Recent content by Huihui2

  1. Huihui2

    Ni kweli, ICC wako nchini

    Ushahidi gani? Yale mapicha aliyokusanya MangeKimambi na Maria Sarungi? Kisha wakampa Larry Madowo akatengeneza makala? Utter rubbish
  2. Huihui2

    Ni kweli, ICC wako nchini

    Mkuu umeandika kizalendo sana. Bila hatua ya vyombo vya dola kuchukua hatua ya risasi sasa hivi tungekuwa kama Sudan
  3. Huihui2

    Ni kweli, ICC wako nchini

    Hizi ndiyo takataka unataka tukanunue kule Telegram channel yako? Humpati mtu na UWONGO wako
  4. Huihui2

    Hongera Masanja Kadogosa ila kwa Wizara ya Ujenzi una kibarua kigumu, Makanjanja wameibomoa Wizara

    Sasa mambo ya survey, cost analysis na sijui paper work hizo ndiyo kazi za waziri?? Mwishowe utasema amekuwaje Waziri wa ujenzi wakati hata zege haajawahi kubeba?
  5. Huihui2

    Hongera Masanja Kadogosa ila kwa Wizara ya Ujenzi una kibarua kigumu, Makanjanja wameibomoa Wizara

    Acha kuuliza maswali ya kipumbavu. Yaani unataka Kadogosa awe Waziri au awe Project Manager? Huyu mtu kasimamia ujenzi wa SGR Dar- Dodoma kuanzia stage 0- hadi 100%, bado wewe kajamba nani umekariri vinadharia vyako vya chuoni unamdharau. Pumbavu sana kijana
  6. Huihui2

    Moshi unafuka ndani ya mfumo sijui kasema kutoka moyoni au limemponyoka au ameongea akiwa anajua hawamsikii?

    Kwa kazi ya vyombo vya dola ni nini? Au mlidhani zile bunduki ni midoli? Au mlimuamini yule malaya wa California MangeKimambi aliyemaambia kuwa JWTZ inawaunga mkono waandamanaji??
  7. Huihui2

    Upo Bongo bahati mbaya?

    Marhaba. Usijali tunabadilishana mawazo bila kujali umri
  8. Huihui2

    2035, Uislam utakuwa dini kubwa zaidi duniani ikiipiku Ukristo

    Nipe chanzo cha kuwa dunia ingejaa by 13/ 11/ 2026
  9. Huihui2

    Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

    Wizi kama wa Fortunatus Buyobe, achana na mambo hayo
  10. Huihui2

    2035, Uislam utakuwa dini kubwa zaidi duniani ikiipiku Ukristo

    Naogopa dunia kutawaliwa na Islam. Siyo watu wema
  11. Huihui2

    Leo Novemba 18, 2026 ni Kumbukumbu ya Miaka 10 Tangu Kutoweka kwa Ben Saanane humu JF. Unamkumbuka kwa Lipi? Tumueenzi!

    Kukopi na kuandikiwa vyote vina maanisha hana originating idea kwenye hilo andiko, hivyo PhD ya marehemu mwendazake ni batili
  12. Huihui2

    Upo Bongo bahati mbaya?

    Mstaafu, ila nina MBA
  13. Huihui2

    NIDA upigaji naye ana mkono mashine 5 Bilion 30 !!JIKA kuwa makin sana

    Ishi maisha yako, acha tamaa ya maisha ya wanasiasa
  14. Huihui2

    Kila mtu duniani amezaliwa na single mother

    Ni mazoea mabaya, wacha tuyasahihishe. Tumia single parent inaleta maana kuliko single mother
  15. Huihui2

    Kila mtu duniani amezaliwa na single mother

    Akiwa na mume anakuwa double mother?
Back
Top Bottom