Sasa,
Unaweza kumkemea pepo kimoyomoyo?
Huo mstari umeukatisha,
Mathayo 6:5
[5]Tena msalipo, msiwe kama wanafiki; kwa maana wao wapenda kusali hali wamesimama katika masinagogi na katika pembe za njia, ili waonekane na watu. Amin, nawaambia, Wamekwisha kupata thawabu yao.
Mada kuu ya Yesu...
KPI yao sio kuwa na pesa, Pesa ni kitu kidogo sana kwa shetani, ndio maana Yesu alioneshwa mali na milki zote za dunia. Kwaio pesa sio kipaumbele chao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.