Recent content by Mzalendo Uchwara

  1. Mzalendo Uchwara

    Kuficha maripoti ya uchunguzi alianzisha Nyerere. Hawa wanaiga tu, wamekariri mfumo!

    Ludovick alikuwa na personal grievance na Nyerere, ukisoma kitabu chake utaona hakuwa objective kabisa, a lot of personal feelings rather than objective facts. Same kwa kitabu ya Harith ya kwaheri ukoloni, kwa heri uhuru. Kimajaa malalamiko na feelings za Tanganyika kuiumiza Zanzibar badala ya...
  2. Mzalendo Uchwara

    Kuficha maripoti ya uchunguzi alianzisha Nyerere. Hawa wanaiga tu, wamekariri mfumo!

    Mkuu, ujamaa haukushidwa kwasababu ya hujuma. Ndio hujuma zilikuwepo lakini hiyo siyo 'root-cause'. Ujamaa ilishindwa kwasababu ni mfumo ambao hauendani na uhalisia wa tabia za mwanadamu! Sio sisi tu tulioshindwa, kila aliyejaribu kudhibiti njia za uzalishaji kwa kutumia serikali duniani kote...
  3. Mzalendo Uchwara

    Mwananchi: Simu zangu zinashikiliwa tangu Julai 6, wameniweka ndani

    Ukute simu zishauzwa kitambo. RPC akijitahidi saaaana basi mtu anahamishwa kwenda pembeni huko.
  4. Mzalendo Uchwara

    Wakongo wanasema NJO VILE (Ndio vile)

    Yule yupo mpaka 2030. Ukiona kuna plan ya SIRI na wewe unaijua na ipo mpaka hapa JF basi jua hiyo siyo SIRI bali ni propaganda za mfumo ili kuwapumbaza watu na matumaini hewa. Tuache kupenda stori za vijiweni na ubuyu. No one is coming to save you.
  5. Mzalendo Uchwara

    Wakongo wanasema NJO VILE (Ndio vile)

    Mkuu wa mabakamabaka was a p*ssy.
  6. Mzalendo Uchwara

    KERO Huduma ya NMB mkononi haipatikani

    Kwakweli NMB hawajielewi. I hope hatujapigwa maana siku hizi utapeli mwingi wa enzi za Mkwere umerudi.
  7. Mzalendo Uchwara

    Kitila mkumbo jimboni kwake watu wananunua ndoo ya maji 2000

    Boza 20,000 kwa lita 1000. Na wanataka wakija basi chukua minimum lita 3000, yaani uwe na shilingi 60,000. Kitila analijua hilo, DAWASA wanalijua hilo na kila mtu. Wameamua kupuuzia kwakuwa hawakuchaguliwa na hao wananchi.
  8. Mzalendo Uchwara

    Tupendekeze Nani Awe Mwenyekiti wa Tume ya Maridhiano Atakayekubalika na Wengi?, Mimi Nampendekeza Ama Jaji Warioba ama Prof. Shivji. Why...

    Hao uliowataja ni ideal candidates. Watakubaliwa na kila mtu isipokuwa CCM. Why? Jibu lake ni kwamba yawezekana kabisa CCM hawana nia ya dhati ya kufanya mabadiliko yoyote ya maana.
  9. Mzalendo Uchwara

    Does Democracy the way it is defined really suit Every nation?

    Dahh miaka 10 imepita. Kama utani vile. Ila haya madhambi haya ndio yalipelekea Ngosha kunyakuliwa. Alafu dada yake Pasco nayeye anarudia makosa. Kama watu wanakukera sana si umkamate tu? Au waweke kizuizini kijiini kwao kama alivyokuwa anafanya Mchonga!! Kwanini ubebe dhambi nzito kama hizi??
  10. Mzalendo Uchwara

    Haya yote ya nini Kwenye Nchi ya Tanzania?

    Tatizo wanaokota tu watu huko kwenye idara yao ya usalama wa CCM na kuwapa ukuu wa hiyo taasisi. Vile vitambulisho vya kawaida vimewashinda wanakimbilia kuongeza mzigo. Ila nahisi hii ni michongo ya watu kupiga pesa ya serikali. Si unajua bajeti lazima iwe na justifications, sasa...
  11. Mzalendo Uchwara

    Chalamila: Polisi kamateni wanaotembea na magari hayana plate number ni wizi na ujambazi

    Chalamila aache mzaha, polisi wawakamate polisi??
Back
Top Bottom