananchi kwa asilimia mia👇
Act wazalendo wamedai kuwa Waziri mkuu ameshindwa kusimamia majukumu hasa usalama wa raia.
Hii ni baada Bibi mzeee kulia mbele ya waziri mkuu kuwa mtoto wake ametekwa na polisi tangu Aprili 21 lakini hakupata msaada
Au sababu wanaotekwa wanaigiza?
Nakushauri kwa madini uliyonayo utubu dhambi zako na ufanye uchaguzi sahihi.
Mtu alie makini hawezi kukaa kwenye chama kama Act Wazalendo.
Unajenga hoja za msingi lakini watu wanakudharau sababu ya kuwa upo na kibaraka wa CCM mwenye makunyanzi.
Mkwamo wa Kisiasa Nchini
Wakati wa Kujenga Muungano wa Kitaifa Dhidi ya Ukandamizaji ni Sasa.
Historia inaonesha kwamba hakuna mfumo kandamizi unaoanguka kwa sababu ya malalamiko yaliyotawanyika ya wale wanaokandamizwa.
My Take.
Nawakumbusha ACT, kulikuwa na UDETA na UKAWA wakasaliti, NO...
Baada ya Chadema kusimamia msimamo wake kuhusu maridhiano, CCM imekuja na project mpya.
Wameamua kuitumia ACT kwa vile imekuwa ikitumika kuisafisha CCM kwa muda mrefu.
Ili Zitto na chama chake tuwaamini wameambiwa wahoji matokeo ya tume ya Chande na wahoji kwanini viongozi wa majeshi...
Mnalalamika nini? Mnasema tume imeundwa kinyume na katiba ya ya JMT kwa kuwa haikufuata matakwa ya ibara ya 74.
Mkashiriki uchaguzi ambao mlitambua hauko huru. Mpaka Ayatollah wa ujiji akashindwa ubunge na mtubambae hajui Hansard ni kitu gani.
Leo mnalalamika nini? Mlidhania Chadema wao ni...
Mnalalamika nini? Mnasema tume imeundwa kinyume na katiba ya ya JMT kwa kuwa haikufuata matakwa ya ibara ya 74.
Mkashiriki uchaguzi ambao mlitambua hauko huru. Mpaka Ayatollah wa ujiji akashindwa ubunge na mtubambae hajui Hansard ni kitu gani.
Leo mnalalamika nini? Mlidhania Chadema wao ni...
Leo Mei 16, Chama cha ACT Wazalendo inafanya mjadala wa Mjadala wa kitaifa kuhusu mwelekeo na khatima ya Tanzania, uliokusanya makada na viongozi wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
https://www.youtube.com/live/yw9QUyBkdXE?si=_psmu3H58c7p20re...
Leo Mei 16, Chama cha ACT Wazalendo inafanya mjadala wa Mjadala wa kitaifa kuhusu mwelekeo na khatima ya Tanzania, uliokusanya makada na viongozi wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
https://www.youtube.com/live/yw9QUyBkdXE?is=Wg_4_djGZTsIrnyM
Msajili wa Vyama vya Siasa amekiandikia barua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) (barua ya tarehe 07 Mei, 2026 yenye kumbukumbu namba HA. 322/362/16A/22) akikitaka kijieleze kwa nini kisisimamishwe usajili wake au kutozwa faini kwa kile alichokieleza kuwa ni 'ukiukaji wa sheria ya vyama...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amevunja ukimya kuhusu mazungumzo yanayoendelea baina ya chama chake na ACT Wazalendo kuhusu Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK).
Mara kadhaa viongozi wa ACT Wazalendo ndiyo wamekuwa wakizungumza kuhusu mazungumzo...
Mlishatambulika kuwa mpo Pamoja na CCM na hata wakati wananchi wanapigwa risai ile Oktoba 29 mlikuwa pamoja na CCM mkifanya maigizo ya uchaguzi feki.
Leo hii mnazunguka na kujifanya mnapinga uovu na ukandamizaji wa CCM mtandao. Hamuwezi kutoboa hata kitogo.
https://youtu.be/G7NseGbdVVM
Kamati Kuu ya ACT Wazalendo imekutana kwenye kikao cha dharura kilichofanyika jana tarehe 03 Mei, 2026 katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo katika Jengo la Maalim Seif, Makao Makuu ya Chama Dar es Salaam kwa ajili ya kutathmini hali ya kisiasa nchini.
Pamoja...
Watanzania wengi wamesikitika sana kuona kuwa eti Act Wazalendo inaungana na Chadema kupinga ripoti ya kada wa CCM Chande Othman.
Act Wazalendo ilikuwa pamoja na CCM mtandao. Chama cha mafisadi kwenye uchaguzi feki wa Oktoba 29, 2025 mwaka 2025. Ambao umeshuhudia watu wakipigwa risasi wakiwa...
Chama cha ACT Wazalendo kimetoa msimamo wake wa awali kufuatia kupokea taarifa ya Tume ya Uchunguzi wa Mauaji ya Oktoba 2025 iliyowasilishwa leo kwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa Aprili 23, 2026, chama hicho kimesema kinasimama imara katika msimamo wake wa awali...
https://www.youtube.com/live/a3BDmRIzhv0?si=JH8Q9Wvv6d01j_Gq
Ijumaa, tarehe 10 Aprili 2026, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles Kichere, aliwasilisha Bungeni taarifa ya ukaguzi wa mapato na matumizi ya fedha za umma kwa mwaka wa fedha 2024/25, baada ya kuikabidhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.