Trump amenusurika mara ngapi kupigwa chuma? Huyu mtu mpaka anamfikia trump alikuwa anapota wapi?
Anyway hao wanaohangaika na Mange akili zao zitakuwa hazina vitu vya kufanya maana mangw hana madhara kwa mtu yeyote.
Wamtaani si ndo hao hao waliopo kwa mitandao!.
Hata hivo wanasema Siasa ni mchezo mchafu wasemaji wengine watendaji wengine.
Mwaka mmoja CUF inatikisa kweli kweli mkUtano upo Jangwani pale hahaha haloo yaani viongozi wakachukuliwa kwa ulinzi na polisi ili wasidhurike huku wananchi sisi tunapigwa...
Hivi watu huwa mnaandika vitu mnavovijua lakini?
Samahani mkuu Dodoma unaijua vizuri?
Umeshawahi kuishi Dodoma?
Ni biashara gani dodoma yakufanya ikakuletea faida ya laki kwa siku?
Ungetaja tuende kijiji gani ambacho tutaenda wekeza bila mtaji
Pili ungetuambia hayo mashamba tutakayoenda wekeza ni haya haya tuliozaliwa tukakua nayo tukilima bila mafanikio hadi tukakimbilia mjini au ni mashamba mengine?
Yaani week ilikuwa na kujadili tukio na maadili kwa vijana wa kiume lilotokea Zanzibar
Week habari za maadili juu ya bint.
Watu ilitolewa kauli ya watu kuingia lodge awe na Nida wakaponda sana haya ndo matokeo yake hili lingekuwepo ni kuwa wasingeruhusiwa kuingia..
Nje ya akili yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.