Unaweza sana tu kupungua uzito kwa program ya C9.
Ila usidhani just ukitumia tu ndio utapungua. Kuna mikakati mengineyo uifanye. Ikiwemo balancing diet na mazoezi.
Unatakiwa ujitahidi kwenye ku burn calories huku uki take in calories chache.
So issue inabaki palepale, kufanya mazoezi na diet...
Kuna kuchapa na kupiga.
Kuna wale wanaopiga wtt mpk wanawatoa roho. Hii imetokea huko mashuleni na nyumbani (madrassa sijawahi kuskia mtt amechapwa hafi kufariki)
Shida walimu wamebadili from kuchapa kwa kiasi km kumtia adabu mtt, kumkumbusha awache utukutu. Mpk kumpiga mtt hadi kumtoa roho...
Ushaambiwa baada ya umri wa miaka 6 hukumbuki tena wapi uliishi. Kama hukueleza hadithi yako ukiwa na umri wa miaka 3-5 ndio imeisha hiooo, huwezi tena kukumbuka. Labda kama ni dejavu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.