Kwa sababu hujui muda wala saa ya kufa kwakoWaswahili ambao husema "kifo ni fumbo" kila mtu anapokufa huwa wanamaanisha nini ?
Sijakuelew mkuu mimi nimekujibu kifoUnajua muda utakaopata ajali uvunjike ?
Mbona hata ajali ni hivyo hivyo tu mkuu ? Je ajali nayo ni fumbo ?Sijakuelew mkuu mimi nimekujibu kifo
Kinabaki kuwa fumbo kwa sababu hujui siku mwezi mwaka wala saa ya kufa kwako na hujui utaondoka kwa style ipi