Recent content by Kingsharon92

  1. Kingsharon92

    Hivi yale majambazi ya zamani siku hizi yamenyamazishwa na nini?

    Bila kutumia nguvu umesahau mo29 walichokifanya
  2. Kingsharon92

    Gari jipya la umeme (SUV) kutoka China (BYD) marufuku Ulaya. Mahakama yaasema muundo wake umeiga (kunakili) muonekano wa Land Rover Defender

    Tatizo ni kwamba tumamdharau mchina kwa anachokifanya ili hali sisi wenyewe tumeshindwa hata copy and paste ya toothpick
  3. Kingsharon92

    Serikali tazameni ili kuhusu simu za mikopo zina utapeli mkubwa

    Mkuu kuna mmoja aliwahi kusema Tanzania wajinga ni wengi sana mmoja wapo ni huyo uliyemnukuu hapo juu
  4. Kingsharon92

    Kagera: Wachina wampiga askari Polisi.

    Wachina ndiyo maboss wa ccm ukiwakoromea umeharibu mkuu
  5. Kingsharon92

    Ninaposema kiherehere cha ufaransa ndio hiki.

    Huyu Russia si ndiyo mwenye kumiliki kombola ambalo hao wazungu wakalibatiza jina la SATAN
  6. Kingsharon92

    Ninaposema kiherehere cha ufaransa ndio hiki.

    Ikitokea France🇫🇷 na Russia🇷🇺 wachapane kwa nyuklia huoni ufaransa eneo linamsaliti kuliko Russia mwenye eneo kubwa kigeographoa
  7. Kingsharon92

    Ninaposema kiherehere cha ufaransa ndio hiki.

    Ufaransa huyu huyu aliyegaragazwa na Hitler kama mtoto? Napoleon alifeli kwa Russia🇷🇺 Hitler naye akafeli kwa Russia Sasa nashangaa unampamba france, ya kuwa ana nyuklia ni sawa ila ujue Russia ndiyo mwenye stock kubwa ya nyuklia kuliko wote
  8. Kingsharon92

    Picha Yangu Ya Leo Hii ijumaa

    Kwanini uzungumzie Nairobi pekee? Inatakiwa utembee maeneo mengine tofauti na Nairobi uone mambo yalivyo magumu kama nyama ya goti
  9. Kingsharon92

    Kifo ni fumbo kivipi?

    Sijakuelew mkuu mimi nimekujibu kifo Kinabaki kuwa fumbo kwa sababu hujui siku mwezi mwaka wala saa ya kufa kwako na hujui utaondoka kwa style ipi
  10. Kingsharon92

    Kifo ni fumbo kivipi?

    Kwa sababu hujui muda wala saa ya kufa kwako
Back
Top Bottom