Recent content by Kipondo Cha ugoko

  1. Kipondo Cha ugoko

    Ikiwa "majeshi yote ni mali ya CCM" , askari wenye kuipenda CHADEMA wafanye Nini?

    Miaka ya nyuma kidogo 2013-2015 hapo! nilikuwa na rafiki yangu askari polisi, huyu jamaa alikuwa anaipenda sana Chadema sana! Lkn tulipotezana, sasa kwa siasa zinazoendelea sasa hivi sijui jamaa atakuwa ktk Hali Gani, je akipewa amri za kuteka na kuwaonea Chadema anazitekeleza?? CCM wajanja...
  2. Kipondo Cha ugoko

    Kwa mambo rais Samia anayofanya kama rais, ninaamini kwa dhati amepanga kutoishi Tanzania au kuhakikisha muungano unavunjwa baada ya awamu yake

    Sio kwamba CCM bara hawalijui hilo! Ni mbano waliobanwa kiasi kwamba hakuna wa kukohoa akabaki salama. Sehemu zote nyeti wapo kohoa uone
  3. Kipondo Cha ugoko

    Wakuu kwa hiki nilichokiona Geita, Itoshe kusema hii nchi inatafunwa vibaya mno

    Pole! Pole yetu watanzania! Kwa sasa kinachofanyika sio uchukuaji bali ni ukwapuaji. Twendelee kuhangaika na kina diamond na zuchu
  4. Kipondo Cha ugoko

    Kiongozi wa upinzani Mozambique Venancio Mondlane ashitakiwa Kwa ugaidi na kuchochea uasi wa Umma.Afrika hatutaki ukibaraka.

    Africa inaenda kupata ukombozi wa pili dhidi ya mkoloni mweusi! Harakati hizi za kubambikia kesi za uongowapigania demokrasia na uwajibikaji zitawafanya wapinzani wote kuungana na kuwa kitu kimoja, hapo ndipo vuguvugu la kudai mabadiriko litageuka na kuwa la bara Zima....!! Mjiandae kuacha ndalaaaa
  5. Kipondo Cha ugoko

    Aliyekuwa "Mfadhili" wa Angel atoa ahadi ya kuihudumia familia hiyo

    Mfadhili Gani huyo asiyetajwa jina?? Kuna harufu mbaya hapo.....!!
  6. Kipondo Cha ugoko

    Hivi Baba levo ana uchawi ama?

    Ukiangalia kwa hicho la kutulia Baba levoo ni mtu mwenye akili sana, sema nyie wasomi mnadhani ili mtu awe na akili ni lazima asome sana( mtu yoyote mwenye uwezo wa kuiona frusa na kufanyia kazi haraka huyo kichwani yuko vzr.) Hao ndo watu wa mfumo sasa we Endelea kuchukulia watu poa
  7. Kipondo Cha ugoko

    Tasnia ya ponography kama vile wahusika wanaanza ku-left

    Natasha Lima -Brazil. Huku ndiko kwenye porn za moto
  8. Kipondo Cha ugoko

    Hivi Inakuwaje familia moja watoto wote wanafanikiwa kimaisha nyingine wanaishia kuwa watu wa hovyohovyo

    Misingi/ MSINGI kijana!!upendo.Umoja. Kauli ya Baba ndio kauli ya Mama. Ukiweza kutengeneza familia ya namna hiyo basi ni rahisi sana kuwa na familia yenye mafanikio. Kama unabisha ulizia familia zilizofanikiwa
  9. Kipondo Cha ugoko

    Maafisa wa ICC wapo nchini

    Kwani lissu alichochea vipi machafuko
  10. Kipondo Cha ugoko

    Maafisa wa ICC wapo nchini

    Kwani lissu alichochea vipi machafuko??
  11. Kipondo Cha ugoko

    Maafisa wa ICC wapo nchini

    Wanaweza kulipindua sakata kwa kujifurahisha nafsi zao lkn sio kuwashawishi wananchi waelewe kwamba serikali haikuhusika na mauaji Yale. Nadhani shida ni kwamba" namna Gani serikali ya CCM itajisafisha mbele ya watanzania na Dunia na ikaeleweka kuhusu mauaji ya October 29???" Maana Kila...
  12. Kipondo Cha ugoko

    Maafisa wa ICC wapo nchini

    Kwa kweli mpaka sasa bado nashangaa Dunia inasubili Nini kuchukua hatua dhidi ya mauaji Yale ya October 29. Unyama ule kweli uwachwe upite hivi hivi??? Kama habari yako itakuwa ni yakweli basi watanzania tuongeze maombi
  13. Kipondo Cha ugoko

    Mafwele amesaidia kupatikana Madereva waliodhaniwa kutekwa

    Nchi ngumu sana hii! Ngoja mengine nikae kimya nisi comment Kila kitu. Ila maswali ni mengi sana.................!!!
Back
Top Bottom