- Thread starter
- #21
JP Morgan, Bank of America, Chase na mitambo ya kuongozea ndege viligoma wiki jana sembuse NMB?
Unashauriwa sana kuwa na hard cash nyumbani kwa ajili ya dharula. Hata siku haya ma-server yao sijui ma-cloud yakigoma unakuwa na pa kukimbilia.
Mimi ndiyo maana naziamini Sana Citigroup, Merill Lunch, Morgan Stanley, Credit Suisse, Golman Sachs na HSBC nikiwa US.
Lakini hizo ulizozitaja hapo sijawahi kuzielewa.